Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Hii ni kweli..nimeona sehemu jamaa baba ake ni mtu wa morogoro na mama mbeya ila anajiita mnyakyusa na wengi wanajua mnyakyusa
Mtoto hujitanabaisha na kabila lenye mafanikio na lililomkuza na kumtunza

Sasa mwanaume anaingiza dude tu akizalisha anatokomea gizani hatoi matunzo anaachia Mama wa Kinyakyusa na mashangazi ndio wanamtunza mtoto

Unataka aitwe kabila la baba yake kwa lipi?

Uanaume sio kutumbukiza dude tu na kuzalisha mtoto na kujitia ohh mimi ndio baba yako.Hata mbwa ana uwezo wa kutumbukiza dude lake na kuzalisha.Hata Ngedere na fisi na kenge hilo waweza

Tofauti ya utumbukizaji dude la kiume kwa jike na kuzalisha tofauti kati ya binadamu na wanyama ni moja tu matunzo Kidume binadamu kinatakiwa kutoa matunzo

Mwanaume akizalisha anatakiwa atunze tofauti na dume ngedere, mbwa, fisi nk

Sasa kidume kimezalisha mtoto kinapiga yowe ooh achukue ajiite kabila lake kwa lipi labda? Kutumbukiza hilo dude lake katikati ya mapaja na kuzalisha tu basi? Kazi ambayo hata mbwa,ngedere,fisi nk waweza? Huyo mtoto ana haki kujiita Mnyakyusa
 
Huyo wanaishi fresh na mshua wake full mahitaji ni wakishua ila ndio hivyo yuko kwa maza zaidi
 
Back
Top Bottom