Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...!
Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko mmoja akawa boss ambapo utakapokosea kwenye vikao vya nidhamu na kuwajibishana... Mke/mume wako uliyelala naye jana kitanda kimoja shuka moja ndiye anayetakiwa kukuwajibisha ama kusaini nyaraka zako zitakazokukaanga
Hii pia inahusu michepuko sehemu za kazi
Penzi kitovu cha uzembe na maanguko mengi sehemu za kazi.. Sisi si wa kwanza, tuliyaona kwa Babu yetu Samson kwa Delillah.. Tuliyaona pia kwa babu yetu Ngoswe.. Tuliyaona mengi tu pia kwa mabosi wa makampuni mengi
Wenza wa wajumbe wa kamati kuu nfani ya CHADEMA ambao ni sehemu ya covid 19 wameshababisha mtanziko mkubwa sana ndani ya chama.. Kwakuwa waliweza kutumiwa na kutumika vilivyo na wapinzani na maadui nje ya chama
Kumekuwa na mgongano mkubwa wa maslahi kati ya hawa wenza na waume zao hasa kwenye maamuzi ya hatima yao ndani ya chama
Kwa kosa hili kubwa tujifunze na kuapa kutolirudia tena
Mapadri hawaruhusiwi kuoa ili wasiwe na attachment yoyote ya kihisia ili aweze kuwatumikia wote kwa usawa!