Madhara jumuishi kuwa na mahusiano sehemu za kazi.. Ofisi moja

Kama ulimfokea kwenye kikao anajifanya mjinga. Ila baadaye anakufuata ofisini anakwambia, kwa hiyo pale ulijiona mjanja! Utamwambia hii kazi bwana! (huku unaendelea kutumia computer) Anakuzungukia hapo hapo anakuja kukukalia kabisa ili hata hiyo kompyuta usitumie.
Unajikuta unasema, hapa pana kazi kweli! Anasema ndio sijui mwenyewe sasa!

Hapo sasa unaachia mouse unaanza kushika chuchu, lakini akili inakwambia unamkumbuka bwana mkubwa wa Guinea!
 
Ukitaka uharibu Ofisi, hasa kwa wewe ukiwa ni Mkuu wa hiyo Taasisi/kitengo basi anza kuwa na mahusiano ya kingono na wasaidizi wako.

Na hata kwenye biashara binafsi ukisha anza kutembea na wateja wako, ndiyo mwanzo wa kufirisika/kuitia najisi biashara.

Sijawahi kuanzisha mahusiano ofisini, japo zimewahi kuletwa PisiKali zinijaribu

Nashukuru Mungu sikuwahi kuanguka kwenye ile mitego πŸ™
Una moyo sana.. Ila sidhani kama unanifikia au unanizidiπŸ˜€
 
Kama ulimfokea kwenye kikao anajifanya mjinga. Ila baadaye anakufuata ofisini anakwambia, kwa hiyo pale ulijiona mjanja! Utamwambia hii kazi bwana! (huku unaendelea kutumia computer) Anakuzungukia hapo hapo anakuja kukukalia kabisa ili hata hiyo kompyuta usitumie.
Unajikuta unasema, hapa pana kazi kweli! Anasema ndio sijui mwenyewe sasa!

Hapo sasa unaachia mouse unaanza kushika chuchu, lakini akili inakwambia unamkumbuka bwana mkubwa wa Guinea!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukitaka uharibu Ofisi, hasa kwa wewe ukiwa ni Mkuu wa hiyo Taasisi/kitengo basi anza kuwa na mahusiano ya kingono na wasaidizi wako.

Na hata kwenye biashara binafsi ukisha anza kutembea na wateja wako, ndiyo mwanzo wa kufirisika/kuitia najisi biashara.

Sijawahi kuanzisha mahusiano ofisini, japo zimewahi kuletwa PisiKali zinijaribu

Nashukuru Mungu sikuwahi kuanguka kwenye ile mitego πŸ™
Ah utashi wakontuu mwanawane..mbona sie bodaboda tunadinya wateja wetu na maisha yanaenda tuu tena unaletewa hadi hotpot ya ubwabwa ule
 
Ukiwa Afisa usafirishaji(Bodaboda) na unapenda kudinya wateja wako, kuna hatari za kutofikisha malengo

Kwa maana hutakuwa ukilipwa nauli kwenye hizo safari utakazokuwa unawabeba wapenzi wako

Pili hutafanikiwa kuwa na maendeleo kama walivyo Bodaboda wengi

Utajikuta umefika floor ya 40 huna hata Kiwanja cha kusema ujenge makazi πŸ™Œ
 
Ah wee wapenzi unabeba bure lakini sii unafidia huku kwenye kupewa ubwabwa bure mzeya au kutunukiwa mbusuusu ambapo ungelazimika kuilipia lakini wee waila bure bure kwa hizo lift unazompa.
Kujenga njiani sio kitu kizuri, dunia tunapita
 
Unaweza kukataa kujenga njiani (Duniani) halafu ukapewa zawadi ya kuishi umri wa hayati Mzee Mwinyi (miaka 98)

Huoni usumbufu utakaopata kabla hujafa πŸ™Œ
 
Ukiwa Afisa usafirishaji(Bodaboda) na unapenda kudinya wateja wako, kuna hatari za kutofikisha malengo

Kwa maana hutakuwa ukilipwa nauli kwenye hizo safari utakazokuwa unawabeba wapenzi wako

Pili hutafanikiwa kuwa na maendeleo kama walivyo Bodaboda wengi

Utajikuta umefika floor ya 40 huna hata Kiwanja cha kusema ujenge makazi πŸ™Œ
Licha ya kutofika malengo, Kuna magonjwa ya zinaa, nuksi na mikosi pia.

Lakini pia una weka usalama wako mashakani, kwani hao wateja wengi Wana weza kuwa wake au wachumba za watu.
Uki shikwa Wana kufanya mfano.

Halafu uta dinya wangapi??, ni ushamba tu wa vijana
 
Unaweza kukataa kujenga njiani (Duniani) halafu ukapewa zawadi ya kuishi umri wa hayati Mzee Mwinyi (miaka 98)

Huoni usumbufu utakaopata kabla hujafa πŸ™Œ
Nyumba zKuoanga zipo tuu muhimu hela uwe nayo
 
Licha ya kutofika malengo, Kuna magonjwa ya zinaa, nuksi na mikosi pia.

Lakini pia una weka usalama wako mashakani, kwani hao wateja wengi Wana weza kuwa wake au wachumba za watu.
Uki shikwa Wana kufanya mfano.

Halafu uta dinya wangapi??, ni ushamba tu wa vijana
Umesema sahihi Mkuu

Kufanya hayo ni kukiharakisha Kifo chako

Copy mzabzab
 
Ngoja nilipeleke hili kwenye Ukoo wetu pia.
Mkuu si kwa ubaya, ila toka ukoo uanze, sija Soma historia yetu kusikia tume oa mtumishi.

Maana una beba mzigo unao weza kumudu, Kama ni pesa Nita tafuta.
aki hitaji shughuli, si hizo hizo tunazo fanya.

au ata pelekwa kwa shangazi fulani, aka jifunze uendeshaji.
Aki komaa una mpa nafasi aendeshe ka Mradi. Huku una mtazama maana hawa viumbe mh.
 
Nyumba zKuoanga zipo tuu muhimu hela uwe nayo
Umewahi kumuona Bodaboda mwenye miaka 60?

Huna kipato, hiyo hela ya kulipa Kodi utapata wapi?

Wakati huu wa Ujana, ndiyo wakati wa kuandaa Uzee wako
 
Back
Top Bottom