Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mapenzi kazini ni mabaya sana ilikuwa mwaka juzi nilikuwa nafanya kazi ofisi fulani jina kapuni, nilipoanza kazi tu kuna dada singo maza alikuwa ananielewa sana mpaka baadhi ya staff wakajua, mengineyo yakafuata.
Ikatokea nafasi ya kazi mtu mmoja nikampambania dada mmoja tulishawahi kushare miili yetu(hatujawahi kuwa siriazi kimahusiano, nae ni singo maza) akapata ile nafasi , ee bwana eeh nilitamani niache kazi sijui hawa watu wawili walitambuanaje ila nilibaini kitu mapema kabisa baada ya huyu kuanza kazi, wivu wao ni shida muda wa lunch ilikuwa ni wakati mgumu kila mmoja anataka niambatane nae na wao haziivi kabisa.
Kuna siku moja huyu niliemtafutia nafasi akaniambia "baba naona ulinipambania ili nije nione kidemu chako na hakijanizidi chochote tofauti na ujinga", mimi kimya. Akaendelea kulalamika akisema simjibu namkalia kimya kwa sababu kuna naongea nae na kumjibu, mimi kimya hadi natoka kwenye ile ofisi nilijisemea sitokuja kuwa na mahusiano sehemu napofanya kazi, utulivu wa kufanya kazi unapungua sana.