Mweee!Ndiyo ukomae ndani ya hii miaka 4 iliyobaki
Ukiweka malengo, hukosi kuyafikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweee!Ndiyo ukomae ndani ya hii miaka 4 iliyobaki
Ukiweka malengo, hukosi kuyafikia
mzee wewe leta tu, ila niki mtimua usi shangae.Ngoja nijaribu kukuletea Mjukuu wangu mmoja wa kike nione kama utatoboa
Uliiona ile PisiKali ya Lugumi, ndiyo sampuli ya Mjukuu wangu nitakayemleta 😜
Atalala kwenye nyumba za wasafiri. Huwezi juaUnaweza kukataa kujenga njiani (Duniani) halafu ukapewa zawadi ya kuishi umri wa hayati Mzee Mwinyi (miaka 98)
Huoni usumbufu utakaopata kabla hujafa 🙌
Hahaha...........sikuwahiSio imagine we Bwana uliwalaa nao walipeleka taarifa za uongo 😂😂😂
Wewe ndo ulijaa kwenye mfumo wakwMimi alipojaa tu kwenye mfumo akaanza kuchelewa kazini na ku dogde bila sababu za msingi.. Na mimi ndio nilikuwa nasimamia nidhamu.. Hakuna rangi niliacha kuona🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Umetisha Mkuu, ukiona umefikia kiwango hichomzee wewe leta tu, ila niki mtimua usi shangae.
huwa nina msemo, everyone is replaceable. So ni aidha upige kazi, au urudi kijiweni uka wapelekee wanunuzi😆
Hukupeleka jina lake kilingeni wamtengeneze 🤣🤣🤣🍆🍆Mimi alipojaa tu kwenye mfumo akaanza kuchelewa kazini na ku dogde bila sababu za msingi.. Na mimi ndio nilikuwa nasimamia nidhamu.. Hakuna rangi niliacha kuona🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Ndiyo mwanzo wa kufa harakaAtalala kwenye nyumba za wasafiri. Huwezi jua
Kumbe wazee wa kilingeni mnalogeka na mbususu🤣🤣🤣🤣Nilimuonea huruma🤣
Hujachelewa MkuuMweee!
💯Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...!
Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko mmoja akawa boss ambapo utakapokosea kwenye vikao vya nidhamu na kuwajibishana... Mke/mume wako uliyelala naye jana kitanda kimoja shuka moja ndiye anayetakiwa kukuwajibisha ama kusaini nyaraka zako zitakazokukaanga
Hii pia inahusu michepuko sehemu za kazi
Penzi kitovu cha uzembe na maanguko mengi sehemu za kazi.. Sisi si wa kwanza, tuliyaona kwa Babu yetu Samson kwa Delillah.. Tuliyaona pia kwa babu yetu Ngoswe.. Tuliyaona mengi tu pia kwa mabosi wa makampuni mengi
Wenza wa wajumbe wa kamati kuu nfani ya CHADEMA ambao ni sehemu ya covid 19 wameshababisha mtanziko mkubwa sana ndani ya chama.. Kwakuwa waliweza kutumiwa na kutumika vilivyo na wapinzani na maadui nje ya chama
Kumekuwa na mgongano mkubwa wa maslahi kati ya hawa wenza na waume zao hasa kwenye maamuzi ya hatima yao ndani ya chama
Kwa kosa hili kubwa tujifunze na kuapa kutolirudia tena
Mapadri hawaruhusiwi kuoa ili wasiwe na attachment yoyote ya kihisia ili aweze kuwatumikia wote kwa usawa!
Alhamdulillah jicho lipoo🤣🤣🤣 namkaribia ray c kwa mbali.🤣Point ya kuzungatia!
Mwee mbususu siwachi aisee wala kupunguza. Hiyo ndio raha ya dunia mwanawane hakuna raha nyingineHujachelewa Mkuu
Punguza kula mbususu na kuhonga, kisha jielekeze kwenye servings
Sala mkuuuHabari za asubui wana jamii
Nyena ipewe heshima yake.Wee acha tu🥱View attachment 3202226
Salama kabisaSala mkuuu
The best advice ever.. Ila mbusuHujachelewa Mkuu
Punguza kula mbususu na kuhonga, kisha jielekeze kwenye servings
The best advice ever! Shida ni kwamba zina tabia ya kualikana😂Hujachelewa Mkuu
Punguza kula mbususu na kuhonga, kisha jielekeze kwenye servings