Madhara jumuishi kuwa na mahusiano sehemu za kazi.. Ofisi moja

Madhara jumuishi kuwa na mahusiano sehemu za kazi.. Ofisi moja

Mwee mbususu siwachi aisee wala kupunguza. Hiyo ndio raha ya dunia mwanawane hakuna raha nyingine
Unataka kuwa Baltazar wa Bongo

Yule mwenzio wa Guinea, ni Tajiri

Ndiyo maana hata PisiKali alizokuwa anazipiga zilikuwa zenye unazo na quality 😜🙌
 
Ukitaka uharibu Ofisi, hasa kwa wewe ukiwa ni Mkuu wa hiyo Taasisi/kitengo basi anza kuwa na mahusiano ya kingono na wasaidizi wako.

Na hata kwenye biashara binafsi ukisha anza kutembea na wateja wako, ndiyo mwanzo wa kufirisika/kuitia najisi biashara.

Sijawahi kuanzisha mahusiano ofisini, japo zimewahi kuletwa PisiKali zinijaribu

Nashukuru Mungu sikuwahi kuanguka kwenye ile mitego 🙏

Ila Ngono kwenye ofisi za bongo ni kama Sukari na Chai. Huwa nawahurumia sana, watoto wa kike ambao ni wazuri sanaa maana hao vita zao ni kubwa sana

Japo kuna siku tulikuwa na pisi kali kama nne kwenye interviews, jamaa wa ile NGOs walikuwa wanapita pita maana tulipokaa ni pembeni ya reception area. Kuna mmoja alishindwa kujizuia akaongea kwa nguvu

"Wanaume tumeshajaa kwenye hii kampuni, tuleteeni hizo pisi kali"
 
Ila Ngono kwenye ofisi za bongo ni kama Sukari na Chai. Huwa nawahurumia sana, watoto wa kike ambao ni wazuri sanaa maana hao vita zao ni kubwa sana

Japo kuna siku tulikuwa na pisi kali kama nne kwenye interviews, jamaa wa ile NGOs walikuwa wanapita pita maana tulipokaa ni pembani ya reception area. Kuna mmoja alishindwa kujizuia akaongea kwa nguvu

"Wanaume tumeshajaa kwenye hii kampuni, tuleteeni hizo pisi kali"
Hahaha..........na akija msichana ambaye sio mgumu kutoa

Atajikuta Ofisi nzima mmepita naye

Maana Wanaume baadhi huwa na kawaida ya kuambizana kwamba pale Maji mara moja, kama maharage ya Mbeya

Demu kuja kujishtukia, ameshagawa utamu Kwa watu wote wa Ofisi na hakuna mwenye time naye tena 😅🙌
 
Ndivyo inavyokuwa mara nyingi unless mtoto wa kike awe anajitambua sana na kama akiamua kujiachia, bhasi atoke na boss. Wengine waoga watakaa pembeni, ving'ang'anizi watakomaa sana lakini mwisho huwa sio mzuri.

Kuna watu baadhi waliachishwa kazi kwa kufukuzia mali ya boss na wanajuta.

Na hilo likitokea na haswa kama hiyo mali ni secretary, hakuna rangi mtaacha kuona kwa wafanyakazi mliobakia. Japo hii hupelekea watu kufikisha taarifa kwa mke wa boss ili kukomoa na drama zinakuwa nyingi

Kiufupi mahusiano ya seniors na juniors huwa hayana mwisho mzuri makazini
 
Ila Ngono kwenye ofisi za bongo ni kama Sukari na Chai. Huwa nawahurumia sana, watoto wa kike ambao ni wazuri sanaa maana hao vita zao ni kubwa sana

Japo kuna siku tulikuwa na pisi kali kama nne kwenye interviews, jamaa wa ile NGOs walikuwa wanapita pita maana tulipokaa ni pembeni ya reception area. Kuna mmoja alishindwa kujizuia akaongea kwa nguvu

"Wanaume tumeshajaa kwenye hii kampuni, tuleteeni hizo pisi kali"
Hebu cheki mali Kama hii, halafu awe salama.
Mzee Grahams
FB_IMG_17368036193946383.jpg
 
Ndivyo inavyokuwa mara nyingi unless mtoto wa kike awe anajitambua sana na kama akiamua kujiachia, bhasi atoke na boss. Wengine waoga watakaa pembeni, ving'ang'anizi watakomaa sana lakini mwisho huwa sio mzuri.

Kuna watu baadhi waliachishwa kazi kwa kufukuzia mali ya boss na wanajuta.

Na hilo likitokea na haswa kama hiyo mali ni secretary, hakuna rangi mtaacha kuona kwa wafanyakazi mliobakia. Japo hii hupelekea watu kufikisha taarifa kwa mke wa boss ili kukomoa na drama zinakuwa nyingi

Kiufupi mahusiano ya seniors na juniors huwa hayana mwisho mzuri makazini
Hapo solution ni kuachana na mahusiano mahali pa kazi
 
Mnashindwa kutaniana na watu kuna ndoa nyingi hapa nazionaga watu wanaviziana tu mmoja ana fosi kuhamia kitengo alipo mkwewe maana mkuu wa kitngo kile wanasema amekula wadada wote pale kwenye kitengo kawala ni shida
 
Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...!
Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko mmoja akawa boss ambapo utakapokosea kwenye vikao vya nidhamu na kuwajibishana... Mke/mume wako uliyelala naye jana kitanda kimoja shuka moja ndiye anayetakiwa kukuwajibisha ama kusaini nyaraka zako zitakazokukaanga
Hii pia inahusu michepuko sehemu za kazi
Penzi kitovu cha uzembe na maanguko mengi sehemu za kazi.. Sisi si wa kwanza, tuliyaona kwa Babu yetu Samson kwa Delillah.. Tuliyaona pia kwa babu yetu Ngoswe.. Tuliyaona mengi tu pia kwa mabosi wa makampuni mengi
Wenza wa wajumbe wa kamati kuu nfani ya CHADEMA ambao ni sehemu ya covid 19 wameshababisha mtanziko mkubwa sana ndani ya chama.. Kwakuwa waliweza kutumiwa na kutumika vilivyo na wapinzani na maadui nje ya chama
Kumekuwa na mgongano mkubwa wa maslahi kati ya hawa wenza na waume zao hasa kwenye maamuzi ya hatima yao ndani ya chama
Kwa kosa hili kubwa tujifunze na kuapa kutolirudia tena
Mapadri hawaruhusiwi kuoa ili wasiwe na attachment yoyote ya kihisia ili aweze kuwatumikia wote kwa usawa!
pamoja na maelezo, uchambuzi, ufafanunuzi, onyo, tahadhari na angalizo la maana sana kwa wadau wa JF na jamii nzima kwa ujumla,

bado akina baltasar Ebang Egonga wamekua ni changamoto kubwa sana maofisini, sehemu za kazi na biashara.

majuzi nilimtembelea rafiki yangu katika ofisi ambayo niliwahikufanya field na baadae nikawa muajiriwa wake kipindi cha nyuma, mkuu wa shirika hilo alikua na tabia ya kuwabaltasary watumishi warembo mezani kwake sana tu, na inasemekana bado anaendelea na huo mchezo mbaya,

so,
ni muhimu sana kuchukua tahadhari kubwa na mambo ya kifamilia maofisini, viginevyo tunashusha ufanisi wa kazi katika kuyafukia malengo ya ofisi kwa kiwango kikubwa zaidi kwasasababu ya wivu wa kimapenzi.🐒
 
Back
Top Bottom