Madhara jumuishi kuwa na mahusiano sehemu za kazi.. Ofisi moja

Mwee mbususu siwachi aisee wala kupunguza. Hiyo ndio raha ya dunia mwanawane hakuna raha nyingine
Unataka kuwa Baltazar wa Bongo

Yule mwenzio wa Guinea, ni Tajiri

Ndiyo maana hata PisiKali alizokuwa anazipiga zilikuwa zenye unazo na quality πŸ˜œπŸ™Œ
 

Ila Ngono kwenye ofisi za bongo ni kama Sukari na Chai. Huwa nawahurumia sana, watoto wa kike ambao ni wazuri sanaa maana hao vita zao ni kubwa sana

Japo kuna siku tulikuwa na pisi kali kama nne kwenye interviews, jamaa wa ile NGOs walikuwa wanapita pita maana tulipokaa ni pembeni ya reception area. Kuna mmoja alishindwa kujizuia akaongea kwa nguvu

"Wanaume tumeshajaa kwenye hii kampuni, tuleteeni hizo pisi kali"
 
Hahaha.......... kwamba ukipiga moja inaenda kuleta mwenzake πŸ˜…πŸ™Œ
Kuna kararufu fulani unabaki nako hivyo ukipita penye nyingine zinakuwa na nguvu ya uvutanoπŸ˜‚
 
Hahaha..........na akija msichana ambaye sio mgumu kutoa

Atajikuta Ofisi nzima mmepita naye

Maana Wanaume baadhi huwa na kawaida ya kuambizana kwamba pale Maji mara moja, kama maharage ya Mbeya

Demu kuja kujishtukia, ameshagawa utamu Kwa watu wote wa Ofisi na hakuna mwenye time naye tena πŸ˜…πŸ™Œ
 
Ndivyo inavyokuwa mara nyingi unless mtoto wa kike awe anajitambua sana na kama akiamua kujiachia, bhasi atoke na boss. Wengine waoga watakaa pembeni, ving'ang'anizi watakomaa sana lakini mwisho huwa sio mzuri.

Kuna watu baadhi waliachishwa kazi kwa kufukuzia mali ya boss na wanajuta.

Na hilo likitokea na haswa kama hiyo mali ni secretary, hakuna rangi mtaacha kuona kwa wafanyakazi mliobakia. Japo hii hupelekea watu kufikisha taarifa kwa mke wa boss ili kukomoa na drama zinakuwa nyingi

Kiufupi mahusiano ya seniors na juniors huwa hayana mwisho mzuri makazini
 
Hebu cheki mali Kama hii, halafu awe salama.
Mzee Grahams
 
Hapo solution ni kuachana na mahusiano mahali pa kazi
 
Mnashindwa kutaniana na watu kuna ndoa nyingi hapa nazionaga watu wanaviziana tu mmoja ana fosi kuhamia kitengo alipo mkwewe maana mkuu wa kitngo kile wanasema amekula wadada wote pale kwenye kitengo kawala ni shida
 
pamoja na maelezo, uchambuzi, ufafanunuzi, onyo, tahadhari na angalizo la maana sana kwa wadau wa JF na jamii nzima kwa ujumla,

bado akina baltasar Ebang Egonga wamekua ni changamoto kubwa sana maofisini, sehemu za kazi na biashara.

majuzi nilimtembelea rafiki yangu katika ofisi ambayo niliwahikufanya field na baadae nikawa muajiriwa wake kipindi cha nyuma, mkuu wa shirika hilo alikua na tabia ya kuwabaltasary watumishi warembo mezani kwake sana tu, na inasemekana bado anaendelea na huo mchezo mbaya,

so,
ni muhimu sana kuchukua tahadhari kubwa na mambo ya kifamilia maofisini, viginevyo tunashusha ufanisi wa kazi katika kuyafukia malengo ya ofisi kwa kiwango kikubwa zaidi kwasasababu ya wivu wa kimapenzi.πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…