Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Mungu ni mwingi wa rehema, unaweza kutoboa hadi kufika miaka 100Mie hiyo 50 yenyewe sitoboi mwanawane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni mwingi wa rehema, unaweza kutoboa hadi kufika miaka 100Mie hiyo 50 yenyewe sitoboi mwanawane
Ah wapi...mzeya 50 sitoboi hilo nalijuaMungu ni mwingi wa rehema, unaweza kutoboa hadi kufika miaka 100
Mwenye kujua lini mtu anaondoka Duniani ni Mungu pekeeAh wapi...mzeya 50 sitoboi hilo nalijua
Hamna kitu kama hicho.Mwenye kujua lini mtu anaondoka Duniani ni Mungu pekee
Ni kweli kaka.. ni Mungu tuu..Ni mungu tu aamue kua upande wako lkn siliazi mahusiano kazini ni unkwepable
Mikosi ipi mkuuLicha ya kutofika malengo, Kuna magonjwa ya zinaa, nuksi na mikosi pia.
Lakini pia una weka usalama wako mashakani, kwani hao wateja wengi Wana weza kuwa wake au wachumba za watu.
Uki shikwa Wana kufanya mfano.
Halafu uta dinya wangapi??, ni ushamba tu wa vijana
Ishi Kwa Imani MkuuHamna kitu kama hicho.
Wee mungu kashakupa manual ya huu mwili wako sasa fuata maelekezo u will live long, nenda kinyume basi maisha utayafupisha.
So mie nilishachezea maisha yangu consequences lazima nizipate.
Nitasali na kukesha kanisani kuomba msamaa kwa uzinzi mungu ata nisame lakini kamwe hatatoa madhara ya uzinzi niliyoyapata. Hilo lazima nikabiliane nalo.
😀😀😀😀Ukifatilia vizuri Mahusiano kazini ni jambo ambalo ni Unkwepable.. kazini kuna vishawishi sana utakaza weee ila mara paap kaja Intern, hujakaa sawa kaja mtoto wa Field, khee umekaza wee kaja Secretary mpya... umekaza Moyo imekuja Pisi ya Bank kuomba kufanya Gazebo hapo.. haya umepindua imekuja Pisi kuulizia kazi hata ya kujitolea tu na anakulazimisha umpe namba...😒
Sasa mwanangu wewe upo kama mimi Yani 🤣mimi mwnyw nimeanza kula mademu wakali when I was 21 sahivi napenda sana videmu vidogo vidogoMockery kivipi i ream am 46 boss.
Hii mambo ya kupenda mbususu ninmatokeo ya mie kuanza chakata mbushsu very late...mbususu mie kwa mara ya kwanza kuinjo i was 25.
Faith is assured exoectancy of things hoped for, the evident demonstration of realities though not beheldIshi Kwa Imani Mkuu
Ina Compromise ability yako ya Kufanya DecisionsHuo ufanisi unapunguaje jamani? Kwani muda wote mnadinyana?
Sasa kwani wee maamuzi unafanya kwa hisia ay unatumia akili.Ina Compromise ability yako ya Kufanya Decisions
Wanaume wa kupiga blaa blaa makazini ili ifike mwisho wa mwezi ndio wana nafasi ya kufikiria sijui ma intern, sijui field nk nk.Ukifatilia vizuri Mahusiano kazini ni jambo ambalo ni Unkwepable.. kazini kuna vishawishi sana utakaza weee ila mara paap kaja Intern, hujakaa sawa kaja mtoto wa Field, khee umekaza wee kaja Secretary mpya... umekaza Moyo imekuja Pisi ya Bank kuomba kufanya Gazebo hapo.. haya umepindua imekuja Pisi kuulizia kazi hata ya kujitolea tu na anakulazimisha umpe namba...😒
Ishi humo Mkuu, hakuna haja ya kukata tamaaFaith is assured exoectancy of things hoped for, the evident demonstration of realities though not beheld
Mhakikishe na mabinti zenu hawaajiri popote, maana nani atawaoa wakiwa watumishi, tena ikiwezekana mabinti wa ukoo wenu wote wasipelekwe shule ili waje kuwa wake bora.....Kwenye ukoo wetu upande wa wajomba, wamesha sema ni marufuku kuoa mtumishi.
maana ni sawa na kuwa na jipu la makalio, lita kupasukia mda wowote.
Wana wake wote wengi ni wasimamizi wa shughuli za familia.
Kwani shule na ndoa vina husiana nini??, maana lengo la kuoa asiye mtumishi ni sababu binafsi.Mhakikishe na mabinti zenu hawaajiri popote, maana nani atawaoa wakiwa watumishi, tena ikiwezekana mabinti wa ukoo wenu wote wasipelekwe shule ili waje kuwa wake bora.....
Duh! Pole sana mkuu.Hamna kitu kama hicho.
Wee mungu kashakupa manual ya huu mwili wako sasa fuata maelekezo u will live long, nenda kinyume basi maisha utayafupisha.
So mie nilishachezea maisha yangu consequences lazima nizipate.
Nitasali na kukesha kanisani kuomba msamaa kwa uzinzi mungu ata nisame lakini kamwe hatatoa madhara ya uzinzi niliyoyapata. Hilo lazima nikabiliane nalo.