Madhara ya chale za waganga wa jadi ni yapi?

Kama kichanjio kimechanja zaidi ya mtu mmoja si Kuna hatari ya magonjwa hapo? nilishawahi kuchanja chale sikupata madhara yoyote hadi leo...
 
Kwa wanaoelewa madhara ya sasa ama baadae ya haya machale ya waganga wa jadi tafadhali tuwekee humu jamvini ili watu wafanye maamuzi magumu maana wivu mtaani umekuwa sugu
Mmh! nilichanjwa chinibya kitovu kidogo tuh!
Ofisin kazi zilikuwa zinaenda tuh!
MaSemina yakutosha sana hata Majuz nilikuwa Dom Semina ya wiki mbili.
Kiufupi mambo yamenyooka ila sasa tatizo lake hii chale ina tia Hamu kweli.... Na Mr kasafir leo kwenda Dom Semina ya Afya wiki 3.
Nipo home tuh hapa DAR nimepooza hataree.
 
Nipo home tuh hapa DAR nimepooza hataree.t
tuh ni nini mkuu?
 
Mmh! nilichanjwa chinibya kitovu kidogo tuh!
Ofisin kazi zilikuwa zinaenda tuh!
MaSemina yakutosha sana hata Majuz nilikuwa Dom Semina ya wiki mbili.
Kiufupi mambo yamenyooka ila sasa tatizo lake hii chale ina tia Hamu kweli.... Na Mr kasafir leo kwenda Dom Semina ya Afya wiki 3.
Nipo home tuh hapa DAR nimepooza hataree.
Ulichanja ili uwe unaenda semina za kutosha?

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom