Zingatia pia comment #90 hapo juu, yaani kama wewe ni mpenzi sana wa kuingia mitandao ya kijamii hususani ile yenye kuhusisha porns, nudity etc kama instagram, facebook, badoo embu achana nazo mara moja.
Japo haitatosha kwa jinsi hili tatizo lilivokuwa sugu tayari kama ulivyokili mwenyewe.
Jini mahaba ndio majini mabaya kabisa yanayopelekea watu hadi kujizulu maisha kwa namna yoyote ile.
Wapo watu wengi mno wamo kwenye hili tatizo lakini hawasemi tu. Wengine ni wafanyakazi wakubwa tu wanalipwa vizuri nk, hivyo wana access ya vitu hivyo wakati wowote ule wakitaka.
Mfano; Mimi nampenda YESU KRISTU WA NAZERET, ndiye aliyenishindia mambo mengi yenye majaribu na mapito magumu lakini namshukuru Mungu yeye anitiaye nguvu.
Kadhalika wewe hata kama ni Muslim wala usijali maana Muslim is a also a TRUE RELIGION OF GOD, kwa hivyo yale yote wanayofundisha iwe mawaidha nk yanakemea sana kuona ama kuonesha utupu wa aina yoyote ile. Hakika afanyaye hayo hataionja mbingu.
Ndio maana hata wanasisitiza mavazi yanayoficha mwili vizuri kwa wanawake.
Usiogope watu watasema nini kwa uamuzi wako wa kukombolewa kiroho utakaochukua sasa maana ndio itakuwa mwisho wa matatizo yako.
Kwa kukusaidia tu please, nenda kaombewe na ukili kutoka moyoni mwako kwamba unaacha kuanzia sasa tabia hiyo chafu. Najua sio wewe, bali ni shetani huyo anakuchezea.
Kuwa mwaangalifu sana humu kwenye mitandao, kuna agents wa shetani wengi tu.
Royo ya Mungu itakukumbusha kila mara unapojaribu kufungua porn kwe mtandao lakini uamuzi na utashi ni wako wala hulazimishwi. Ni kama enzi za Adam na Hawa, ilikuwa hivihivi.
Madhara mengine unayoweza kupata kwa kuwa na jini mahaba ni kwamba hata upate mme handsome and well endowed (amejaliwa mambo fulani) vipi hutaridhika kamwe.
Na ndio chanzo cha ndoa au mahusiano mengi kuvunjika. Maana wewe ubongo wako utazidi kuwa na picha zile kwamba nataka mwanaume awe hivi na anifanyie hivi na vile kama kwe hizo porn za kishetani.
Mungu akusaidie dada jipe moyo utashinda tu nenda kuombewe please, there is the Mighty power in the Name Jesus.
Wengine najua wata comment oooh mara mbona unaleta mambo ya kidini mara sijui nini.
Haisaidii, bali ukweli ndio huo utakao kuweka huru dada. Hata ufunge ujinyime kula na kunywa, bila kukombolewa bado tabu inaweza kuwepo.
Jambo la kuzingatia usije enda sijui wakakwambia eti oooh sasa inabidi uendelee kusali kwetu ili isijirudie tena.
Na na na no...., wakatalie kabisaa.., hamnaga hiyo. Ninachojua mimi dhehebu haliwezi kumpeleka mtu yeyote mbinguni hivyo usidanganywe kwa matatizo yako.
Kinachompeleka mtu mbinguni ni mahusiano mazuri ya kiroho na Mungu aliyeumba vitu vyote.
Simple be careful...