bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Wanawake wasomi wenye ajira familia ni kipaumbele cha mwisho,watoto ulelewa na dada wa kazi,maofisini wameolewa tena,wanashida bar na mashoga zao zaidi,mme sio kipaumbele bali ni title tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wamesoma lakini ukiwaangalia weupe kabisa.Nakubaliana na baadhi ya maandiko yako ya nyuma ila kwa hili la leo nakupinga asilimia mia.
Kusoma na kuwa na akili ni vitu viwili tofauti, oa mwanamke mwenye akili sio mwenye elimu. Wanawake kibao wenye elimu hasa huko maofisini ni wachafu na malaya kupitiliza tunawaona.
Na mwanamke kutongozwa sio kitu Cha ajabu labda ajabu ni kulala na Kila anayemtongoza, kinachopelekea mwanamke kutongozwa ni muonekano na mazingira. Mwanamke mkurugenzi ni rahisi kutongozwa na wakurugenzi wenzake au watu wa Kariba yake, mwanamke anaweza akawa hajasoma ila akatongozwa hata na profesa.
Nimeshtuka Mwanaume kutiririka habari za Wanawake nikahisi kama Kuna shoga mahali sijui hisia zanguNaaam taikon umetiririka vyema kabisa.
Kwa sisi watu wa 2000s ambao wengi tumekulia kwenye familia zenye mama wasomi, tutakupinga sana.2.Kibarua Cha Mwanamke hakina msaada kwa Mume au kwa familia.
Naam wengi wa waliooa wanakiri wazi kabisa pesa na marupurupu ya mwanamke hayana msaada kwa familia yao, watoto wao hadi wao wenyewe kifupi matumizi yao hayatambuliki na hayahojiki kabisa.
Sisi watibeli ngoja niende mbali, sisi wakushi tuna namna yetu ya kusolve mambo.[emoji1][emoji1]
Siku ukipata Stroke au umestaafu au kufukuzwa kazi au kufa alafu umeacha watoto wadogo ndio utajua jinsi ulivyokuwa na mawazo mgando.
Pesa ya Mwanamke inaweza isikusaidie wewe lakini ikasaidia wàtoto wako.
Sio kweli kivipi?Kwa sisi watu wa 2000s ambao wengi tumekulia kwenye familia zenye mama wasomi, tutakupinga sana.
Hii sio kweli hata kidogo.
Mtibeli anachanganya kati ya Punda na Pundamilia.Wanawake wengi wasomi hawafugiki imagine profu anampa course work
si tumeona baba na mama wakishirikiana au unataka maelezo gani?Sio kweli kivipi?
Lete uzoefu wako.
Baba yako alitoa miongozo, baba yako alisimama kama Mwanaume.si tumeona baba na mama wakishirikiana au unataka maelezo gani?