Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kila mwanamke unae zaa naye inabidi upambane naye, mtengeneze maisha ya mtoto na si kungojea urithi wa nyumba kubwa uliochumwa na mke na mme.Ahhaah na watoto inakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mwanamke unae zaa naye inabidi upambane naye, mtengeneze maisha ya mtoto na si kungojea urithi wa nyumba kubwa uliochumwa na mke na mme.Ahhaah na watoto inakuwaje
Haujatueleza madhara,au ......Habari za weekend.
Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae.
Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa.
Ilikuwa hivi.
Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na wakiume 1, watoto asilimia kubwa walifanana na mama yao. Mzee alisema kuwa walikuwa wanapenda na kwenye ile familia tena sana.
Mtoto wake wa kwanza kwenye ile familia aliolewa na mzungu wa USA. Na wa pili ambaye ni binti pia alikuwa anasoma USA. Ila wa mwisho ni wakiume alikuwa hapa bongo.
Yule Baba alikuja kuugua kisukari ambapo ilimpeleka mpaka kufariki. Siku ya msiba alikuja mdada mmoja ana watoto 2 wakiume wamefanana sana na Baba. Mmoja kama miaka mitano hivi na mdogo wake. Watu ndo wakajua kumbe Baba alikuwa na nyumba mbili. Japo watoto wa nje walipishana umri mkuwa tuu na watoto wa ndani ya ndoa.
Mama wa ndoa alishituka sana lile tukio na watoto wake. Kumbe Mume wake alishawatambulisha watoto kwa baadhi ya ndugu. Baada ya msimba. Kwenye mgawanyo wa mali walisema hizi mali ni za kaka yetu na hawa watapata , waliogombana mapaka mahakamani ila ilishindikana walimwambia tuu mama kwa sababu watoto walitambulishwa. Walikuwa na nyumba kadhaa na mali zingine.
Waligawa sawa na tuu na wengine. Kitendo kile kilimpelekea mama kupata msongo wa mawazo mpaka kufariki. Ile ishu iliwaumiza sana watoto wake wakaamua kumzika tuu mama yao. Mwishowe wale watoto waliuza mali zote za Baba yao wakamchukua mdogo wao wa kiume na kwenda nae USA.
Mpaka leo wapo USA na hawana mawasiliano na familia yao upande wa baba tangu waondoke.
Na yule binti baada ya kuchukua mali alikata mawasiliano na ndugu wa Yule Baba aliyezaa nae. Alichukua nyumba moja, mwishowe aliolewa na mume wake alimwambia kuwa anataka watoto wadogo wawe wake kwa hio wabadili jina la mwisho la watoto wawili. Aliishi kwenye nyumba ya yule Baba aliyopewa na mume mpya.
Ni ishu ya kweli yani ndugu wale mzee alisema walijilaumu sana baadae.
JAMANI WANAUME TUACHE KUZAA NJE YA NDOA , KAMA IMETOKEA BASI KUWA MAKINI MADHARA BAADAE YASIJITOKEZE.
MI NI HAYO TUU FRIENDS.
🤣🤣🤣🙌Equation x inatakiwa tukutafutie kijiti au sindano ya wanaume ili usizae ovyo njee
Na wa mke ulishaona wakawa na upendo kwa mumeNdugu wa mume wengi wabinafsi sana na wana roho mbaya balaa
Kabisa ndo maana huwa nasema mwanamke kama kaamua kukubali kuwa nyumba ndogo basi apambane na yeye ajenge uchumi wa mwanaye..Maana wengi wa nyumba ndogo huwa wanakubali luwa nyumba ndogo kwa mwanaume anayejiweza kwa kuwa anajua fika atapata mahitaji. Wengi wao wanachukua nafasi hiyo kuwa nikishazaa basi mahitaji pia yataongezeka. Ndo yanakuja kutoa ya kutokea lawama zinakuja kwa mke wa ndoa kuwa anaroho mbaya hataki kutoa urithi kwa watoto wa wenzao.Kuna uzi nilileta humu, unahusu kuwarithisha mali wake zenu; hii ndio itakuwa suluhisho
Na wa mke ulishaona wakawa na upendo kwa mume
Chukulia mfano,Msongo wa mawazo wa Nini na vitu vya kupita hivi.....uchoyo,ubinafsi ndivyo vyatutesa wanawake....tena mnagawana siyo Kwamba wanachukua vyote.....Jamani maisha haya siyo magumu kiasi hicho....Kila kitu ni ubatili mtupu na hakuna tutakachozikwa nacho....aisee🙌
Hapo anakuwa amekosea kuwapa zote,ila kugawana moyo wangu nijuavyo ni sawa tuChukulia mfano,
Wewe na mumeo mnawatoto 4 wakike tupu.
Miaka 20 iliyopita wewe ulimshauri mume wako mununue ekari 4 mbali na mjini. Mume wako akasema sawa ila wewe ukaamua kumchangia mume wako kidogo.
Mkanunua, baadae mkaamua kujenga taratibu nyumba nne pale.
Mlijinyima sana. Wewe kama mke mumeo akiwa mbali huko ulikuwa unasimamia ujenzi na kwenda kununua vifaa , mume anatoa pesa na wewe kidogo unachangia kwenye ujenzi, wakati mwingine hata unabana pesa ya matumizi home ili tuu mjenge.
Nyumba nne zinaisha baada ya miaka kadhaa.
Wewe unajua baadae mabinti zako watagawana pale nyumba moja moja .
Na kadili mji unavyosogea ndipo thamani ya eneo linaongezeka.
Baadae mpo kwenye miaka 30 ya ndoa.
Mume wako anakuja na watoto 2 wa kiume mapacha, wamefanana hatari ni wakubwa kama 20 years.
Afu anakuambia dear sorry nilikuficha.
Mali zenu zipo kwa jina la mume wako. Afu wewe huna ushahidi kuwa umechangia.
Baadae unasikia mumeo anasema watoto wangu wa kiume ndio watarithi mali zangu.
Vipi wewe utakuwa poa ama???
Mimi ninavyojua hata mke na mume wakagawana kabla ya mume kufa kulimtu akabeba zake.Kwangu watoto wa nje watarithi jasho la Baba yao, jasho langu haliwahusu kamwe....ndo maana naipenda Sheria ya mirathi ya kiislamu.....jasho la mke linatolewa linawekwa Kando kinachobaki kinapigwa pasu, na mke anarithi kwenye Hicho kinachobaki.
Unao uhakika gani kama Mzee hakupata kisukari sababu ya kutengwa na mkewe na watoto?Hivi umesoma vizuri alivyoeleza ujaona kifo hapo cha mama huyo.
Fikilia watoto wa kaka yako kabisa wa baba mmoja na mama mmoja, wanawasusa na kuwasahamu kwa kitendo kilichotokea kwa mama yao.
Utajisikiaje???
Kwa hio unaona ni sawa tuu.
Hayo ndo madhara yenyewe ujayaona mkuu
Duuuu.Sijaona hayo madhara uliyoyasema.
Kuna dada wiki hii alileta uzi kuhusu.Hapo anakuwa amekosea kuwapa zote,ila kugawana moyo wangu nijuavyo ni sawa tu
Sawa unaweza mkafanha hivyo ili its so pain kwa wanawake.Hapo anakuwa amekosea kuwapa zote,ila kugawana moyo wangu nijuavyo ni sawa tu
Mkuu ebu soma tena Habari, unaelewa kweliUnao uhakika gani kama Mzee hakupata kisukari sababu ya kutengwa na mkewe na watoto?
Muite chemba mdogo wako, kuna jambo analijua kati yenu familia.Habari za weekend.
Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae.
Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa.
Ilikuwa hivi.
Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na wakiume 1, watoto asilimia kubwa walifanana na mama yao. Mzee alisema kuwa walikuwa wanapenda na kwenye ile familia tena sana.
Mtoto wake wa kwanza kwenye ile familia aliolewa na mzungu wa USA. Na wa pili ambaye ni binti pia alikuwa anasoma USA. Ila wa mwisho ni wakiume alikuwa hapa bongo.
Yule Baba alikuja kuugua kisukari ambapo ilimpeleka mpaka kufariki. Siku ya msiba alikuja mdada mmoja ana watoto 2 wakiume wamefanana sana na Baba. Mmoja kama miaka mitano hivi na mdogo wake. Watu ndo wakajua kumbe Baba alikuwa na nyumba mbili. Japo watoto wa nje walipishana umri mkuwa tuu na watoto wa ndani ya ndoa.
Mama wa ndoa alishituka sana lile tukio na watoto wake. Kumbe Mume wake alishawatambulisha watoto kwa baadhi ya ndugu. Baada ya msimba. Kwenye mgawanyo wa mali walisema hizi mali ni za kaka yetu na hawa watapata , waliogombana mapaka mahakamani ila ilishindikana walimwambia tuu mama kwa sababu watoto walitambulishwa. Walikuwa na nyumba kadhaa na mali zingine.
Waligawa sawa na tuu na wengine. Kitendo kile kilimpelekea mama kupata msongo wa mawazo mpaka kufariki. Ile ishu iliwaumiza sana watoto wake wakaamua kumzika tuu mama yao. Mwishowe wale watoto waliuza mali zote za Baba yao wakamchukua mdogo wao wa kiume na kwenda nae USA.
Mpaka leo wapo USA na hawana mawasiliano na familia yao upande wa baba tangu waondoke.
Na yule binti baada ya kuchukua mali alikata mawasiliano na ndugu wa Yule Baba aliyezaa nae. Alichukua nyumba moja, mwishowe aliolewa na mume wake alimwambia kuwa anataka watoto wadogo wawe wake kwa hio wabadili jina la mwisho la watoto wawili. Aliishi kwenye nyumba ya yule Baba aliyopewa na mume mpya.
Ni ishu ya kweli yani ndugu wale mzee alisema walijilaumu sana baadae.
JAMANI WANAUME TUACHE KUZAA NJE YA NDOA , KAMA IMETOKEA BASI KUWA MAKINI MADHARA BAADAE YASIJITOKEZE.
MI NI HAYO TUU FRIENDS.
Ndugu wa mume wengi wabinafsi sana na wana roho mbaya balaa
[emoji1666]Kabisa ndo maana huwa nasema mwanamke kama kaamua kukubali kuwa nyumba ndogo basi apambane na yeye ajenge uchumi wa mwanaye..Maana wengi wa nyumba ndogo huwa wanakubali luwa nyumba ndogo kwa mwanaume anayejiweza kwa kuwa anajua fika atapata mahitaji. Wengi wao wanachukua nafasi hiyo kuwa nikishazaa basi mahitaji pia yataongezeka. Ndo yanakuja kutoa ya kutokea lawama zinakuja kwa mke wa ndoa kuwa anaroho mbaya hataki kutoa urithi kwa watoto wa wenzao.
Sawa ni watoto lkn je wakati anahangaika usiku na mchana kutafuta,,haya bado haitoshi hao watoto ni zao la usaliti je moyo wake unauma kiasi gani.
Wanawake ifike hatua tubadilike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za weekend.