mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Hivi karibuni watu walilalamika michezo ya Yanga kununua mechi na kuhonga wachezaji,kila mtu alikaa kimya na leo hii tunaona upuuzi unaoendelea...
TFF na mamlaka nyingine za mambo ya Rushwa pia zilikaa kimya ila matokeo tunayoana sasa.
Wangapi wanajua haya ya yanga ni kichaka cha kuficha mabaya yao yote yaliyokuwa yanasemwa??
Masikini Azam na Simba wao wanacheza kwa jasho uwanjani ila wenzao kutwa kununua wachezaji wa timu pinzani,waamuzi na mipango mingine.
Hili sakata linaloendelea halina afya kabisa kwenye mpira wetu wa Tanzania.