Mtz.mzalendo
JF-Expert Member
- Jul 22, 2012
- 357
- 49
Vipi kuhusu pombe.?
We bwia tu siko ukiona unashindwa vitu vya msingi ndonutaelewa wenzako wanachosema kunywa ukwaju acha hizo!Siachi kunywa hata kwa fimbo........maana naona kilakitu ni sumu. Kitimoto mnasema ni sumu, kuku oooohhh mafua ya Ndege. Sasa mmehamia kwenye vinywaji gongo nalo mnasema ni sumu.......aagggrrrh am confused.
Eti hata bangi ni sumu.......no no katazeni vyote ila pombe ya mnazi niachieni jamani. oooohh Tanga kwetu
Siachi kunywa hata kwa fimbo........maana naona kilakitu ni sumu. Kitimoto mnasema ni sumu, kuku oooohhh mafua ya Ndege. Sasa mmehamia kwenye vinywaji gongo nalo mnasema ni sumu.......aagggrrrh am confused.
Eti hata bangi ni sumu.......no no katazeni vyote ila pombe ya mnazi niachieni jamani. oooohh Tanga kwetu
Watuambie na madhara ya 'kinana premium lager'.
Watuambie na madhara ya 'kinana premium lager'.