Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Unapobisha wakati chemistry hujui, biology vilevile. !
 
vipi kuhusu pale kati mkuu, nako unapiga kavu tu au unaogopa ngoma?
 
vipi kuhusu pale kati mkuu, nako unapiga kavu tu au unaogopa ngoma?
Hakuna uoga katika kifo ile hali unajua kuwa wajibu wa kufa unao lazima uamini kuwa kuna siku utakufa na hata kama sio leo ni kesho hivyo kukwepa kifo kwa kutokunywa soda naona sio kitu kwa mtu makini ambae anajua kuwa ni wajibu wake
 
Matunda pia yanapigwa madawa
kama unalo shamba lako weka sehemu kidogo ya la shamba lako kuwa ni sehemu ya kupanda matunda kama ni machungwa,matango,machenza,Maembe,parachichi, na ndizi mbivu. Uwe unakula vyakula fresh kuliko kwenda kununuwa maduka ya super Market matunda yao ni matunda ya madawa aka matunda feki usinunuwe matunda kwenye maduka ya super market nunuwa matunda kwa wakulima au sokoni.
 
Hakuna uoga katika kifo ile hali unajua kuwa wajibu wa kufa unao lazima uamini kuwa kuna siku utakufa na hata kama sio leo ni kesho hivyo kukwepa kifo kwa kutokunywa soda naona sio kitu kwa mtu makini ambae anajua kuwa ni wajibu wake
Mhhh! basi sawa
 
Mie nadhani mpaka umeandika hii kitu ulipitia kitu kinaitwa biotransformation kama bado kasome upya na Inaonekana nyie ndio wale mnao kurupuka tu kuandika au kuongea kitu ambayo hauna ushahidi nayo
 
Kula matunda Fresh tengeneza mwenyewe nyumbani juisi ya matunda yatakulinda afya yako dhidi ya maradhi na pia matunda ni tiba ya maradhi mengi tu.

View attachment 473418
Hayo yataka maisha ya Uteule kama Kina Makondakta.. Hizo Zabibu za South Africa bei yake ni 6,000/- mkuu. Ulaji wa Matunda ni Anasa mkuu.

Vipi Club Soda nayo ni Hatari?
 

Yule anawakamataga wajinga anapiga hela. Sijui inakuaje watu wanaamini amini kirahisi.
 
kwenye soda yoyote au kinywaji cha kiwandani,kuna kemikali nyingi sana zinawekwa ikiwemo colorflavor ambayo ukitumia kwa muda mrefu hukufanya uwe mtu mwenye stress kupita kawaida maana zinaenda kua accumulated kwenye ubongo,pia kuna kemikali ya kufanya uwe mnene,pia ya kukufanya uwe adict wa kinywaji husika,mimi nilikuwa hivyo mwaka juzi na mwaka jana,kwa siku azam cola mbili mpaka tatu na malaria pia ikawa hainiachi,kila wiki mbili au moja naa natibu malaria,nikaja kusoma kitabu kimoja kinaitwa Natural cure,sababu zinazomfanya mtu augue kubwa ni mbili tu over toxic na utumiaji mkubwa wa prescription drugs yaani madawa ya hospital.Kweli niliacha nikawa nakunywa maji mengi karibia lita 4 kwa siku kwa muda wa wiki nzima na nikawa nikiugua nagonga mwarobaini au na arovera nk,atleast naw naweza maliza miezi 9 au mwaka bila kuuguaugua magonjwa ya bila sababu
Kifupi tatizo lako linatokana na kemikali unazokunywa kwenye soda zinakufanya uwe Addict
 
Asante kwa somo zuri,
Mimi kila siku asubuh huwa nafanya zoezi kwa dk35-40 baada ya hapo nakunywa vikombe viwil vya chai ya tangawizi tu..Je kiafya ipo poa?
Ahsante.
 
Asante kwa somo zuri,
Mimi kila siku asubuh huwa nafanya zoezi kwa dk35-40 baada ya hapo nakunywa vikombe viwil vya chai ya tangawizi tu..Je kiafya ipo poa?
Ahsante.
Uko poa kichizi kwa kunywa chai ya Tangawzi inaongeza nguvu zako za kiume .Kunywa Chai ya Tangawizi usinywe soda hata Soda ya Diet ni mbaya kiafya.

 
wakuu naomba mniambie ikiwa grandmalt nazo zinamadhara kama soda? nipo addicted nazo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…