Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kuhusu pale kati mkuu, nako unapiga kavu tu au unaogopa ngoma?Sawa unahisi kila mmoja anakufa kisa soda ? Osama alikufa kisa soda ? Vipi kuhusu Saddam Hussein ,Nyerere,Mandela nk.
Huwezi kwepa kifo au maradhi ile hali hujui lini unakufa ni sawa na kukaa miaka 20 bila kunywa soda afu mwaka wa 21 unagongwa na gari unafariki sijui kama utajutia maamuzi yako ile hali haupo duniani.
Kwangu mimi MUNGU ndie kuongozi wangu hata nikilala Bonite kama hatapanga Mimi kufa na maradhi yanayotokana na soda nitabaki hai hadi siku nakufa kwa Mapenzi yake.
Matunda pia yanapigwa madawaSoda ni Soda ikiwa Soda ya Diet au soda ya kawaida ili mradi ni Soda sio nzuri kiafya kula matunda fresh toka shambani.Tengeneza juisi ya matunda nyumbani kwako kwa fya yako achana na sumu inayo kuuwa wewe taratibu bila ya wewe kujijuwa kama unakufa taratibu. (Silent Killer)
View attachment 473441
Hakuna uoga katika kifo ile hali unajua kuwa wajibu wa kufa unao lazima uamini kuwa kuna siku utakufa na hata kama sio leo ni kesho hivyo kukwepa kifo kwa kutokunywa soda naona sio kitu kwa mtu makini ambae anajua kuwa ni wajibu wakevipi kuhusu pale kati mkuu, nako unapiga kavu tu au unaogopa ngoma?
kama unalo shamba lako weka sehemu kidogo ya la shamba lako kuwa ni sehemu ya kupanda matunda kama ni machungwa,matango,machenza,Maembe,parachichi, na ndizi mbivu. Uwe unakula vyakula fresh kuliko kwenda kununuwa maduka ya super Market matunda yao ni matunda ya madawa aka matunda feki usinunuwe matunda kwenye maduka ya super market nunuwa matunda kwa wakulima au sokoni.Matunda pia yanapigwa madawa
Mhhh! basi sawaHakuna uoga katika kifo ile hali unajua kuwa wajibu wa kufa unao lazima uamini kuwa kuna siku utakufa na hata kama sio leo ni kesho hivyo kukwepa kifo kwa kutokunywa soda naona sio kitu kwa mtu makini ambae anajua kuwa ni wajibu wake
Hayo yataka maisha ya Uteule kama Kina Makondakta.. Hizo Zabibu za South Africa bei yake ni 6,000/- mkuu. Ulaji wa Matunda ni Anasa mkuu.Kula matunda Fresh tengeneza mwenyewe nyumbani juisi ya matunda yatakulinda afya yako dhidi ya maradhi na pia matunda ni tiba ya maradhi mengi tu.
View attachment 473418
Siku moja nimekuta jamaa kakusanya watu anawaambia wakila mayai yakuku wakisasa watakua mashoga.kachanganya changanya hapo matakataka yake akalitumbukiza yai kwenye condom yenye maji yenye ayo matakataka baada ya muda akalipasua lile yai akalionyesha uku akisema ile rangi yamaji ndo iyo iko kwenye yai na tumbon kwetu kuko ivyo.alafu akasema kwawale mliokula ayo mayai nauza dawa zakusafisha iyo sumu kwa elfu 10 tu.Nikamuuliza kati ya hizo dawa zake zamiti tusiyoijua na ayo mayai kipi kitakua hatari kwa afya zetu akaanza kua mkali.kwaiyo ayo makatazo yanayoenda sambamba nakuuzia watu madawa yamiti shamba yasiyothibitishwa muache.
Wanakunywa vichochoroni...kwenye hadhira wanasema wameokoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu naskia hizo k
awamu hii no.5 mnazipiga wachache,wengi ni team coca na pepsi baridi! eti wanadai wameokoka
kwenye soda yoyote au kinywaji cha kiwandani,kuna kemikali nyingi sana zinawekwa ikiwemo colorflavor ambayo ukitumia kwa muda mrefu hukufanya uwe mtu mwenye stress kupita kawaida maana zinaenda kua accumulated kwenye ubongo,pia kuna kemikali ya kufanya uwe mnene,pia ya kukufanya uwe adict wa kinywaji husika,mimi nilikuwa hivyo mwaka juzi na mwaka jana,kwa siku azam cola mbili mpaka tatu na malaria pia ikawa hainiachi,kila wiki mbili au moja naa natibu malaria,nikaja kusoma kitabu kimoja kinaitwa Natural cure,sababu zinazomfanya mtu augue kubwa ni mbili tu over toxic na utumiaji mkubwa wa prescription drugs yaani madawa ya hospital.Kweli niliacha nikawa nakunywa maji mengi karibia lita 4 kwa siku kwa muda wa wiki nzima na nikawa nikiugua nagonga mwarobaini au na arovera nk,atleast naw naweza maliza miezi 9 au mwaka bila kuuguaugua magonjwa ya bila sababuHii kitu ina ukweli hasa hapo kwenye sababu ya 7, kiukweli nikikosa Pepsi kwa siku nahisi arosto kabisa, nitapiga miayo na kuhisi kupungukiwa kitu mpaka nikamate Pepsi baridi. Wataalamu wa afya wafuatilie hivi vinywaji vya cola nahisi kuna kitu hatari sana wanatuwekea.
Shukrani kwa darsa Dr Mzizi Mkavu lakini pia naomba unisaidie mbinu za kuacha hiki kinywaji maana nimejitahidi kwa hali ya kawaida nimeshindwa.
Uko poa kichizi kwa kunywa chai ya Tangawzi inaongeza nguvu zako za kiume .Kunywa Chai ya Tangawizi usinywe soda hata Soda ya Diet ni mbaya kiafya.Asante kwa somo zuri,
Mimi kila siku asubuh huwa nafanya zoezi kwa dk35-40 baada ya hapo nakunywa vikombe viwil vya chai ya tangawizi tu..Je kiafya ipo poa?
Ahsante.
kweli kabisaKila kitu kilizidishwa ndio tatizo
Kunyweni soda kama kawaida lakin usizidshe.
Ndo mana Mimi sinywi soda