Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Soda 1=vijiko vikubwa 13 vya sukari guru + kemikali. Tafakari
Sukari guru haitumiki kwenye utengenezaji wa soda. Inatumika kwenye utengenezaji wa konyagi.
Kwenye soda inatumika white refined sugar, concentrate ya soda husika, maji na carbon dioxide.
 
Ningemwambia najua ni sumu nakunywa Kwa siku 3 na nataka nife. Asinichoshe
 
Ukinywa sana soda una hatari ya ugonjwa wa osteoporosis yaani kupunguza density ya mifupa yaani mifupa kuwa laini.Hii inaweza kuleta cancer ya mifupa.Inasababishwa na benzoic acid ambayo inawekwa kwenye soda kama preservative
 
Habari..

Binafsi, nilikua Mnywaji wa soda kwa muda mrefu, Ghafla kukawepo na wimbi la taarifa zikisema soda zina madhara.Ikabidi ni sitishe Unywaji wa Soda kwa kiasi kikubwa.

Ninaomba Kufahamishwa, Je, unywaji wa Soda Ni Hatari kwa Afya??

Kama Ndiyo, Kwanini Mamlaka Husika, Zinaruhusu utengenezwaji wa vinywaji hivyo??

Ninaomba Kufahamishwa...
 
Kumbe hata wewe ulisimamisha bila sababu za hasa nini kila uliambiwa zina madhara 😴
 
Hata sigara na Pombe navyo pia Sio sahihi kutumiwa kwa Binaadam ila basi tu kwa sababu ya kodi inayoendana Serikalin days y tunatumia had kesho...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafamasia (pharmacists) hutoa angalizo na kusema. "The bests medicines are dangerous poisons".
Kwa maana hiyo kila kitu kizuri kikitumiwa kupita kipimo kinaweza kusababisha kifo au maradhi makubwa.

Pombe zote ni sumu kali ndiyo maana hata watengenezaji huandika kwenye vifungashio unywe kwa ustaarabu.
Ni hatari sana mtu kunywa soda zaidi ya moja kwa siku kwa sababu kinywaji hiki kina sukari ya viwandani nyingi pamoja na madawa mengine ya kuihifadhi ili isiharibike.

Kwa maana hiyo soda ni muhimu kuinywa lakini kwa kiasi na hapo tu unapokuwa umechoka na unahitaji nguvu zaidi za kufanya kazi ili uchome sukari na kutoka jasho litakalotoa sumu yote mwilini.
 
Kila kitu kikizidi kina madhara....hili ndo jibu la swali lako
 
Kwa kawaida ukinywa vijiko 10 vya sukari ulistahili kutapika au kushikwa na kichefuchefu ila asante kwa phosphoric acid iliyomo kwenye soda hizo ule ukakasi wa radha ya sukari unapotea ndio maana hutapiki unakunywa kwa raha zako.

Baada ya dakika 40 sukari yote inazama kwenye mishipa ya damu yako, Asante Mungu kama ulikuwa na pressure ya kushuka madakitari watakwambia kunywa coca cola moja maana ndani ya hizo dakika 40 blood pressure yako itapanda juu.

Baada ya B.P kuwa juu mapigo ya moyo wako yataanza kubadilisha formula ya utendaji kazi wake moja kwa moja utaanza kukaribisha ugonjwa moyo.

Asante Mungu kwenye mishipa yako tayari kuna cholesterol zimeanza kujitengeneza zinausongelea moyo bila kusahau kwa wiki ukiwa unaweza kunywa kati ya chupa mbili (2) za soda basi figo lako limeanza kutunga mafuta kwenye kuta zake.

Unywaji wa soda ni chanzo cha:
- Magonjwa ya Moyo
- Kuziba kwa mishipa ya damu
- Kupata cholesterol ambayo inaongeza kisukari
- Kuharibu mishipa ya moyo
- Kutungisha mafuta kwenye figo na figo moja kulinunua ni zaidi ya $336,000
- Kupandisha pressure kuwa juu ya damu
- Hutanua mishipa ya damu
- Husababisha kukosa usingizi hasa kutokana na caffeine iliyomo kwenye kinywaji cha coca cola
- Ni chanzo cha kutoboka kwa meno na kungooka"
- Huzuia kupata choo
- Saratani
- Inachumbua tumbo = Vidonda vya tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise! Sasa hapo shida ni wingi wa sugar?au rangi nyeusi ktk hizo soda za Pepsi na coca, je? kwa soda aina nyingine zilizobaki ambazo nazo zina wingi wa sukari nazo ni hatari she?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara ya Soda .... Pepsi/ Coca-Cola
 

Attachments

  • IMG-20200128-WA0002.jpg
    IMG-20200128-WA0002.jpg
    19.2 KB · Views: 10
Back
Top Bottom