Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Huwa naamini hivi vinywaji vya viwandani vyooote LAZIMA vina madhara kwa bdae.

Kuna watu soda na bia haziishi kwenye friji zao.

Huwa nawaangalia tu.

Haya Yoote ni masumu yatakumaliza.

Yaani pesa zako zinakumaliza.

Kunywa maji zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengi humu wataiongelea sana soda kuwa hatari ila wakisahau kuwa maji ya dukani tunayokunywa ndo sumu moja hatari mno maana yenyewe hata mdudu hayasogelei
 
Lete facts mkuu, uhatari wake nini?.
Properties zipi za maji ya dukani zinaifanya hayo maji kuwa sumu?.
Chemicals zinazowekwa kwenye maji ni hypochlorite, antiscalant na base za kuboost pH. Kipi hapo kinachoongeza sumu?.
 
Anything too much is harmful......Hata maji haya ambayo hayana kemikali zozote zenye madhara ukizidisha yanaleta madhara mwilini.....Cha msingi ni kula mboga za majani ,matunda ku neutralise free radicals.
 
Lete facts mkuu, uhatari wake nini?.
Properties zipi za maji ya dukani zinaifanya hayo maji kuwa sumu?.
Chemicals zinazowekwa kwenye maji ni hypochlorite, antiscalant na base za kuboost pH. Kipi hapo kinachoongeza sumu?.
Na kwa nini ubusti PH?
 
Kinachoongeza sumu ni hizo chemicals ulizozitaja. Kemiko ni kemiko tu, kuziainisha ni kujifariji tu.
 
Hata hayo maji uyasemayo ya bomba yana chemical, hamna maji utachimba kisimani yakawa na H na O tu. Hayo ya bomba pia yanapitia treatment, hawachimbi tu na kuanza kuyagawa.
 
Na kwa nini ubusti PH?
Ni shule pana kidogo, ila maji asilimia kubwa yanayochimbwa ni base au neutral. Ila yakipita kwenye RO ambapo yanaondolea chumvi pH yake inashuka. Ili kurudisha pH ambayo ni suitable kwa matumizi ya binadamu basi wanafanya hiyo pH adjustment.
 
Asante kwa shule
 
Back
Top Bottom