kwa hiyo hunywi kabisa? Nifanyeje ili niache? Niliambiwa konyagi inasaidia ku loose weight, kumbe si lolote, nimenenepa zaidi sasa nina 83 kg, jamani! Halafu kuiacha imekuwa taabu
Me ndio maana huwa nawashauri watu kunywa BIERE kwa afya zao,kwenye BIERE kuna mambo mazuri sana (1)tunaongeza damu(2)tunakutana na watu mbali mbali na kupeana michakato ya kimaisha mbali mbali nk nk nk..........
Nipe ushahidi wa kisayansi kuonyesha kuwa Beer inaongeza damu. Bila shaka wewe ni mmoja wa wale wanaodanganywa kuwa ukinywa bia unaongeza damu.
Me ndio maana huwa nawashauri watu kunywa BIERE kwa afya zao,kwenye BIERE kuna mambo mazuri sana (1)tunaongeza damu(2)tunakutana na watu mbali mbali na kupeana michakato ya kimaisha mbali mbali nk nk nk..........
wakubwa mie soda siachi!! sitapata kisukari au tatizo lolote!! bia sinywi halafu mnanikataza na soda? sitaki
kwa hiyo hunywi kabisa? Nifanyeje ili niache? Niliambiwa konyagi inasaidia ku loose weight, kumbe si lolote, nimenenepa zaidi sasa nina 83 kg, jamani! Halafu kuiacha imekuwa taabu
mie nipo kwenye mpango wa kuacha soda. Nikipata hamu ya soda nakunywa maji. Natumaini nitaweza.