Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Nimeshatupia Pepsi kama nne had asaiv kwa wiki napiga cret zima nikihesabu duuuh izo sumu nilizonazo ss shida
Mkuu andaa kabisa na pesa ya matibabu, maana hakika madhara utakutana nayo tu....