Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Mama yangu ana miaka 91, halali bila kupata Coca 2 baridi. Hana sukari, presha, cancer wala figo
Anasoma biblia bila miwani. Anakumbuka enzi za ukoloni, Uhuru, ujamaa na majina yote. Mbona hamsemi Viroba?
Baba yangu alifariki at his 94 na sisi tumemkuta anapiga soda kama kawaida. Hebu watuache huko. Sasa wanataka kutuambia energy drinks ndo nzuri kuliko soda? Sasa wanataka kutuambia viroba vina nafuu? Leo hii nimepiga soda yangu ta baridi baada ya kula pilau langu la Krismas. Bila soda baridi huwa sijisikii!
 
Hivi leo mbona kwenye avatar zetu kuna ki-mkongojo chenye rangi nyeupe na nyekundu ni kitu gani hicho? Isije kuwa tumeanza kudukuriwa jamani!!
 
Sijaona Duniani huku kitu ambacho si sumu hata maji ukinywa sana ni sumu ugari ni sumu wali ni sumu nyama ni sumu mimi uamuzi wangu nitakataa kula au kunywa kitu nikiambiwa ni dhambi hicho tu kwa sababu hatanikiacha kunywa au kula kufa nitakufa tu ukisha zaliwa lazima ufe sasa unaogopa nini? Watu hawanywi soda wanakufa na ajali jamani hebu acheni hizi mada zaupuuzi
 
Mleta uzi na yeyote anayeamini kwamba soda ni sumu MSINYWE. Kila mtafiti anakuja na utafiti wake; mara nyama nyekundu haifai kwa afya, nguruwe wana minyoo, mbuzi wana uric acid, kondoo wana mafuta mengi, samaki wanavuliwa kwa mabomu, mboga za majani limestawishwa na dawa hatarishi, maziwa ya ng'ombe yana viini vya dawa hatarishi zilizotibu ng'ombe, au yana mimyoo, dagaa wana tegu, starch inapandisha sukari, chumvi inapandisha pressure, n.k; n.k.Kwa hiyo tusile na tusinywe? Fanyeni utafiti lakini mlete na mbadala wa hayo mbayoyaona yana kasoro. Humu duniani kuna chochote kisichokuwa na madhara kama kikipita kiasi? Tuweni tu na kiasi; lakini hata maji safi na salama yakizidi mwilini yanaweza kuleta madhara.
 
Sawa tumesikia lakini hatuachi kunywa.

Magari kila siku yanapata ajali lakini hatuachi kuyapanda tena ukinunua jipya unafanya sherehe kabisa.

Ngono kila siku wanasema inasababisha magonjwa ila kila siku tunagongana ndio ije kuwa soda.

Hatuachi ng'ooooooooooooo
 
Mleta uzi na yeyote anayeamini kwamba soda ni sumu MSINYWE. Kila mtafiti anakuja na utafiti wake; mara nyama nyekundu haifai kwa afya, nguruwe wana minyoo, mbuzi wana uric acid, kondoo wana mafuta mengi, samaki wanavuliwa kwa mabomu, mboga za majani limestawishwa na dawa hatarishi, maziwa ya ng'ombe yana viini vya dawa hatarishi zilizotibu ng'ombe, au yana mimyoo, dagaa wana tegu, starch inapandisha sukari, chumvi inapandisha pressure, n.k; n.k.Kwa hiyo tusile na tusinywe? Fanyeni utafiti lakini mlete na mbadala wa hayo mbayoyaona yana kasoro. Humu duniani kuna chochote kisichokuwa na madhara kama kikipita kiasi? Tuweni tu na kiasi; lakini hata maji safi na salama yakizidi mwilini yanaweza kuleta madhara.
Wee acha tuu! Kabeji ina sijui iodine inaleta goitre, pampas zinawasha, dawa za hospital ni sumu, xray inafupisha maisha, nyanya zinaleta acid, na mengineyo. Ili mradi binadamu hatuna zuri.
 
MMESHAANZA! SODA TUMEANZA KUNYWA LEO? TENA NISEME HIZO SOFT DRINK NYINGI ZILIZOKUJA HIVI KARIBUNI NDO ZIMELETA HAYA MATATIZO , SODA ZIMEKUWEPO MUDA MWINGI. NAJUA ZINA MADHARA ILA SIO KIASI HICHO MMNAVYOONGEA NA ANYTHING TOO MUCH IS ALWAYS HAMFUL.
 
kunyweni azam juice na ful sana na juic na take away zote za mo na bakharesa
SODA TUMEKUNYWA MIAKA MINGI KAMA MADHARA TUNAYAPATA SASA IVI NI MUHIMU KUJIULIZA NI KINYWAJI GANI KIMEKUJA IVI KARIBUNI NA BILA SHAKA HICHO NDO KINALETA SHIDA.
 
Mimi nitakunywa tu soda..."an african man will have unprotected sexual intetcourse with a girl he just met, and there after fasten his seatbelt while driving to protect himself as if a few minutes ago he did not want to kill himself..
 
SODA TUMEKUNYWA MIAKA MINGI KAMA MADHARA TUNAYAPATA SASA IVI NI MUHIMU KUJIULIZA NI KINYWAJI GANI KIMEKUJA IVI KARIBUNI NA BILA SHAKA HICHO NDO KINALETA SHIDA.
business war tu naona
 
Back
Top Bottom