Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa. Hata usipokunywa soda, kuna siku utakufa tu.Tuboreshe huduma za Afya.Mengine ni hadithi tu.
Baba yangu alifariki at his 94 na sisi tumemkuta anapiga soda kama kawaida. Hebu watuache huko. Sasa wanataka kutuambia energy drinks ndo nzuri kuliko soda? Sasa wanataka kutuambia viroba vina nafuu? Leo hii nimepiga soda yangu ta baridi baada ya kula pilau langu la Krismas. Bila soda baridi huwa sijisikii!Mama yangu ana miaka 91, halali bila kupata Coca 2 baridi. Hana sukari, presha, cancer wala figo
Anasoma biblia bila miwani. Anakumbuka enzi za ukoloni, Uhuru, ujamaa na majina yote. Mbona hamsemi Viroba?
Wee acha tuu! Kabeji ina sijui iodine inaleta goitre, pampas zinawasha, dawa za hospital ni sumu, xray inafupisha maisha, nyanya zinaleta acid, na mengineyo. Ili mradi binadamu hatuna zuri.Mleta uzi na yeyote anayeamini kwamba soda ni sumu MSINYWE. Kila mtafiti anakuja na utafiti wake; mara nyama nyekundu haifai kwa afya, nguruwe wana minyoo, mbuzi wana uric acid, kondoo wana mafuta mengi, samaki wanavuliwa kwa mabomu, mboga za majani limestawishwa na dawa hatarishi, maziwa ya ng'ombe yana viini vya dawa hatarishi zilizotibu ng'ombe, au yana mimyoo, dagaa wana tegu, starch inapandisha sukari, chumvi inapandisha pressure, n.k; n.k.Kwa hiyo tusile na tusinywe? Fanyeni utafiti lakini mlete na mbadala wa hayo mbayoyaona yana kasoro. Humu duniani kuna chochote kisichokuwa na madhara kama kikipita kiasi? Tuweni tu na kiasi; lakini hata maji safi na salama yakizidi mwilini yanaweza kuleta madhara.
Jana Citizen tv niliona Ethiopian hapo eistlegh wakila nyama mbichi na ugali kwa raha zao. Imekatwa vipande toka buchani bila kupitia motoni!duuuh sasa sijui tutumie kinywaji gani?
SODA TUMEKUNYWA MIAKA MINGI KAMA MADHARA TUNAYAPATA SASA IVI NI MUHIMU KUJIULIZA NI KINYWAJI GANI KIMEKUJA IVI KARIBUNI NA BILA SHAKA HICHO NDO KINALETA SHIDA.kunyweni azam juice na ful sana na juic na take away zote za mo na bakharesa
business war tu naonaSODA TUMEKUNYWA MIAKA MINGI KAMA MADHARA TUNAYAPATA SASA IVI NI MUHIMU KUJIULIZA NI KINYWAJI GANI KIMEKUJA IVI KARIBUNI NA BILA SHAKA HICHO NDO KINALETA SHIDA.
Umeona eeeeeeeSoda imeanza kuwa sumu tangia lini? Na kama ni sumu mbona hatujasikia hata msiba mmoja mtu kafa kwa kunywa soda?
Kama soda ni sumu basi tutakunywa na maziwaa..