Madhara ya Utawala wa Awamu ya Tano yameanza kulitafuna taifa; Nani wa kulaumiwa?

Mama alikuwepo kwenye awamu ya tano kama makamu wa rais, na hata baada ya tukio lile la 17 03, bado anamsimamo uleule wa kutokuwasikiliza wapinzani na kuruhusu demokrasia. Sasa ameleta tozo za kibabe na kesi za kubambikiza kama ilivyokuwa wakati ule, kwa hiyo wa kulaumiwa si mwingine ni mama huyo huyo.
 
Hii mada haihusu hata kidogo swala la korona. Corona kajadiliane na Gwajiporno
Unamuita gwajiporno wakati kamati kuu nzima ya chadema ilikuwa inahamia kanisani kwake kwenda kusikiliza ubuyu wa bashite?

Hivi unajua kama aliwahi kuwa mshenga wetu wa kumleta Lowasa chadema?
 
Hakuna mahali ambapo dhuluma iliwahi kushinda. Kwa kadiri tunavyoenda, hali itazidi kuwa mbaya zaidi.

Madhara ya utawala mbaya wa awamu ya 5, yataanza kuonekana kwenye utawala wa awamu ya 6, na yataendelea kulitafuna Taifa kwa muda usiopungua miaka 15.

Kutoka tulipo na kuzuia mambo mabaya zaidi kutokea:

1) Tuwe na bunge lililotokana na matakwa ya wananchi. Kilichopo sasa, kinachoitwa Bunge, ni genge la wahalifu ambao waliteuliwa na marehemu Magufuli kwa matakwa na vigezo vyake. Robo tatu ya waliomo kwenye hilo genge, hata kwenye kura za maoni ndani ya CCM, hawakushinda.

2) CCM iondoke kutoka kuwa genge la wauaji (greenguards wengi ndio hao wasiojulikana. Kazi yao ni ku-terrorize watu. Kwa maana ya ugaidi, CCM ni kikundi chenye sifa za kigaidi), na kuwa chama cha siasa, kinachoheshimu matakwa ya wananchi.

3) Mahakama na Bunge viwe mihimili kamili ya dola kuliko kuwa idara za CCM na Serikali.

4) Jeshi la polisi liundwe upya ili kulibadili kutoka kuwa genge la uhalifu dhidi ya wananchi na Jamhuri na kuwa chombo cha kulinda raia, kulinda haki za kiraia, haki za vyama vya siasa, haki za vyombo vya habari na ulinzi wa mali za wananchi na umma.

5) Ofisi ya msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, zifutwe na kuundwa upya baada ya kutungiwa sheria mpya.

6) Sheria zote za kigaidi kama zile za vyama vya siasa, vyombo vya habari, sheria ya mitandao, sheria zinazoruhusu DC na RC kuwaweka watu ndani, zifutwe

7) Makosa yote yawe na dhamana isipokuwa makosa ya mauaji tu.

8) Itungwe sheria ya kudhibiti matumizi mabaya ya vyombo vya dola ambapo anayetoa amri na anayetekeleza, ikithibitika walifanya kwa uonevu na kwa kudhamiria, wahusika wote watumikie jela, hii ikiwa ni pamoja na polisi wanaowabambikia watu kesi.
 
Sasa mama yako kwanini asivitoe?

Hebu kalipe kodi haraka ukitoka hapo upite ukonga kumsabahi gaidi

ni ngumu kuvitoa ccm ni mkusanyiko wa wahuni majangili wezi wa mifukoni wadangaji magaidi, kwa kifupi ni kundi la hovyo hovyo sana
 
Sabaya anaoja nini?? POLEPOLE JE, lini umemuona Palamagamba kabudi kwa mara ya mwisho?? unahisi mambo yako kama zamani?? Je umemsikia Alli Bashiru?? hii ndio kuonja joto la Jiwe.
Kwa hiyo hao ilikuwa ndio sababu ya gaidi kutokamatwa kwa miaka yote 5 mpaka kuja kukamatwa hii juzi na kupelekwa ukonga?
 
ni ngumu kuvitoa ccm ni mkusanyiko wa wahuni majangili wezi wa mifukoni wadangaji magaidi, kwa kifupi ni kundi la hovyo hovyo sana
Ila lile kundi liloko kwa amsterdam, lingine canada, lingine ukonga ndio makundi ya maana?
 
Sabaya anaoja nini?? POLEPOLE JE, lini umemuona Palamagamba kabudi kwa mara ya mwisho?? unahisi mambo yako kama zamani?? Je umemsikia Alli Bashiru?? hii ndio kuonja joto la Jiwe.
Kwa kifupi huna hoja ya msingi Mkuu zaidi ya mihemuko,Kabudi,PolePole,Bashiru wameonja vipi joto?
 

kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha kundi la ISIS na ccm
 
Tofauti ya awamu ya 4 na ya 5 ni kuwa awamu ya 4 matajiri walikuwa wanawatapikia masikini na awamu ya 5 hao matajili walio kuwa wanawatapikia masikini walishughulikiwa kusawasawa ushauri
Ukiwa tajiri usiwatapikie masikini ,kuwa tajiri katika haki
 
Watu mnashindwa ku kubali mlikuwa wrong dhidi ya Magufuli, sasa Magufuli hayupo na mlichotarajia hakiji ili kuendeleza u mbuni bado mna ji mbuni tu kichwa mchangani.
Umeandika ukweli wenyewe kabisa wanaona haya kutubu mbele ya magufuli sijui watajinasua namna gani maana watz tumemkubali magufuli kuwa ni kiongozi mwema kabisa aliye kuwa Ikulu si kwa maslai yake binafsi bali maslai ya watz tofauti na mpuuzi mkwere
 
Kwani huyu mtu ni gaidi au alidhulumiwa haki yake?

Hebu twambieni mabavicha maana mnajichanganya sana kwenye hili suala
Mimi na amini kama magufuli angekuwa raisi tusinge mpoteza Hamza kwa kuwa asinge kuwa na sababu za kuua askari, maana magufuli alikuwa ni Nuru ya matumaini tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…