- Thread starter
- #21
Sawa.=madhila
Toa kanuni ya matumizi ya "r au L" zaidi ya uzoefu tu wa matumizi ya maneno husika.
Sawa.=madhila
Haana. Ndio kwanza imeanza. Wewe huoni wanavyo hangaishwa na "NO REFORM, NO ELECTION"?Kazi imeisha
NO REFORMS, NO ELECTION.Ule mpango uliokuwa umemnasa Mbowe, na kwa pamoja CHADEMA ulipo vurugika kwa mteja kupoteza raslimali muhimu iliyokuwa imapangwa aiwasilishe na kujisalimisha kwa Samia na Genge lake; ilibidi haraka haraka mafundi watengeneze mitego ya kuikwamisha CHADEMA Mpya, chini ya uongozi mpya haraka iwezekanavyo ili mipango ya Genge kuendelea kuishikilia serikali isivurugike.
Kwanza waliwategemea wapinzani wa ndani ya chama (wa upande wa Mbowe) kwamba watakivuruga chama na kukisambaratisha. Ilipoonekana hili haliwezekani wakawatumia hao hao kwa mbinu ya kujiondoa ndani ya chama, ikitegemewa kuwa CHADEMA itatikisika kwa wingi wa wanachama watakaoondoka ndani ya chama. Hili nalo liliposhindikana kuitikisa CHADEMA wakaona wawawezeshe waliojiondoa kwa kuwapeleka CHAUMMA kwa kelele nyingi za kuwatishia waliobaki ndani ya CHADEMA kukosa kushiriki kwenye uchaguzi. Kizingiti hiki pia kimeshindwa kuizuia CHADEMA kuendelea kuwa chama chenye matumaini kwa wananchi.
Wengi wa watu walio tkwa, kupotezwa na kuuawa ni watu waliojitambulisha kuwa karibu na CHADEMA. Kwa hiyo hii nayo ilikuwa ni mbinu ya kuwatisha watu wasijihusishe na chama hicho.
Kwa upande wa serikali, kupitia kwa Msajiri wa Vyama vya siasa, naye hakubaki nyuma kutekeleza mipango ya kuidhoofisha CHADEMA; kwa mfano, kwa kutowatambua viongozi wa chama walioteuliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi; na kama hili halitoshi CHADEMA wakaambiwa hawatashiriki katika chaguzi mbalimbali tokea sasa hadi 2030; kwa sabau tu ya kukataa kusaini kikaratasi cha yanayoitwa maadili ya uchaguzi
Yoote haya yameonekana kushindwa kukidhibiti CHADEMA, ambacho sifa zake zinazidi kuenea miongoni mwa wananchi
Lakini, kilicho watisha zaidi Genge na Samia mwenyewe, ni hii Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION". Wamejaribu kila mbinu kuwahadaa wananchi kwamba marekebisho yaliyofanywa kwa kupitisha sheria "Feki" ya kuunda "Tume Huru "FEKI"" yanatosha kuufanya uchaguzi kuwa wa HAKI. Kinacho washinda kujieleza kwa wananchi ni swali rahisi: Kuna ugumu gani wa kutengeneza Kanuni mpya zitakazo hakikisha uchaguzi utakuwa HURU na wa HAKI? Hawana jibu la swali hili rahisi kabisa!
Badala ya kujibu hilo swali na kufanya maandalizi ya kutengeneza kanuni za uchaguzi, wameona kitu rahisi kwao ni kuendelea kuivuruga CHADEMA ili isiweze kuendelea na mipango yake ya kuwaongoza wananchi kukataa uchaguzi usiokuwa HURU na HAKI.
Kwa hiyo wakageuzia mbinu zao kuwazushia kesi za uongo viongozi na kuwaweka ndani; wakitegemea kuwa ile Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION" itakufa. Badala ya kufa, Kameni ndonkwanza inapamba moto, kwa viongozi walio baki kufanya kazi nzuri sana ya kuelezea uchafu wa chaguzi zote zifanywazo na CCM.
Sasa wameamua CHADEMA isimamishwe kufanya shughuli za chama, kwa kuibua kesi ya waZanzibari.
Na huko mahakamani, wanahakikisha kwamba kesi zinapigwa danadana na wala haionyeshi zitapita haraka kuiachia muda CHADEMA iendelee na shughuli zake za kisiasa
Hizi zote ni mbinu tu, zinazotengenezwa, ili kuiachia njia wazi CCM
Sasa katika hali ya namna hii waTanzania wafanye kitu gani kuhakikisha kwamba HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao inlindwa?
"NO REFORM, NO ELECTION" ni lazima iendelee kwa nguvu zaidi.
Wewe uliahidi kufa na mwili wako kuwa "MZOGA". Subiri hiyo ahadi itatimia.Kwani Chadema ipo hai sasa hivi?
I'm waiting!Wewe uliahidi kufa na mwili wako kuwa "MZOGA". Subiri hiyo ahadi itatimia.
Msiba wa kujitakia hauna kilio. Kila wakipewa kete bwege wanakula. Sisi tufanyeje?Ule mpango uliokuwa umemnasa Mbowe, na kwa pamoja CHADEMA ulipo vurugika kwa mteja kupoteza raslimali muhimu iliyokuwa imapangwa aiwasilishe na kujisalimisha kwa Samia na Genge lake; ilibidi haraka haraka mafundi watengeneze mitego ya kuikwamisha CHADEMA Mpya, chini ya uongozi mpya haraka iwezekanavyo ili mipango ya Genge kuendelea kuishikilia serikali isivurugike.
Kwanza waliwategemea wapinzani wa ndani ya chama (wa upande wa Mbowe) kwamba watakivuruga chama na kukisambaratisha. Ilipoonekana hili haliwezekani wakawatumia hao hao kwa mbinu ya kujiondoa ndani ya chama, ikitegemewa kuwa CHADEMA itatikisika kwa wingi wa wanachama watakaoondoka ndani ya chama. Hili nalo liliposhindikana kuitikisa CHADEMA wakaona wawawezeshe waliojiondoa kwa kuwapeleka CHAUMMA kwa kelele nyingi za kuwatishia waliobaki ndani ya CHADEMA kukosa kushiriki kwenye uchaguzi. Kizingiti hiki pia kimeshindwa kuizuia CHADEMA kuendelea kuwa chama chenye matumaini kwa wananchi.
Wengi wa watu walio tkwa, kupotezwa na kuuawa ni watu waliojitambulisha kuwa karibu na CHADEMA. Kwa hiyo hii nayo ilikuwa ni mbinu ya kuwatisha watu wasijihusishe na chama hicho.
Kwa upande wa serikali, kupitia kwa Msajiri wa Vyama vya siasa, naye hakubaki nyuma kutekeleza mipango ya kuidhoofisha CHADEMA; kwa mfano, kwa kutowatambua viongozi wa chama walioteuliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi; na kama hili halitoshi CHADEMA wakaambiwa hawatashiriki katika chaguzi mbalimbali tokea sasa hadi 2030; kwa sabau tu ya kukataa kusaini kikaratasi cha yanayoitwa maadili ya uchaguzi
Yoote haya yameonekana kushindwa kukidhibiti CHADEMA, ambacho sifa zake zinazidi kuenea miongoni mwa wananchi
Lakini, kilicho watisha zaidi Genge na Samia mwenyewe, ni hii Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION". Wamejaribu kila mbinu kuwahadaa wananchi kwamba marekebisho yaliyofanywa kwa kupitisha sheria "Feki" ya kuunda "Tume Huru "FEKI"" yanatosha kuufanya uchaguzi kuwa wa HAKI. Kinacho washinda kujieleza kwa wananchi ni swali rahisi: Kuna ugumu gani wa kutengeneza Kanuni mpya zitakazo hakikisha uchaguzi utakuwa HURU na wa HAKI? Hawana jibu la swali hili rahisi kabisa!
Badala ya kujibu hilo swali na kufanya maandalizi ya kutengeneza kanuni za uchaguzi, wameona kitu rahisi kwao ni kuendelea kuivuruga CHADEMA ili isiweze kuendelea na mipango yake ya kuwaongoza wananchi kukataa uchaguzi usiokuwa HURU na HAKI.
Kwa hiyo wakageuzia mbinu zao kuwazushia kesi za uongo viongozi na kuwaweka ndani; wakitegemea kuwa ile Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION" itakufa. Badala ya kufa, Kameni ndonkwanza inapamba moto, kwa viongozi walio baki kufanya kazi nzuri sana ya kuelezea uchafu wa chaguzi zote zifanywazo na CCM.
Sasa wameamua CHADEMA isimamishwe kufanya shughuli za chama, kwa kuibua kesi ya waZanzibari.
Na huko mahakamani, wanahakikisha kwamba kesi zinapigwa danadana na wala haionyeshi zitapita haraka kuiachia muda CHADEMA iendelee na shughuli zake za kisiasa
Hizi zote ni mbinu tu, zinazotengenezwa, ili kuiachia njia wazi CCM
Sasa katika hali ya namna hii waTanzania wafanye kitu gani kuhakikisha kwamba HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao inlindwa?
"NO REFORM, NO ELECTION" ni lazima iendelee kwa nguvu zaidi.
Kwa nini usimweke Samia Suluhu Hassan kwenye orodha hiyo, kwa sababu yeye tayari tunajuwa uwezo hana. Hawa wengine hawajaewa nafasi ya kuonyesha uwezo kama wanao au hawana.Lussu ,Heche na Lema wanaingamiza chadema kwa kukosa maarifa ya uongozi katika siasa
Huko ndani ya chama chenu cha CCM, ambao bado akili timamu mnazo, kataeni chama chenu kutumiwa na GENGE linalomwendesha Samia. Kwa mwendo huu chama cha Mwalimu mnaiua mchana kweue kabisa.Na kama reforms zikifanyika ikiwemo matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani,ccm chama changu hakitokubali kuingia kwenye uchaguzi Kwa kumsimamisha mkojani vs msingida ,itakua ni hatari sana coz itabidi tuibe na tukisha iba ushahidi tuufiche kitu ambacho mfumo huru utaki expose na ushahidi kukamilika mahakamani na Hali kuwa ngumu!!
Watarudi chimwaga kuleta mtia nia mwenye nguvu walau wapiga kura watamwelewa ili kuhodhi nguvu ya msingida!!
LISSU hana bei, siasa ni pamoja na kuwa mwaminifu sio kuwa dalali na kuuza wananchi.Lussu ,Heche na Lema wanaingamiza chadema kwa kukosa maarifa ya uongozi katika siasa
Don't just wait, you should be preparing for the inevitable!I'm waiting!
"Nyinyi mfanyeje"? Anzeni kufungasha vilago kabla tsunami haijawazoa.Msiba wa kujitakia hauna kilio. Kila wakipewa kete bwege wanakula. Sisi tufanyeje?
kikubwa nao wanayapangua kiufundi sana .....ngoma droooHawaamini, lakini Mwisho wa ccm umefika Rasmi
I'm always prepared fella!Don't just wait, you should be preparing for the inevitable!
Amka ubadili pempasi dogo."Nyinyi mfanyeje"? Anzeni kufungasha vilago kabla tsunami haijawazoa.
Hapana.Neno kiufundi umelitumia vibaya
Ungeeleweka kama ungesema zimepangwa Kijinga
Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi. Unapangaje foleni kwenye jua kupiga kura ambayo haithaminiwi?Ule mpango uliokuwa umemnasa Mbowe, na kwa pamoja CHADEMA ulipo vurugika kwa mteja kupoteza raslimali muhimu iliyokuwa imapangwa aiwasilishe na kujisalimisha kwa Samia na Genge lake; ilibidi haraka haraka mafundi watengeneze mitego ya kuikwamisha CHADEMA Mpya, chini ya uongozi mpya haraka iwezekanavyo ili mipango ya Genge kuendelea kuishikilia serikali isivurugike.
Kwanza waliwategemea wapinzani wa ndani ya chama (wa upande wa Mbowe) kwamba watakivuruga chama na kukisambaratisha. Ilipoonekana hili haliwezekani wakawatumia hao hao kwa mbinu ya kujiondoa ndani ya chama, ikitegemewa kuwa CHADEMA itatikisika kwa wingi wa wanachama watakaoondoka ndani ya chama. Hili nalo liliposhindikana kuitikisa CHADEMA wakaona wawawezeshe waliojiondoa kwa kuwapeleka CHAUMMA kwa kelele nyingi za kuwatishia waliobaki ndani ya CHADEMA kukosa kushiriki kwenye uchaguzi. Kizingiti hiki pia kimeshindwa kuizuia CHADEMA kuendelea kuwa chama chenye matumaini kwa wananchi.
Wengi wa watu walio tkwa, kupotezwa na kuuawa ni watu waliojitambulisha kuwa karibu na CHADEMA. Kwa hiyo hii nayo ilikuwa ni mbinu ya kuwatisha watu wasijihusishe na chama hicho.
Kwa upande wa serikali, kupitia kwa Msajiri wa Vyama vya siasa, naye hakubaki nyuma kutekeleza mipango ya kuidhoofisha CHADEMA; kwa mfano, kwa kutowatambua viongozi wa chama walioteuliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi; na kama hili halitoshi CHADEMA wakaambiwa hawatashiriki katika chaguzi mbalimbali tokea sasa hadi 2030; kwa sabau tu ya kukataa kusaini kikaratasi cha yanayoitwa maadili ya uchaguzi
Yoote haya yameonekana kushindwa kukidhibiti CHADEMA, ambacho sifa zake zinazidi kuenea miongoni mwa wananchi
Lakini, kilicho watisha zaidi Genge na Samia mwenyewe, ni hii Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION". Wamejaribu kila mbinu kuwahadaa wananchi kwamba marekebisho yaliyofanywa kwa kupitisha sheria "Feki" ya kuunda "Tume Huru "FEKI"" yanatosha kuufanya uchaguzi kuwa wa HAKI. Kinacho washinda kujieleza kwa wananchi ni swali rahisi: Kuna ugumu gani wa kutengeneza Kanuni mpya zitakazo hakikisha uchaguzi utakuwa HURU na wa HAKI? Hawana jibu la swali hili rahisi kabisa!
Badala ya kujibu hilo swali na kufanya maandalizi ya kutengeneza kanuni za uchaguzi, wameona kitu rahisi kwao ni kuendelea kuivuruga CHADEMA ili isiweze kuendelea na mipango yake ya kuwaongoza wananchi kukataa uchaguzi usiokuwa HURU na HAKI.
Kwa hiyo wakageuzia mbinu zao kuwazushia kesi za uongo viongozi na kuwaweka ndani; wakitegemea kuwa ile Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION" itakufa. Badala ya kufa, Kameni ndonkwanza inapamba moto, kwa viongozi walio baki kufanya kazi nzuri sana ya kuelezea uchafu wa chaguzi zote zifanywazo na CCM.
Sasa wameamua CHADEMA isimamishwe kufanya shughuli za chama, kwa kuibua kesi ya waZanzibari.
Na huko mahakamani, wanahakikisha kwamba kesi zinapigwa danadana na wala haionyeshi zitapita haraka kuiachia muda CHADEMA iendelee na shughuli zake za kisiasa
Hizi zote ni mbinu tu, zinazotengenezwa, ili kuiachia njia wazi CCM
Sasa katika hali ya namna hii waTanzania wafanye kitu gani kuhakikisha kwamba HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao inlindwa?
"NO REFORM, NO ELECTION" ni lazima iendelee kwa nguvu zaidi.
Na la muhimu zaidi hata ya hao ulio wataja; ni waTanzania wanaielewa vyema sasa "NO REFORM, NO ELECTION" inahusu nini.Kikubwa no reforms no election ,Imeeleweka ndani ya bunge la umoja wa ulaya na seneti ya US... ponjoro hawa wasikupe shida