Madhira Yanayowakabili CHADEMA Wakati Huu Yote Yamepangwa Kiufundi

NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Msiba wa kujitakia hauna kilio. Kila wakipewa kete bwege wanakula. Sisi tufanyeje?
 
Huko ndani ya chama chenu cha CCM, ambao bado akili timamu mnazo, kataeni chama chenu kutumiwa na GENGE linalomwendesha Samia. Kwa mwendo huu chama cha Mwalimu mnaiua mchana kweue kabisa.
 
Neno kiufundi umelitumia vibaya

Ungeeleweka kama ungesema zimepangwa Kijinga
Hapana.
Hata shetani anazo mbinu zake maridadi sana za kuwanasa anaotaka kuwanasa. Hilo halibadili ubaya wa shetani.
 
Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi. Unapangaje foleni kwenye jua kupiga kura ambayo haithaminiwi?
 
Kikubwa no reforms no election ,Imeeleweka ndani ya bunge la umoja wa ulaya na seneti ya US... ponjoro hawa wasikupe shida
Na la muhimu zaidi hata ya hao ulio wataja; ni waTanzania wanaielewa vyema sasa "NO REFORM, NO ELECTION" inahusu nini.
Hawa ndio wenye mamlaka ya kila kitu, zaidi ya hata hao wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…