Madhira Yanayowakabili CHADEMA Wakati Huu Yote Yamepangwa Kiufundi

Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi. Unapabgaje foleni kwenye jua kupiga kura ambayo haithaminiwi?
Itabidi twende mbele zaidi ya hapo. Samia atajitangaza mshindi hata kama atapata kura za GENGE pekee na baadhi ya watu wanaotafuta shibe binafsi.
Kwa hiyo kutopiga kura ni sehemu ndogo tu ya kumzuia kujitangazia ushindi haramu.
 
Na la muhimu zaidi hata ya hao ulio wataja; ni waTanzania wanaielewa vyema sasa "NO REFORM, NO ELECTION" inahusu nini.
Hawa ndio wenye mamlaka ya kila kitu, zaidi ya hata hao wengine.
watanzania siwaamini sana ,hayo mabunge mawili ndo yamepelekea bunge la Tanzania na zanzibar kutovunjwa.....
 
watanzania siwaamini sana ,hayo mabunge mawili ndo yamepelekea bunge la Tanzania na zanzibar kutovunjwa.....
Ndiyo, hayo ya huko yamesaidia sana, lakini usibeze hali wanayoionyesha waTanzania hapa hapa.
Usidhani Samia na GENGE ni wajinga wa kutojuwa waTanzania wanasimamia wapi juu ya hatma ya nchi yao.
 
Ahahahahaha!
Hicho kicheko cha kinafiki kinaonyesha maumivu makali ndani yake.
Mkuu 'Mtoto wa Shule', unatambua sasa mimi na wewe mbali ya kuwa pamoja hapo kwenye "kona yetu" mashuhuri, tumebadilishana maoni humu ndani ya jukwaa hili kwa muda kitambo sasa; na nimeanza kuona mabadiliko ya kibinaadam, kama tulivyo wengi wetu katika msimamo wako mgumu katika kuungana na huyo kipenzi chako na Genge lake, kwa sababu tu ya mambo machache kadhaa yanayo waunganisha pamoja.
Lakini, nimekusihi mara kadhaa, uiangalie hali yetu sote kwa uTanzania wetu kwanza, mbele ya jambo jingine lolote lile. UTanzania wetu ndiyo gundi inayotuweka pamoja na kutubakisha salama pamoja kama taifa lenye heshima duniani.
 
Unacheka kama zuzu fulani hivi liliovozwa na rushwa! Unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki. Umekubali kujingishwa kwamba nchi ni mali ya ccm mfu inayotegemea dola na wizi wa kura kubaki madarakani
Kama babaako hakukupeleka shule na kuyapatia maisha hilo sio kosa langu. Ahahahahaha!!
 
Ninaokunywa nao Konyagi hawana mawazo kama yako. Ila kama unataka Konyagi njoo unywe.
 
Ninaokunywa nao Konyagi hawana mawazo kama yako. Ila kama unataka Konyagi njoo unywe.
Najuwa. matatizo ya aina hii mara nyingi yanatokana na makundi tunayo jumuika nayo katika maswala mbali mbali; kama hilo la kundi lenu linalowaweka amoja. Panua ueo zaidi ya hilo kundi. Kuna hili "kundi kubwa la waTanzania wote" linalotuhitaji sote tuwe pamoja katika maswala yanayohusu taifa letu.

Nitakuwa tayari "kunywa konyagi" pamoja na wewe, nikijuwa sote tupo kwenye hili kundi kubwa linalotuunganisha sote bila kujali mahitaji ya haya makundi yetu madogomadogo yanayotuvuta tuwe mbalimbali.
 
Mimi binafsi siwezi kuwashibokea hao chadema.
# ila NO REFORM NO ELECTION hii naipenda mpaka nasikia raha.

Oyaaa ndugu zangu mwendo ni wa NRNE
 
CCM ndio kubwa la kuwasemea Watanzania. Hakuna jengine.
 
CCM ndio kubwa la kuwasemea Watanzania. Hakuna jengine.
Haya unayo sema hapa ni kumbukumbu tu zilizobaki kwenye fikra, hasa kwa watu kama wewe mnaotegemea sifa za chama hicho ziwavushe hata wakati chama chenyewe mlisha kivuruga wenyewe.
Sasa hivi matumaini ya Samia na GENGE lake ni hayo; kuitumia sifa za chama; huku kiuhalisia chama hakiko hivyo tena. WaTanzania hili tayari wameligundua, kwa hiyo hadaa hiyo haifanyi kazi tena.
 
Mwaka 1997 Gazeti la Rai (Enzi linamilikiwa na Jenerali Ulimwengu) liliandika nanukuu, "CCM kumfia Mkapa mikononi". Mwisho wa kunukuu. Ilikufa? Waliikataa? Waliipaka mate?
 
Wasichoweza kukifanya pekee nikuchukua kura zetu ambazo bado hatujazipiga hadi leo tangia zoezi lauandikishaji kukamilika miezi kadhaa nyuma hawajatoa hata idadi ya waliojiandikisha so far


No reform No Election ni yetu sote
Kwani hujasikiliza hotuba mama kasema idadi kubwa wamejitokeza wakati vituoni wandikishaji walikua wa nalala usingiz watu hamna... Leo anasema idadi kubwa.... Kaona aibu kutaja numba kesho wakishaiba kura ndo watasema idadi ili iwiane na kura walizotaka wawe nazo! 😁 πŸ™
 
Mwaka 1997 Gazeti la Rai (Enzi linamilikiwa na Jenerali Ulimwengu) liliandika nanukuu, "CCM kumfia Mkapa mikononi". Mwisho wa kunukuu. Ilikufa? Waliikataa? Waliipaka mate?
Naona wewe ni mgumu wa kuelewa.
Hiyo CCM unayoizungumzia enzi za Mkapa, siyo hii CCM iliyotekwa kijumla jumla na GENGE, chini ya Samia Suluhu Hassan.
Sasa sijui wewe unataka uelezwe vipi ndipo ustuke toka kwenye ndoto nzito unayopitia sasa havi.
 
Moja ya sehemu za kuwabana walaghai kama huyu mama ni hao kwenye idadi ya waiga kura waliojiandikisha.

Hakuna sheria inayoweza kuwalazimisha takwimu hizo ziwekwe wazi kabla ya uchaguzi?
Vyama vya uinzani vitakavyo shiriki, havina haki ya kujuwa kwa uhakika waiga kura ni wai?
 
Samia na magenge yake wamechanganyikiwa, wanatapatapa tu. Mbinu zote walizotumia za kuteka, kutesa, KUFIRA na kuua watu bado hazijaleta unafuu wowote kwa CCM hadi sasa.

 
Very Strategically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…