malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
We ndo umenena haswaa tukamuliwe Kodi tozo watu wafisadi watakavyo Hadi akili zitukae sawaWatanzania hatuna akili aisee, ni Bora wakina Lissu watuache , tuminywe mbupu mpaka tokome na kuzijua akizetu wenyewe, Ili kwa kuambiwa , bado sana kubadilika
Speculative and utopicUle mpango uliokuwa umemnasa Mbowe, na kwa pamoja CHADEMA ulipo vurugika kwa mteja kupoteza raslimali muhimu iliyokuwa imapangwa aiwasilishe na kujisalimisha kwa Samia na Genge lake; ilibidi haraka haraka mafundi watengeneze mitego ya kuikwamisha CHADEMA Mpya, chini ya uongozi mpya haraka iwezekanavyo ili mipango ya Genge kuendelea kuishikilia serikali isivurugike.
Kwanza waliwategemea wapinzani wa ndani ya chama (wa upande wa Mbowe) kwamba watakivuruga chama na kukisambaratisha. Ilipoonekana hili haliwezekani wakawatumia hao hao kwa mbinu ya kujiondoa ndani ya chama, ikitegemewa kuwa CHADEMA itatikisika kwa wingi wa wanachama watakaoondoka ndani ya chama. Hili nalo liliposhindikana kuitikisa CHADEMA wakaona wawawezeshe waliojiondoa kwa kuwapeleka CHAUMMA kwa kelele nyingi za kuwatishia waliobaki ndani ya CHADEMA kukosa kushiriki kwenye uchaguzi. Kizingiti hiki pia kimeshindwa kuizuia CHADEMA kuendelea kuwa chama chenye matumaini kwa wananchi.
Wengi wa watu walio tkwa, kupotezwa na kuuawa ni watu waliojitambulisha kuwa karibu na CHADEMA. Kwa hiyo hii nayo ilikuwa ni mbinu ya kuwatisha watu wasijihusishe na chama hicho.
Kwa upande wa serikali, kupitia kwa Msajiri wa Vyama vya siasa, naye hakubaki nyuma kutekeleza mipango ya kuidhoofisha CHADEMA; kwa mfano, kwa kutowatambua viongozi wa chama walioteuliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi; na kama hili halitoshi CHADEMA wakaambiwa hawatashiriki katika chaguzi mbalimbali tokea sasa hadi 2030; kwa sabau tu ya kukataa kusaini kikaratasi cha yanayoitwa maadili ya uchaguzi
Yoote haya yameonekana kushindwa kukidhibiti CHADEMA, ambacho sifa zake zinazidi kuenea miongoni mwa wananchi
Lakini, kilicho watisha zaidi Genge na Samia mwenyewe, ni hii Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION". Wamejaribu kila mbinu kuwahadaa wananchi kwamba marekebisho yaliyofanywa kwa kupitisha sheria "Feki" ya kuunda "Tume Huru "FEKI"" yanatosha kuufanya uchaguzi kuwa wa HAKI. Kinacho washinda kujieleza kwa wananchi ni swali rahisi: Kuna ugumu gani wa kutengeneza Kanuni mpya zitakazo hakikisha uchaguzi utakuwa HURU na wa HAKI? Hawana jibu la swali hili rahisi kabisa!
Badala ya kujibu hilo swali na kufanya maandalizi ya kutengeneza kanuni za uchaguzi, wameona kitu rahisi kwao ni kuendelea kuivuruga CHADEMA ili isiweze kuendelea na mipango yake ya kuwaongoza wananchi kukataa uchaguzi usiokuwa HURU na HAKI.
Kwa hiyo wakageuzia mbinu zao kuwazushia kesi za uongo viongozi na kuwaweka ndani; wakitegemea kuwa ile Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION" itakufa. Badala ya kufa, Kameni ndonkwanza inapamba moto, kwa viongozi walio baki kufanya kazi nzuri sana ya kuelezea uchafu wa chaguzi zote zifanywazo na CCM.
Sasa wameamua CHADEMA isimamishwe kufanya shughuli za chama, kwa kuibua kesi ya waZanzibari.
Na huko mahakamani, wanahakikisha kwamba kesi zinapigwa danadana na wala haionyeshi zitapita haraka kuiachia muda CHADEMA iendelee na shughuli zake za kisiasa
Hizi zote ni mbinu tu, zinazotengenezwa, ili kuiachia njia wazi CCM
Sasa katika hali ya namna hii waTanzania wafanye kitu gani kuhakikisha kwamba HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao inlindwa?
"NO REFORM, NO ELECTION" ni lazima iendelee kwa nguvu zaidi.
Sawa nyumbuUle mpango uliokuwa umemnasa Mbowe, na kwa pamoja CHADEMA ulipo vurugika kwa mteja kupoteza raslimali muhimu iliyokuwa imapangwa aiwasilishe na kujisalimisha kwa Samia na Genge lake; ilibidi haraka haraka mafundi watengeneze mitego ya kuikwamisha CHADEMA Mpya, chini ya uongozi mpya haraka iwezekanavyo ili mipango ya Genge kuendelea kuishikilia serikali isivurugike.
Kwanza waliwategemea wapinzani wa ndani ya chama (wa upande wa Mbowe) kwamba watakivuruga chama na kukisambaratisha. Ilipoonekana hili haliwezekani wakawatumia hao hao kwa mbinu ya kujiondoa ndani ya chama, ikitegemewa kuwa CHADEMA itatikisika kwa wingi wa wanachama watakaoondoka ndani ya chama. Hili nalo liliposhindikana kuitikisa CHADEMA wakaona wawawezeshe waliojiondoa kwa kuwapeleka CHAUMMA kwa kelele nyingi za kuwatishia waliobaki ndani ya CHADEMA kukosa kushiriki kwenye uchaguzi. Kizingiti hiki pia kimeshindwa kuizuia CHADEMA kuendelea kuwa chama chenye matumaini kwa wananchi.
Wengi wa watu walio tkwa, kupotezwa na kuuawa ni watu waliojitambulisha kuwa karibu na CHADEMA. Kwa hiyo hii nayo ilikuwa ni mbinu ya kuwatisha watu wasijihusishe na chama hicho.
Kwa upande wa serikali, kupitia kwa Msajiri wa Vyama vya siasa, naye hakubaki nyuma kutekeleza mipango ya kuidhoofisha CHADEMA; kwa mfano, kwa kutowatambua viongozi wa chama walioteuliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi; na kama hili halitoshi CHADEMA wakaambiwa hawatashiriki katika chaguzi mbalimbali tokea sasa hadi 2030; kwa sabau tu ya kukataa kusaini kikaratasi cha yanayoitwa maadili ya uchaguzi
Yoote haya yameonekana kushindwa kukidhibiti CHADEMA, ambacho sifa zake zinazidi kuenea miongoni mwa wananchi
Lakini, kilicho watisha zaidi Genge na Samia mwenyewe, ni hii Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION". Wamejaribu kila mbinu kuwahadaa wananchi kwamba marekebisho yaliyofanywa kwa kupitisha sheria "Feki" ya kuunda "Tume Huru "FEKI"" yanatosha kuufanya uchaguzi kuwa wa HAKI. Kinacho washinda kujieleza kwa wananchi ni swali rahisi: Kuna ugumu gani wa kutengeneza Kanuni mpya zitakazo hakikisha uchaguzi utakuwa HURU na wa HAKI? Hawana jibu la swali hili rahisi kabisa!
Badala ya kujibu hilo swali na kufanya maandalizi ya kutengeneza kanuni za uchaguzi, wameona kitu rahisi kwao ni kuendelea kuivuruga CHADEMA ili isiweze kuendelea na mipango yake ya kuwaongoza wananchi kukataa uchaguzi usiokuwa HURU na HAKI.
Kwa hiyo wakageuzia mbinu zao kuwazushia kesi za uongo viongozi na kuwaweka ndani; wakitegemea kuwa ile Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION" itakufa. Badala ya kufa, Kameni ndonkwanza inapamba moto, kwa viongozi walio baki kufanya kazi nzuri sana ya kuelezea uchafu wa chaguzi zote zifanywazo na CCM.
Sasa wameamua CHADEMA isimamishwe kufanya shughuli za chama, kwa kuibua kesi ya waZanzibari.
Na huko mahakamani, wanahakikisha kwamba kesi zinapigwa danadana na wala haionyeshi zitapita haraka kuiachia muda CHADEMA iendelee na shughuli zake za kisiasa
Hizi zote ni mbinu tu, zinazotengenezwa, ili kuiachia njia wazi CCM
Sasa katika hali ya namna hii waTanzania wafanye kitu gani kuhakikisha kwamba HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao inlindwa?
"NO REFORM, NO ELECTION" ni lazima iendelee kwa nguvu zaidi.
Huelewi maana ya "Sayansi", lakini bado huoni aibu kujifanya unaijuwa.Speculative and utopic
Chakandumuz committed suicide wenyewe baada ya kujivunja vipande bila kufanya maandalizi
Same thing was to happen for ccm 2015 lakini walishituka
Siasa ni sayansi kuliko hisia
Ninayo orodha ya machizi humu ndani ya Jukwaa hili la Siasa. Najuwa wewe unashikilia namba ya juu zaidi katika alama za uchizi uliojijengea.Sawa nyumbu
Inategemea kama una ufahamu na unachozungumza.Naona wewe ni mgumu wa kuelewa.
Hiyo CCM unayoizungumzia enzi za Mkapa, siyo hii CCM iliyotekwa kijumla jumla na GENGE, chini ya Samia Suluhu Hassan.
Sasa sijui wewe unataka uelezwe vipi ndipo ustuke toka kwenye ndoto nzito unayopitia sasa havi.
Kitanzi kilivaliwa tangu enzi za mzee mkapa, mlimpiga mayai viza kwenye gari, mtazungumzia Luthuli 1, address, ukaja ufisadi enzi za jahkaya na ccm imekufa, mkamwita kila jina na kusema ccm alamsikiHuelewi maana ya "Sayansi", lakini bado huoni aibu kujifanya unaijuwa.
Unaposubiri 'sucide' kutokea, usisahau kuwa Samia Sulughu Hassan na GENGE tayari wameivisha CCM kitanzi shingoni. Kinachosubiriwa tu ni waTanzania kukaza kamba na kumaliza kazi.
Ni bahati mbaya sana kwamba huna umakini wa kudadisi na kutaka kumwelewa unayejadili naye jambo. Ingekuwa unao udadisi huo usinge yaandika hayo maneno hapo juu.Inategemea kama una ufahamu na unachozungumza.
Uwezo wangu ni mkubwa sana kuliko wewe. Najitahidi tu kulingana na uwezo wako mdogo.Ni bahati mbaya sana kwamba huna umakini wa kudadisi na kutaka kumwelewa unayejadili naye jambo. Ingekuwa unao udadisi huo usinge yaandika hayo maneno hapo juu.
Hatuji humu kupoteza muda. Ni jitihada za kulinusuru taifa letu hili.
I've no idea what you're jabbering about here!Kwa ulichopost hapo juu, nothing is affirmed!
Tafuta another angle ya kutujaza, not this one
So, in your mind, Samia Suluhu Hassan is dealing with 'digital' politics! (lol)!Fact ni kwamba siasa za nchi zitabadilika hatuwezi kuwa na same politics hari leo during the digital era and gen zee tuff
Idadi ya waliojiandikisha watafanya 30m+ kama walivyopika kwenye uchaguzi wa SM, lengo ni kumtangaza Samia kwa kura 13m+Wasichoweza kukifanya pekee nikuchukua kura zetu ambazo bado hatujazipiga hadi leo tangia zoezi lauandikishaji kukamilika miezi kadhaa nyuma hawajatoa hata idadi ya waliojiandikisha so far
No reform No Election ni yetu sote
Mwl Kalamu, well said...Ule mpango uliokuwa umemnasa Mbowe, na kwa pamoja CHADEMA ulipo vurugika kwa mteja kupoteza raslimali muhimu iliyokuwa imapangwa aiwasilishe na kujisalimisha kwa Samia na Genge lake; ilibidi haraka haraka mafundi watengeneze mitego ya kuikwamisha CHADEMA Mpya, chini ya uongozi mpya haraka iwezekanavyo ili mipango ya Genge kuendelea kuishikilia serikali isivurugike.
Kwanza waliwategemea wapinzani wa ndani ya chama (wa upande wa Mbowe) kwamba watakivuruga chama na kukisambaratisha. Ilipoonekana hili haliwezekani wakawatumia hao hao kwa mbinu ya kujiondoa ndani ya chama, ikitegemewa kuwa CHADEMA itatikisika kwa wingi wa wanachama watakaoondoka ndani ya chama. Hili nalo liliposhindikana kuitikisa CHADEMA wakaona wawawezeshe waliojiondoa kwa kuwapeleka CHAUMMA kwa kelele nyingi za kuwatishia waliobaki ndani ya CHADEMA kukosa kushiriki kwenye uchaguzi. Kizingiti hiki pia kimeshindwa kuizuia CHADEMA kuendelea kuwa chama chenye matumaini kwa wananchi.
Wengi wa watu walio tkwa, kupotezwa na kuuawa ni watu waliojitambulisha kuwa karibu na CHADEMA. Kwa hiyo hii nayo ilikuwa ni mbinu ya kuwatisha watu wasijihusishe na chama hicho.
Kwa upande wa serikali, kupitia kwa Msajiri wa Vyama vya siasa, naye hakubaki nyuma kutekeleza mipango ya kuidhoofisha CHADEMA; kwa mfano, kwa kutowatambua viongozi wa chama walioteuliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi; na kama hili halitoshi CHADEMA wakaambiwa hawatashiriki katika chaguzi mbalimbali tokea sasa hadi 2030; kwa sabau tu ya kukataa kusaini kikaratasi cha yanayoitwa maadili ya uchaguzi
Yoote haya yameonekana kushindwa kukidhibiti CHADEMA, ambacho sifa zake zinazidi kuenea miongoni mwa wananchi
Lakini, kilicho watisha zaidi Genge na Samia mwenyewe, ni hii Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION". Wamejaribu kila mbinu kuwahadaa wananchi kwamba marekebisho yaliyofanywa kwa kupitisha sheria "Feki" ya kuunda "Tume Huru "FEKI"" yanatosha kuufanya uchaguzi kuwa wa HAKI. Kinacho washinda kujieleza kwa wananchi ni swali rahisi: Kuna ugumu gani wa kutengeneza Kanuni mpya zitakazo hakikisha uchaguzi utakuwa HURU na wa HAKI? Hawana jibu la swali hili rahisi kabisa!
Badala ya kujibu hilo swali na kufanya maandalizi ya kutengeneza kanuni za uchaguzi, wameona kitu rahisi kwao ni kuendelea kuivuruga CHADEMA ili isiweze kuendelea na mipango yake ya kuwaongoza wananchi kukataa uchaguzi usiokuwa HURU na HAKI.
Kwa hiyo wakageuzia mbinu zao kuwazushia kesi za uongo viongozi na kuwaweka ndani; wakitegemea kuwa ile Kampeni ya "NO REFORM, NO ELECTION" itakufa. Badala ya kufa, Kameni ndonkwanza inapamba moto, kwa viongozi walio baki kufanya kazi nzuri sana ya kuelezea uchafu wa chaguzi zote zifanywazo na CCM.
Sasa wameamua CHADEMA isimamishwe kufanya shughuli za chama, kwa kuibua kesi ya waZanzibari.
Na huko mahakamani, wanahakikisha kwamba kesi zinapigwa danadana na wala haionyeshi zitapita haraka kuiachia muda CHADEMA iendelee na shughuli zake za kisiasa
Hizi zote ni mbinu tu, zinazotengenezwa, ili kuiachia njia wazi CCM
Sasa katika hali ya namna hii waTanzania wafanye kitu gani kuhakikisha kwamba HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao inlindwa?
"NO REFORM, NO ELECTION" ni lazima iendelee kwa nguvu zaidi.
Usinesenese, nenda kaishi kabisa katika kituo cha kupigia kura, lakini hakuna zombie wa kwenda kupanga mstari kwenye uchaguzi kiinimacho.Najiona ninavyo nesa nesa pale ninavyoenda kuongeza mitano yangu kwakishindo kikubwa Sana Bila kushawishiwa wala kubembelezwa maana ni haki yangu hata kama hamtaki,! MI 5 TENAAAAAAAAAAAAAAAAA KWA KISHINDO KIKUBWAAAAA
You know better than that, and you simply cannot handle the truth!Uwezo wangu ni mkubwa sana kuliko wewe. Najitahidi tu kulingana na uwezo wako mdogo.
'FACT' isiyoweza kuepukika.Kaka tulieni. Kila mtu afanye kile anachoweza kufanya kwa sasa. Tundu Lissu yuko salama, in no time from now, atakuwa huru nje na lazima taifa lote litakaa mezani kusikilizana. Hii haitawezekana bila Mwenyekiti wa CHADEMA kuwepo kwenye mazungumzo hayo...
All the best!You know better than that, and you simply cannot handle the truth!
Kama hakuna la ziada, nimekwisha kuwasilishia kila nilichonuia kuwasilisha kwako
Zaidi ya 2026, ni uharibifu mkubwa sana atakaoendelea kuutekeleza huyu mama asiyekuwa na uchungu wowote na nchi hii! Kumwachia hadi 2027 HAPANA.Lakini kubwa kabisa na la muhimu kuliko yote ni hili: Kwa miezi mitatu iliyobaki kabla ya tarehe ya uchaguzi mkuu, na kwa kuwa tunaanza mchakato wa kufanya ELECTORAL REFORMS, uchaguzi mwaka huu haiwezekani ukafanyika. Uchaguzi mkuu utafanyika aidha mwaka kesho 2026 au 2027..
Frankly, it's hard for me to wish you the same considering the chosen path you believe in! I can only wish you well as an individual human being.All the best!