Madhira Yanayowakabili CHADEMA Wakati Huu Yote Yamepangwa Kiufundi

We poyoyo umeandika matope tu, huo muda ungeutumia kwa uzalishaji upunguze umaskini wako. Chadema unayoizungumzia iko wapi, hv mazishi ni lini? Unazungumzia hbr za maruhani we bwege.
 
Zaidi ya 2026, ni uharibifu mkubwa sana atakaoendelea kuutekeleza huyu mama asiyekuwa na uchungu wowote na nchi hii! Kumwachia hadi 2027 HAPANA.
Hakuna njia nyingine rahisi na shortcut ya kufanya vinginevyo ili kuikoa nchi na taifa hili...

Mabadiliko yana gharama na gharama yake kwa kiasi fulani yaweza kuwa hayo...

Hata hivyo, kinachotakiwa kufanyika ni kuziomba mamlaka hususani idara yetu ya usalama wa taifa (TISS) wafanye kazi yao kuilinda na kulinda rasrimali za taifa hili kutoka kwa maadui wa ndani ambao siku zote ni viongozi walafi, wabinafsi walioko madarakani...

Lakini kama TISS nao watakuwa washirika wa viongozi hawa, basi hapo kama taifa tunaweza kuwa kwenye hatari kumezwa na nyoka mkubwa Anaconda aliye ndani ya nyumba yetu wenyewe...
 
Watanzania hatuna akili aisee, ni Bora wakina Lissu watuache , tuminywe mbupu mpaka tokome na kuzijua akizetu wenyewe, Ili kwa kuambiwa , bado sana kubadilika
Sema we huna akili, akili ni nywele kila mtu ana zake usilazimishe kila mtu awe na mtazamo km wa kwako. We amini unachoamini usiwazungumzie watanzania we kibwengo
 
Tena bila weledi wowote mpaka Kila mtu anajua ni wa kijinga mpaka jumuiya za kimataifa zinajua
Nyie misukule wa huku JF ni mazombie kweli chadomo kimeshajifia kila siku wale wanachama maarufu wanahama mnakuja humu km wendawazimu bila ht haya.
 
Kwakuwa CCM wametudharau, tutawaacha waenende kwa njia zao. Ila watamalizana wenyewe kabla hata ya hiyo October. Huwezi funga milango yote ya uwanja wa mpira ukabakiza mmoja wa watu kuingia na kutoka wataumizana/watauana tu.
Kama ndivyo hivyo, ni wajibu wetu (waTanzania) kuwasaidia "kumalizana wenyewe", hiyo itakuwa ndiyo nafuu kwetu.
 
We poyoyo umeandika matope tu, huo muda ungeutumia kwa uzalishaji upunguze umaskini wako. Chadema unayoizungumzia iko wapi, hv mazishi ni lini? Unazungumzia hbr za maruhani we bwege.
Hata kwa akili za kichizi tu, kweli mtu kama wewe nawe unataka watu waoteze muda kukujibu lolote? Itakusaidia kitu gani ili uachane na huu ukichaa ulio wazi kabisa!

Lakini pamoja na hilo la ukichaa unaokusumbua; hayo unayo yaandika bado yanaonyesha ni jinsi gani ulicho kisoma kilivyo kuingia ndani ya akili yako.
Hayo matokeo ya ukichaa unayoyaweka kama jibu juu ya hoja husika, yanakufunua wazi kabisa ni namna gani hoja ilivyo kuingia na kukugusa sehemu 'sensitive' kabisa ya ukichaa wenyewe!
 
Idadi ya waliojiandikisha watafanya 30m+ kama walivyopika kwenye uchaguzi wa SM, lengo ni kumtangaza Samia kwa kura 13m+
Hata hili hawana imani nalo safari hii, kwa sababu bado hawajui maana ya "NO REFORM, NO ELECTION" ukomo wake ni wapi!
Sasa ni wazi wanaamini kuwa haitaishia kwa waTanzania kutojitokeza tu kutopiga kura; ila hawajui nini kitafuata baada ya hapo; kitakachowatibua katika mipango ya kujitangazia ushindi haramu.
Hiki ni kitendawili wasichokuwa na uwezo wa kukitengua.
 
Hahahaaaa

She is not dealing with politics za digitali

Nimesema siasa zetu lazima zielekee huko - knuckle head!!!

So iwe isiwe changes ni must but you cant should all blames to one person…. The whole political landscape need an overhaul
 
"...an overhaul" to what? Do you even know what you're writing about?
"Siasa za ki-digital", what the heck is that. You pick-up words and use them to disguise your inadequacy in your thinking ability, and you want people to be impressed by that?
 
Dogo

Utahangaika sana kujaribu nkushushauelewa wa watu but haisaidii

Mwenye akili ameelewa

Baki na the hizo crappy “threheck” zako

Thr gray thing is chakandumuz is a dead horse and your silly dreams ain’t going to be a realty
 
Hunijui. And yet you keep saying "dogo"! What does that say about you?

Inapokuja kwenye maelezo ya jambo husika; unaonekana mtupu kabisa kichwani.
Kilichomo ni kile kinachokuunganisha wewe na Samia Suluhu Hassan, vinginevyo huna lolote!
 
Msimamo wa Chadema wa NRNE utawapa heshima hata kama watakosa nafasi za kisiasa
 
Hangaika sana aisee

Uko shallow, na bahati nzuri huelewi hana unachobwabwaja humu dogo
 
Hangaika sana aisee

Uko shallow, na bahati nzuri huelewi hana unachobwabwaja humu dogo
Sijasoma mahali popote tangu niione hiyo ID yako humu JF, ulicho changia na kukieleza kikaeleweka kwa wasomaji.
Kama unabisha, jiangalie, rudi nyuma tazama michango yako yote, tokea April 12, 2008!
Halafu unadiriki kujisemea maneno yasiyokuwa na msingi wowote.

Kazi ekee unayoiweza ni ya kuandika vineno neno vya mipasho; kama unamwiga 'idol' wako Samia Suluhu Hassan; ambaye pengine ndiye anaye kufuga kama mfugo na kukupa shibe yako.
 
Msimamo wa Chadema wa NRNE utawapa heshima hata kama watakosa nafasi za kisiasa
Msimamo huu utachangia, kama sio wakati huu, ni lazima utakuwa na mchango mkubwa sana katika mabadiliko wa utaratibu wa utawala wa nchi hii miaka ijayo.

Binafsi naamini, mabadiliko yatakuwa ni sasa, na siyo baadae. Wakati ni mwafaka sana wa mabadiliko hayo kufanyika sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…