Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah.

Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah:

Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini uta dowload app, utajionea kama vile upo mubashar (live) Madinah.

Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah.

Waislamu wanamuombea mabaya kila siku MBS eti anainajis ardhi takatifu. Na kanisa la kwanza tena la kilokole liko mbioni kujengwa Saudi Arabia. Kuna vizee vya kiislam Saudia vinamaindi kichiz hata huu mji wa kipekee wa Neom. MBS kawachinja sana kuwatuliza.

Ila kwa Mecca na Medina wasingewaachia wasio Waislamu kutembelea. Lazima sheria na misingi ya wengine kuheshimuwa.

God bless MBS and Saudi Royal Family.
 
Mbs Ni nani?
 
Mbs Ni nani?
Mwana wa mfalme wa Saudi Arabia anayekula kiti moto nakunywa pombe.

He is a no nonsense powerful crown prince of Saudi Arabia.

Mohamed Bin Salman

gettyimages-1052941940-612x612.jpg
 
Zipo Jeddah
Zifate. Ukienda pitia na Madinah. Unallocated bullet train hilo,linakwenda mpaka kilometers 300 kwa saa,kwa mujibu wa hao vijana "waliolikwaa".

Tena siku hizi kuna dege la Saudia Airlines la moja kwa moja kutokea Dar na soon AirTanzania itaanza.

Nenda kafunguwe macho na ubongo (exposure). Usisubiri kuhadithiwa.

Kaone bandari ya Jeddah, eyapoti, usafiri wa train, mabasi taxi Q wazee wa madrassa vinavyofanya kazi jalafu ulinganishe na vya wasomi wetu wa UDSM.

Usisahaunkutuekezea na ukarimu wa watu wa Madinah.

Subhanna Allah, ukarimu wa watu wanaoishi Madinah kwa wageni ni uleule toka walimpompokea Mtume Muhammad alipoamrishwa aondoke Makkah alipozaliwa.

Wazungu wameshangazwa na ukarimu. Natumainumejionea mwenyewe jinsi hawasadiki waliyoyashuhudia na kuyakuyakuta, yamekuwa ni kinyume kabisa na proaganda za kijinga walizolishwa kwa miaka.

Uislam ni mwema sana.
 
Magaidiiii
Hahaha. Umelishwa ujinga wa miaka mingi mpaka umeshiba ujinga.

Hata Mandela aliitwa na alifungwa kifungo cha maisha kwa ugaidi na hao hao wanaokuaminisha kuwa Waislam ni magaidi.

Cha kushangaza, Wewe wanakwambia Waislam magaidi. Wao wanawakaribisha magaidi kwao na wanakwenda kwa "magaidi" kama unavyojionea.

Jiulize kwanini wanakudanganya?

Hapo sasa.
 
Waislamu wanamuombea mabaya kila siku MBS eti anainajis ardhi takatifu. Na kanisa la kwanza tena la kilokole liko mbioni kujengwa Saudi Arabia. Kuna vizee vya kiislam Saudia vinamaindi kichiz hata huu mji wa kipekee wa Neom. MBS kawachinja sana kuwatuliza.

Ila kwa Mecca na Medina wasingewaachia wasio Waislamu kutembelea. Lazima sheria na misingi ya wengine kuheshimuwa.

God bless MBS and Saudi Royal Family.
Kila zama na kitabu chake - Ali Hassan Mwinyi.
 
Waislamu wanamuombea mabaya kila siku MBS eti anainajis ardhi takatifu. Na kanisa la kwanza tena la kilokole liko mbioni kujengwa Saudi Arabia. Kuna vizee vya kiislam Saudia vinamaindi kichiz hata huu mji wa kipekee wa Neom. MBS kawachinja sana kuwatuliza.

Ila kwa Mecca na Medina wasingewaachia wasio Waislamu kutembelea. Lazima sheria na misingi ya wengine kuheshimuwa.

God bless MBS and Saudi Royal Family.
MBS umagharibi mwingi anapenda misifa.
 
Back
Top Bottom