Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

Mama mbishi ww,hv unamleteaga maji mumewako? Au mpaka ushindane naye na shoo huwa unatoa kweli maana si kwa ubishi huu
 
Mwana wa mfalme wa Saudi Arabia anayekula kiti moto nakunywa pombe.

He is a no nonsense powerful crown prince of Saudi Arabia.

Mohamed Bin Salman

Hupo uongo

Hivi uongo huwa unawasaidia nini?

Dini yako ndiyo imekufundisha kusema uongo? Au ni shetani wewe?

Hiyo sura ya kula kiti moto na kulewa mipombe? Hana njaa hiyo kama wewe, wewe kinachokulisha nguruwe ni njaa tu, hakuna zaidi.

Huna haya wala hujuwi vibaya, mwana mtoka pabaya.
 
ukumbuke ni mji mtakatifu.

hatuoni kama unakwenda kuvurugwa na kuwaacha wahuni wakiunajisi.
 
Ulishawahi shuhudia ukarimu huo kwako au unaishia kwenye virtual tour?
 
Angaliwa Dubai wanavyopata maji kupitia bahari na ndege ya zinazopaa angani kutengeneza mawingu,na kupata maji safi na salama.
Mimi nawashangaa hawa wasuo Eaislam wamekazana qazee wa madtrassa, kama vile kosa kuwa mzee wa Madrassa, wakawaone wazee wa madrassa wanavyofanya yao huko.

Ni kutoelewa kuwa elimu na sayansi kubwa zote bila wazee wa madrassa, ingekuwa muhali mpaka sasa.

Nani mwenye mchango zaidi kwemye elimu na sayansi zote tuzijuazo zaodi ya mzee wa Madrfasaa?
 
Atoe ushahidi.
 
Ngoja nami niende kumpiga mawe shetani pale na kuchungulia na kumbusu "allah" pale Macca. Je tutaruhusiwa kuona lile pango ambalo Muddy alikabwa na majini na akapewa quran au watatukataza?
 
Safi sana ndio njia ya kusilimu kwao
 
Unataka kusema nini?

Umeongea as if una maji mdomoni em yameze rudi elezea umeona nini hadi yatokee au yanatokea haya.
huo mji walikuwa hawaingii watu ambao sio waislam kama wewe.ili msije mkaleta upuuzi wenu wa kimagharib.huo mji ndipo alipolala mtume muhammd na ahli zake watukufu.na waswahaba zake watukufu(r.a)
 
na ndipo kila mtu ataleta utamaduni wake.patakuwa uwanja wa fujo kama miji mingine,wataingia walevi,wezi,wazinifu n.k
Asaa mwenyezi Mungu atawapa hidaya kwa watayoyakuta huko na kuwachana na ushetani wote.

katika historia ya Mtume Muhammad (amani ya Allah iwe nae) hajawahi kuzuwia asiye Muislam asiingie Madinah na alikuwa kiishi na wasio Waislam, hitoria inatufundisha kuwa waliomkaribisha Madinah wengi wao hawakuwa Waislam wakati huo. Wengi wakausoma Uislam kwa vitendo na kuujuwa Uislam baada ya Bwana Mtume kufika hapo.

Kuna koo chache zilikuwa na habari ya Uislam na zipo koo za kisomi za Wayahudi zilizokuwa zikiishi hapo ziliutarajia ujio wake.
 
Laah haulah tobaa! Uislam kweshney, umeisha. Wameanza kuruhusu wasio waislam! Itafika wakati wataruhusu mpaka Maka kuna kuba. Watapata fedha nyingi za utalii
 

Muhafidhina wa kidini,waliokuletea dini wameanza kujitambua umebakia wewe fanatic,soon kutakua na pork festival hapo madina.
 
huo mji walikuwa hawaingii watu ambao sio waislam kama wewe.ili msije mkaleta upuuzi wenu wa kimagharib.huo mji ndipo alipolala mtume muhammd na ahli zake watukufu.na waswahaba zake watukufu(r.a)
Kwa hiyo ni kusema ktk uislam akitokea mtu mwenye roho nzuri na uelewa mpana akataka atende jema kwa jamii isiyo islan huyo anakuwa anakosea?

Kwanini hampendi ushirikiano always ni chuki tu hata kwa ardhi aliyoiumba Mungu?
 
Nimefurahia sana, sasa Mgalatia mimi kilichobaki tu ni kumpata mtoto mmoja mrembo wa kiarabu

Utanisaidiaje Ustadhat? Sintaitwa Kafiri nikifika huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…