MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
-
- #21
Huo ni utajiri Ndugu.Mbona kama nayafahamu haya mawe? Nilishawahi kuyaona Chunya na watu wakule wanakwambia ukiona haya yamejaa hapo ujue dhahabu pia ipo. Labda yawe nimeyafanisha
ni kweli Mkuu,natunza mawe tofauti tofauti pengine mbeleni huko tech itayahitaji wanangu wakapinga bingo [emoji1][emoji1] lakini Tanzania kuna madini mengi sana basi tu hatuna elimu yakufatiliaYatunze sana hayo mawe.
Juzi nimemuona mchina kwenye media akiwa Tanzania kwenye kijijini flani ndani ndani huko Kigoma,....ni kweli Mkuu,natunza mawe tofauti tofauti pengine mbeleni huko tech itayahitaji wanangu wakapinga bingo [emoji1][emoji1] lakini Tanzania kuna madini mengi sana basi tu hatuna elimu yakufatilia
Mkuu nikithibitisha ndio yenyewe nitafunga safari kwenda kuyakusanya😊Huo ni utajiri Ndugu.
Napitaga pale Singida , jirani na barabara ya rami....kuna kitu kinaendelea pale hata sielewi ni kitu gani. Kimechukua muda mrefu sana. Hata kama ni issue ya discovery sio kwà muda mrefu hivyo.....au kuna mengine???Mbona hilo swala ni la kawaida sana hata hapa kwetu mambo hayo yanafanyika tu kiyenyeji na watu kutoka nchi za nje, na viongozi wetu wanashirikiana nao kmya kimya bila kufata sheria za nchi kwahvyo tumwombe sana mungu.
Ndiyo yenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nikithibitisha ndio yenyewe nitafunga safari kwenda kuyakusanya[emoji4]
wachina wanapiga hela zao kijanja sana hapa bongoland tunatupa mali tunakusanya kokoto pekeeJuzi nimemuona mchina kwenye media akiwa Tanzania kwenye kijijini flani ndani ndani huko Kigoma,....
Yupo na furushi ya mawe meupe meupe kama kahawia hivi....anatangaza kwà kutoa dau kwamba ...kwà mtu ambae anayajua mawe kama yale ...amcheck inbox/dm ..kwani anayatafuta sana.
Akasema...anarudi China kuyapeleka laboratory then atarudi after two weeks hapa TZ.
Kuna vijana wangu wapo kule, nataka wayapige picha wanitumie WhatsApp ili tuyathaminishe faster.Ndiyo yenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana. Tusikariri tu Tanzanite, Dhahabu, Almasi etc...kuna vitu vinathamani sana ...na bado hata hatujavigundua kama vinathamani.Kuna vijana wangu wapo kule, nataka wayapige picha wanitumie WhatsApp ili tuyathaminishe faster.
Akili za google changanya na za kwako. Usiamini KILA kitu unachokiona Google.Watz kwa uongo mmezidi sasa. Kwanza Californium does not occur naturally. Maana yake ni man made. Californium inapatikana kwa process inaitwa paricle bombardement of Plutonium ambayo ni very expensive na inahitaji utaalam wa juu sn kwa sababu kwanza hayo madini yana mionzi ( radioactive) na inaweza kusababisha madhara makubwa kwa binaadam kiafya.
So far ni sehemu mbili tu duniani zinazalisha Californium ambazo ni Oak Ridge National Laboratory Marekani na Research Institute of Atomic Reactors, Dimitrovgrad huko Urusi. Kwa mwaka ni nusu gram tu ya Californium huzalishwa dunia nzima hivyo kufanya kuwa na scramble ya kuyapata kutokana na kuwa adimu kupita kiasi.
Hivyo basi huu upotoshaji wako wa kusema yanapatikana Nigeria ni uzushi na uzandiki wenye mlengo wa ukurupukaji na upotoshaji.
Hii ni kweli. Kwenye process watakwambia.....haya hayana kitu...tupa kule...au yalundike pale...baada ya muda kupita wanayachukuawachina wanapiga hela zao kijanja sana hapa bongoland tunatupa mali tunakusanya kokoto pekee
Huu ndio ujinga wenyewe wa Watanzania. Wew hizo information za Californium kupatikana ardhini umeitoa wapi? Hebu tuletee source uache ujinga na porojo zako. Kwanza hayo madini ni very unstable in air na yana half life ya around 2years.Akili za google changanya na za kwako. Usiamini KILA kitu unachokiona Google.
Note: Google ni ya mtu au watu weupe. Usidhani kama unaweza kupata ukweli kamili kupitia hiyo source. Kuna mambo Yako wazi humo na mengine yamepotoshwa ili yasifuatiliwe na watu. Hasa yahusuyo utajiri wa Afrika
Kwà taarifa Yako, hii debate iko hot sana Nigeria....na ukiingia google utaipata kwà mbaaaaaaaaliiii ....Huu ndio ujinga wenyewe wa Watanzania. Wew hizo information za Californium kupatikana ardhini umeitoa wapi? Hebu tuletee source uachane ujinga na porojo zako. Kwanza hayo madini ni very unstable in air na yana half life ya around 2years.
Nashangaa huu ujinga wako wa porojo za vijiwe vya kahawa unapata wanaokuunga mkono. Californium ni radioactive material ya hatari sn yenye spontaneous disintegration group moja na Einsteinium. Hebu ficha ujinga wako basi.
Iwe isiwe mambo chini ya Jua hayashindikani.Huu ndio ujinga wenyewe wa Watanzania. Wew hizo information za Californium kupatikana ardhini umeitoa wapi? Hebu tuletee source uache ujinga na porojo zako. Kwanza hayo madini ni very unstable in air na yana half life ya around 2years.
Nashangaa huu ujinga wako wa porojo za vijiwe vya kahawa unapata wanaokuunga mkono. Californium ni radioactive material ya hatari sn yenye spontaneous disintegration group moja na Einsteinium. Hebu ficha ujinga wako basi.
Tuma link hapa acha porojo. Madini ya kinyuklia yanayotengenezwa maabara yanaanzaje kupatikana ardhini? Kwanza unayachimba na kuhifadhi vp km yanapotea baada ya muda mfupi? Unajua maana ya spontaneous disintegration? Huenda unazungumza kitu usichokijua kabisa ila km kawaida ya Watz walio wengi unaumwa ugonjwa wa UJUAJI!Kwà taarifa Yako, hii debate iko hot sana Nigeria....na ukiingia google utaipata kwà mbaaaaaaaaliiii ....
Debate ya kuhusu CALFORNIUM huko Nigeria....iko hot kama hii ya DP World hapa Tz
Kuna madini na baadhi ya vitu havipatikani ardhini ila vinazalishwa maabara! Mfano wake ni hiyo Californium. No wonder inazalishwa hizo nchi mbili za Urusi na Marekani maana ndio waliohodhi hizo teknolojia za KinyukliaIwe isiwe mambo chini ya Jua hayashindikani.
Watu wanapita na vitu vingi sana.
Ni hoja zote fikirishi.
Tuwekee hapa chanzo cha taarifa yako basiAkili za google changanya na za kwako. Usiamini KILA kitu unachokiona Google.
Note: Google ni ya mtu au watu weupe. Usidhani kama unaweza kupata ukweli kamili kupitia hiyo source. Kuna mambo Yako wazi humo na mengine yamepotoshwa ili yasifuatiliwe na watu. Hasa yahusuyo utajiri wa Afrika
Ndugu zangu kuna baadhi ya mambo ,....huwezi kuyaona google in a positive way.....google KILA kukicha wako busy kuedit taarifa na kuweka vitu tofauti. Na vingine kuviondoa kabisa.Tuwekee hapa chanzo cha taarifa yako tafadhali