Madini aina ya Calfornium 1 gram = 27m USD

Mbona hilo swala ni la kawaida sana hata hapa kwetu mambo hayo yanafanyika tu kiyenyeji na watu kutoka nchi za nje, na viongozi wetu wanashirikiana nao kmya kimya bila kufata sheria za nchi kwahvyo tumwombe sana mungu.
 
ni kweli Mkuu,natunza mawe tofauti tofauti pengine mbeleni huko tech itayahitaji wanangu wakapinga bingo [emoji1][emoji1] lakini Tanzania kuna madini mengi sana basi tu hatuna elimu yakufatilia
Juzi nimemuona mchina kwenye media akiwa Tanzania kwenye kijijini flani ndani ndani huko Kigoma,....

Yupo na furushi ya mawe meupe meupe kama kahawia hivi....anatangaza kwà kutoa dau kwamba ...kwà mtu ambae anayajua mawe kama yale ...amcheck inbox/dm ..kwani anayatafuta sana.

Akasema...anarudi China kuyapeleka laboratory then atarudi after two weeks hapa TZ.
 
Mbona hilo swala ni la kawaida sana hata hapa kwetu mambo hayo yanafanyika tu kiyenyeji na watu kutoka nchi za nje, na viongozi wetu wanashirikiana nao kmya kimya bila kufata sheria za nchi kwahvyo tumwombe sana mungu.
Napitaga pale Singida , jirani na barabara ya rami....kuna kitu kinaendelea pale hata sielewi ni kitu gani. Kimechukua muda mrefu sana. Hata kama ni issue ya discovery sio kwà muda mrefu hivyo.....au kuna mengine???
 
Juzi nimemuona mchina kwenye media akiwa Tanzania kwenye kijijini flani ndani ndani huko Kigoma,....

Yupo na furushi ya mawe meupe meupe kama kahawia hivi....anatangaza kwà kutoa dau kwamba ...kwà mtu ambae anayajua mawe kama yale ...amcheck inbox/dm ..kwani anayatafuta sana.

Akasema...anarudi China kuyapeleka laboratory then atarudi after two weeks hapa TZ.
wachina wanapiga hela zao kijanja sana hapa bongoland tunatupa mali tunakusanya kokoto pekee
 
Watz kwa uongo mmezidi sasa. Kwanza Californium does not occur naturally. Maana yake ni man made. Kwa Kiswahili tunasema hayapatikani ardhini bali yanazalishwa maabara kupitia process inayoitwa paricle bombardement of Plutonium! Hiyo process ni aghali sana na inahitaji utaalam wa juu sana kwa sababu kwanza hayo madini yana mionzi ( radioactive) na yanaweza kusababisha madhara makubwa sana kwa binaadam kiafya( ni madini ya nyuklia).

So far ni sehemu mbili tu duniani zinazalisha Californium ambazo ni Oak Ridge National Laboratory Marekani na Research Institute of Atomic Reactors, Dimitrovgrad huko Urusi. Kwa mwaka ni nusu gram tu ya Californium huzalishwa dunia nzima hivyo kufanya kuwa na scramble ya kuyapata kutokana na kuwa adimu kupita kiasi.

Hivyo basi huu upotoshaji wako wa kusema yanapatikana Nigeria ni uzushi na uzandiki wenye mlengo wa ukurupukaji na upotoshaji.
 
Kuna vijana wangu wapo kule, nataka wayapige picha wanitumie WhatsApp ili tuyathaminishe faster.
Safi sana. Tusikariri tu Tanzanite, Dhahabu, Almasi etc...kuna vitu vinathamani sana ...na bado hata hatujavigundua kama vinathamani.

Note: Nilipata bahati ya kusomea SHINYANGA TECH HIGH SCHOOL, Maganzo , Mwadui. Unaambiwa hizo ALMASI wakati huo wakazi wa pale walikua wanazitumia kuchezea bao. Watu weupe walipokuja wakawashangaa sana...kuona wanauchezea utajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watz kwa uongo mmezidi sasa. Kwanza Californium does not occur naturally. Maana yake ni man made. Californium inapatikana kwa process inaitwa paricle bombardement of Plutonium ambayo ni very expensive na inahitaji utaalam wa juu sn kwa sababu kwanza hayo madini yana mionzi ( radioactive) na inaweza kusababisha madhara makubwa kwa binaadam kiafya.

So far ni sehemu mbili tu duniani zinazalisha Californium ambazo ni Oak Ridge National Laboratory Marekani na Research Institute of Atomic Reactors, Dimitrovgrad huko Urusi. Kwa mwaka ni nusu gram tu ya Californium huzalishwa dunia nzima hivyo kufanya kuwa na scramble ya kuyapata kutokana na kuwa adimu kupita kiasi.

Hivyo basi huu upotoshaji wako wa kusema yanapatikana Nigeria ni uzushi na uzandiki wenye mlengo wa ukurupukaji na upotoshaji.
Akili za google changanya na za kwako. Usiamini KILA kitu unachokiona Google.

Note: Google ni ya mtu au watu weupe. Usidhani kama unaweza kupata ukweli kamili kupitia hiyo source. Kuna mambo Yako wazi humo na mengine yamepotoshwa ili yasifuatiliwe na watu. Hasa yahusuyo utajiri wa Afrika
 
Huu ndio ujinga wenyewe wa Watanzania. Wew hizo information za Californium kupatikana ardhini umeitoa wapi? Hebu tuletee source uache ujinga na porojo zako. Kwanza hayo madini ni very unstable in air na yana half life ya around 2years.

Nashangaa huu ujinga wako wa porojo za vijiwe vya kahawa unapata wanaokuunga mkono. Californium ni radioactive material ya hatari sn yenye spontaneous disintegration group moja na Einsteinium. Hebu ficha ujinga wako basi.
 
Huu ndio ujinga wenyewe wa Watanzania. Wew hizo information za Californium kupatikana ardhini umeitoa wapi? Hebu tuletee source uachane ujinga na porojo zako. Kwanza hayo madini ni very unstable in air na yana half life ya around 2years.

Nashangaa huu ujinga wako wa porojo za vijiwe vya kahawa unapata wanaokuunga mkono. Californium ni radioactive material ya hatari sn yenye spontaneous disintegration group moja na Einsteinium. Hebu ficha ujinga wako basi.
Kwà taarifa Yako, hii debate iko hot sana Nigeria....na ukiingia google utaipata kwà mbaaaaaaaaliiii ....

Debate ya kuhusu CALFORNIUM huko Nigeria....iko hot kama hii ya DP World hapa Tz
 
Huu ndio ujinga wenyewe wa Watanzania. Wew hizo information za Californium kupatikana ardhini umeitoa wapi? Hebu tuletee source uache ujinga na porojo zako. Kwanza hayo madini ni very unstable in air na yana half life ya around 2years.

Nashangaa huu ujinga wako wa porojo za vijiwe vya kahawa unapata wanaokuunga mkono. Californium ni radioactive material ya hatari sn yenye spontaneous disintegration group moja na Einsteinium. Hebu ficha ujinga wako basi.
Iwe isiwe mambo chini ya Jua hayashindikani.
Watu wanapita na vitu vingi sana.
Ni hoja zote fikirishi.
 
Kwà taarifa Yako, hii debate iko hot sana Nigeria....na ukiingia google utaipata kwà mbaaaaaaaaliiii ....

Debate ya kuhusu CALFORNIUM huko Nigeria....iko hot kama hii ya DP World hapa Tz
Tuma link hapa acha porojo. Madini ya kinyuklia yanayotengenezwa maabara yanaanzaje kupatikana ardhini? Kwanza unayachimba na kuhifadhi vp km yanapotea baada ya muda mfupi? Unajua maana ya spontaneous disintegration? Huenda unazungumza kitu usichokijua kabisa ila km kawaida ya Watz walio wengi unaumwa ugonjwa wa UJUAJI!
 
Iwe isiwe mambo chini ya Jua hayashindikani.
Watu wanapita na vitu vingi sana.
Ni hoja zote fikirishi.
Kuna madini na baadhi ya vitu havipatikani ardhini ila vinazalishwa maabara! Mfano wake ni hiyo Californium. No wonder inazalishwa hizo nchi mbili za Urusi na Marekani maana ndio waliohodhi hizo teknolojia za Kinyuklia
 
Akili za google changanya na za kwako. Usiamini KILA kitu unachokiona Google.

Note: Google ni ya mtu au watu weupe. Usidhani kama unaweza kupata ukweli kamili kupitia hiyo source. Kuna mambo Yako wazi humo na mengine yamepotoshwa ili yasifuatiliwe na watu. Hasa yahusuyo utajiri wa Afrika
Tuwekee hapa chanzo cha taarifa yako basi
 
Tuwekee hapa chanzo cha taarifa yako tafadhali
Ndugu zangu kuna baadhi ya mambo ,....huwezi kuyaona google in a positive way.....google KILA kukicha wako busy kuedit taarifa na kuweka vitu tofauti. Na vingine kuviondoa kabisa.

Mfano: Madini kama haya huwezi kamwe kuyakuta google

Back
Top Bottom