..wananchi wa Kagera hawakuwa mabondeni lakini na wao aliwatolea lugha zisizo na staha.
..sasa inawezekana wako wananchi wa Lindi ambao walikuwa wanawacheka ndugu zao wa Kagera walipotolewa kauli mbaya na bwana mkubwa.
..wafanyakazi walipodai nyongeza ya mishahara bwana mkubwa akaropoka kwamba hata yeye mshahara wake haumtoshi. Inaeleweka kwamba bwana mkubwa anatunzwa [ malazi, chakula, usafiri, ulinzi bure] kwa kodi ya wananchi.
..mchangiaji aliyesema " ..hadi watu wapate akili.." hajakosea. Ni lazima tuelewe kwamba bwana mkubwa hana utu au huruma kwa wananchi waliomchagua. Bwana mkubwa anajiona yuko juu yetu wananchi na kwamba sisi tuko kwa ajili ya kumtumikia, kumsifia, na kumsujudia kila wakati.