Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi
Hawa wote watapewa vyeo halafu Zoezi L's kuiua CCM wakiwa kulekule ndani litatimia.Wakati huo wapiga zumari wanashitukia wapo nje ndani wamejaa wageni

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Lakini acha wakienda CCM wapate vyeo maana wote ni WaTz sio kutoka nje ya nchi.
 
Kugola ndo nan mzee baba
 
Kuna unachokijua lakini unaficha , ongea yote halafu na mimi nitatoa mchango wangu
Mkuu naongoe ukweli toka rohoni sikijui chochote na sipo chama chochote au idara yoyote.
Mimi naangalia 'trend' na kubashiri tu.

Ngumu kuniamini lakini ndio hivyo ni kweli nisemacho.
 
Tatizo letu sisi watu weusi tunashughulika sana na watu badala ya kushughulika na mfumo. Huwezi kuua mfumo wa vyama vingi vya siasa iwapo wewe chama dola hujawaondolea adha ya maisha wananchi unaowatawala. Ukirubuni viongozi wa upinzani wakaja kwako tegemea kuna wananchi wengine wasioridhishwa na utawala wako watapata nafasi ya kuongoza upinzani ni kama usajili wa timu ya mpira tu. Ukimchukua Ronaldo wenzako wanampandisha kikosi cha kwanza kinda mahiri aje kuziba nafasi iliyoachwa wazi
 
mwisho wa ubaya ni aibu,unapiga bomu mochwari unajisifu umeua
 
Mkuu naongoe ukweli toka rohoni sikijui chochote na sipo chama chochote au idara yoyote.
Mimi naangalia 'trend' na kubashiri tu.

Ngumu kuniamini lakini ndio hivyo ni kweli nisemacho.
Usiihusishe wanaohama na Uongozi wa Juu wa Chadema , hauhusiki usije kubeba dhambi bure , kama hujui endelea kutokujua lakini usitunge uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…