Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 753
- 1,812
Takribani madiwani 20 wa chadema waliojiunga CCM kuunga juhudi za Rais Magufuli wameangukia pua kwenye kura za maoni huku eti wakidai wamehujumiwa na wajumbe.
Hatua hiyo imedhihirisha wazi kwamba wenye CCM yao wapo na sio wahamiaji kama walivyopigwa mweleka kwenye kura za maoni na wengi wao wakiambulia kura moja na sifuri.