Madiwani wa Upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo tofauti na wale wa CCM ambao husaka tenda!


Hakuna mkuu ,wapinzani walikuwa wanatucheleweshea sana maendeleo!! Kwasasa ni kijani mambo yatakuwa Kuntu!! Mabomba yatatiririsha maji 24hrs,umeme bwerere ,barabara zinapitika misimu yote!! ushuru/kodi zimepunguzwa!! Mitano tena.

Maendeleo hayana chama!!! Kwani Mbunge wa huko ni nani?
 
John kunywa pepsi hapo kwa mangi kwa hisani yangu,ulikuwa wapi siku zote wakati ukiimba mapambio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…