Baba yako huko1: Penzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered zaidi na wanaomzidi umri.
2: Binti kama anakukubali na bado hauja mu-approach atakuset ili ionekane wewe ndio unamtaka, yani atajiweka katika mazingira ya wewe kupambana kumpata.
3: Kosa kubwa utakalo fanya mdogo wangu ni ku-dedicate maisha yako katika kufukuzia mademu. That shit is depressing and it swallows your aura and energy
4: Usihangaike na wadada wanaokuzidi status katika uchumi, career na style za kimaisha. Utaiishia kuilamu nafsi yako na kujichukia wakati wao wakiendelea kupaa
5: Mapenzi ni hisia za kujiunda na mambo ya kufikirika, kwa hio usigeuze hisia unazopata katika uhalisia na kutarajia dunia halisia ita relate hivyo hivyo, utaumia.
Tunawezaje kupin hii comment?Cha muhimu hapo ni kwamba mtu asiogope kuumia. Kuumia ni sehemu ya kawaida ya maisha. Enjoy the moments and follow your heart...
Well said1: Penzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered zaidi na wanaomzidi umri.
2: Binti kama anakukubali na bado hauja mu-approach atakuset ili ionekane wewe ndio unamtaka, yani atajiweka katika mazingira ya wewe kupambana kumpata.
3: Kosa kubwa utakalo fanya mdogo wangu ni ku-dedicate maisha yako katika kufukuzia mademu. That shit is depressing and it swallows your aura and energy
4: Usihangaike na wadada wanaokuzidi status katika uchumi, career na style za kimaisha. Utaiishia kuilamu nafsi yako na kujichukia wakati wao wakiendelea kupaa
5: Mapenzi ni hisia za kujiunda na mambo ya kufikirika, kwa hio usigeuze hisia unazopata katika uhalisia na kutarajia dunia halisia ita relate hivyo hivyo, utaumia.
Hii enzi hizooo nilikuwaga nabisha mpaka niliposhuhudia dhereu🤣🤣 ndo akili ikanikaaa sawaPenzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered zaidi na wanaomzidi umri.
Kijana ushaacha kutumia mkono?Naongezea...
KAMA UNAWEZA ACHANA KABISA NA MAPENZI..
Umelewa hela za jf ndo maana mkuu wanguSijaona cha maana zaidi ya ngonjera tuu
HeheheheTunawezaje kupin hii comment?
Btw binafsi nafikiri kwenye mapenzi ni hadi mtu aumie ndio atajifunza, Sababu tukiwa wadogo wadogo wazazi/walezi, walimu na jamii kwa ujumla wametushauri sana kuhusu mapenzi hatukusikia ng’oo ! Ni mpaka uipate ile first hand experience….
Kwenye haya mapenzi hakuna jipya hvy Hakuna lolote utakaloskia likawa jipya Au la maanaUmelewa hela za jf ndo maana mkuu wangu
.........au basiTatizo sikuhizi hakuna mahaba
Wewe umelewa methylated Spirit hahahahahahahKwenye haya mapenzi hakuna jipya hvy Hakuna lolote utakaloskia likawa jipya Au la maana
UKweli ni wenye kuchoma kama upangaaa aiseee🤣🤣🤣🤣Kamshauri
Baba yako huko
AIseee1: Penzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered zaidi na wanaomzidi umri.