Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

Mimi concern yangu iko elsewhere. Hapa hatujuani wala hatutaki kutambulisha true identities zetuβ€”tunakwenda kwa pseudonyms. Nia yako njema ya kusaidia mtu inaweza kugeuka kuwa liability. Unaweza kuishia kumtumia pesa jambazi wa fazafaka wa Kizimkazi ukawa umejisaliti mwenyewe kwa kubainisha true identity yako.

Let’s all be careful. Fazafaka ametuharibia sana nchi.
 
Bora ndege JOHN kaliweka hadharani maana ilishakua kero sasa Shadeeya

Halafu unashangaa mtu wala hamjuani wala huna mazowea nae japo ya salam
Pole sana
Hivi na nyie Ke hua yanawakuta ya vizinga kutoka kwa wasiojitambua?
Hata Sijajua kwa wenzangu Ses mana kwangu yapita miaka kadhaa kwa Waziri Mkuu kuna komeo. Hivyo hizo kadhia sikumbani nazo.
 
Sasa nyie wenyewe story zenu kila siku mnapiga pisi kali ambazo maintaining costs zao ni kubwa. Watu wanajimwambafai wanamaliza mpaka laki 5 kupata utelezi kwa siku moja tu. Kwanini madogo wasifikirie mna hela.
Nilikuwa najiuliza how comes mtu anaomba pesa kwa mtu asiyemfahamu? Au wanafanya random sampling? Sasa nimeelewa!!!!
 
Kweli,mbona wapo wanaotoka na hawaji kutangaza,
Na huo ndio uungwana, kama huna basi una muambia mtu huna au kama hujisikii haujibu tu hata PM yake kuliko watangaza na kuwabananga wengine wanashida kweli kweli na watu wana matatizo na shida mbali mbali. Sema watu hawana upendo humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…