Kwa nini wawe ni kataa ndoa?Kataa ndoa hao🤣🤣
Ndio hawa jukwaani wameranduka wanatukana hovyo.
Burden of proof imetumike kwanzaKwanini wasiwe ni kataa ndoa?
😀
Anything you do after getting drunk is not you,Burden of proof imetumike kwanza
Nami wameshanifikia, waache hizi tabia za kichokoJamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.
Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu hukohuko kwa majirani. Hata migahawani kuna uwezekano ukapata msaada wa chakula kuliko kutuma copy-paste kwa members
Bora hata uombe fursa, kazi au connection kuliko kuomba hela moja kwa moja. wanadhani kila mtu wa JF ni tajiri. Ukweli ni kwamba sisi ni akina nyie tu tupo hapa kutafuta madini, maarifa na habari.
Yaani ndani ya wiki moja nakuta meseji tatu tofauti zote zinaanza na Bro sikujui hunijui ila nina shida, nisaidie hela ya kula.
ni sawa hata mimi sijasema umetaja mtu bro. Ila ilikuwa upige chini kwa kuwapotezea au kuwajibu kuwa huna coz sio deni ati wanakudai au sio, hii yako ni sawa umemtongoza dem mkiwa wawili akitoka hapo anaenda kuwaambia kaka zake flani kanitongoza ni kama anataka atongozwe na hao kaka zake. Bro tofauti na elimu ya shule kila mtu ana ya kuzaliwa sa mda mwingi jaribu kutumia ya kuzaliwa. Ndio hamjuani kweli lakini kakuomba ya kula after labda umeanika michongo yako ya sasampa na anakuona matawi ya juu ndio maana kakuomba bro. Inbox sms kama mimi zimejaa sana za kuombwa pesa lakini nazijibu kihekima na mtu anabaki kucheka na maisha yanasonga. Ni sawa na mtu akutusi inbox uanze kumjibu, hiyo ni kumpa points kwa ujinga wake coz ataona na wewe umekubali ujinga huo, hapo ni kumpotezea kama hujaona chochote abaki amehang. Tumewalea hivyo sisi wenyeweMzee Sidhani kama nime m mention mtu kwenye topic yangu me nimesema tu kwa ujumla kwa wote wenye hizo tabia
It's not AI, it's alcohol Installed, the updates disappear when you sober up. 😂🍺Anything you do after getting drunk is not you,
It's AI
Alcohol Intelligence.
Wanazo ila mwanaume ni ngumu sana kulalamika akiombwa pesa na mwanamke kwa sababu anaona ni kawaida yao kuomba na kikubwa zaidi. Lust inacontrol maamuzi kwenye situation hiyowanawake hawana hizo pigo kabisa..
Mnalinda vibunda vya kuomba.Kwa nini wawe ni kataa ndoa?
Unajielezea sana mkuu, vipi kwani🤣🤣🤣ni sawa hata mimi sijasema umetaja mtu bro. Ila ilikuwa upige chini kwa kuwapotezea au kuwajibu kuwa huna coz sio deni ati wanakudai au sio, hii yako ni sawa umemtongoza dem mkiwa wawili akitoka hapo anaenda kuwaambia kaka zake flani kanitongoza ni kama anataka atongozwe na hao kaka zake. Bro tofauti na elimu ya shule kila mtu ana ya kuzaliwa sa mda mwingi jaribu kutumia ya kuzaliwa. Ndio hamjuani kweli lakini kakuomba ya kula after labda umeanika michongo yako ya sasampa na anakuona matawi ya juu ndio maana kakuomba bro. Inbox sms kama mimi zimejaa sana za kuombwa pesa lakini nazijibu kihekima na mtu anabaki kucheka na maisha yanasonga. Ni sawa na mtu akutusi inbox uanze kumjibu, hiyo ni kumpa points kwa ujinga wake coz ataona na wewe umekubali ujinga huo, hapo ni kumpotezea kama hujaona chochote abaki amehang. Tumewalea hivyo sisi wenyewe
Kila uchwao mnatulalamikia wanawake kuomba omba hela. Ila sio rahisi mwanamke kumvamia tu mtu pm na kuomba hela.Wanazo ila mwanaume ni ngumu sana kulalamika akiombwa pesa na mwanamke kwa sababu anaona ni kawaida yao kuomba na kikubwa zaidi. Lust inacontrol maamuzi kwenye situation hiyo
Na zaidi, wanaume wengi hupendekeza kutoa wenyewe bila kuombwa.
Utajuaje ni wanaume na sio wanawake?Kila uchwao mnatulalamikia wanawake kuomba omba hela. Ila sio rahisi mwanamke kumvamia tu mtu pm na kuomba hela.
Matapeli wengi hata wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" ni wanaume. Mna njia nyingi sana za kuomba omba hela. Waomba omba hela pm wa jf wanaolalamikiwaga ni wanaume🙆♂️
Duh bro, ndo umeamua kunifungulia uzi kabisa mkuu 😔Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.
Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu hukohuko kwa majirani. Hata migahawani kuna uwezekano ukapata msaada wa chakula kuliko kutuma copy-paste kwa members
Bora hata uombe fursa, kazi au connection kuliko kuomba hela moja kwa moja. wanadhani kila mtu wa JF ni tajiri. Ukweli ni kwamba sisi ni akina nyie tu tupo hapa kutafuta madini, maarifa na habari.
Yaani ndani ya wiki moja nakuta meseji tatu tofauti zote zinaanza na Bro sikujui hunijui ila nina shida, nisaidie hela ya kula.
Kila uchwao mnatulalamikia wanawake kuomba omba hela. Ila sio rahisi mwanamke kumvamia tu mtu pm na kuomba hela.
Matapeli wengi hata wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" ni wanaume. Mna njia nyingi sana za kuomba omba hela. Waomba omba hela pm wa jf wanaolalamikiwaga ni wanaume🙆♂️