Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.

BD7511AD-5C7A-435F-9707-C5F90057C681.jpeg
.
 
Mkataba huu siyo tu watanzania hawautaki, Mungu mwenyewe pia ameamua asimame na wanaokuwa wakikandamizwa na ccm chama cha ibilisi!

Maana kila kipande cha mkataba walichokificha chenye utatata zaidi, wapo wapenda nchi kwa hofu ya Mungu, wanavujisha tuu na wataendelea kufanya hivyo!

Na ole walazimishe! MUNGU ataamua yake!
 
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DPW kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.

View attachment 2686950.
Mbawara ameshauvaa mkenge, siku isiyo na jina atalazimika kueleza kwa nini alienda kinyume na hii instrument. Kama alisaini sehemu moja kwa vile alidhani instrument imekosewa kwa nini hakumshauri rais aibadilishe?
 
kwahiyo dubai hawakusaini au vipi? tuliingia mkataba na nani sasa?

Dubai sio nchi, na haina government yake. Nchi ni U.A.E ambao kimsingi ndo walitakiwa kusign kama Government na sio Dubai. Ndo mana kina Mwakabusi wana baseline za kusema iyo contract ni null and void. Ila unakuta kina Jerry Slaa wanaojiita wasomi wenye digree 7 wanautetea ndo hapo unakuja kugundua kina Jerry shule haijawasaidia
 
Back
Top Bottom