Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.Nawasubiria kwanza akina The Boss na FaizaFoxy waje watolee ufafanuzi. Baada ya hapo nitatambua nani ni msemakweli.
Elimu nzuri jamaniImetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DPW kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Kama wamefanya makosa leo una uhakika gani huko mbele hawatafanya makosa.
Mmekazana sana na mambo yasiyo na kichwa wala miguu kwenye huo mkataba kama sehemu ya matatizo.
Pitia article 18 ya ‘VCLT 1969’ hizo signature ndani ya huo mkataba hazina nguvu zozote za kisheria pekee yake, bila ya ratification.
Nguvu ya kisheria kwenye treaty ni baada ya ratification ya bunge; vinginevyo mikataba yote ya baadae terms zake ambazo zipo kwenye treaty azitambuliki mahakamani kama ratification aikufanyika.
Kwanza nchi inaweza ata ikana hiyo treaty yenyewe ata kama raisi ka sign; katika muda ambao bunge alijaridhia.
Yaani watu mmekezana na upotoshaji badala ya kuwabana hawa watu tujue huko mbele ni kipi hawa wakezaji wanatoa, wanaeudisha vipi na win situation yetu kwetu ina sura gani. Hayo mambo hawajifikia bado au ndio wanajadiliana kwa sasa nyuma ya pazia.
Lakini wapotoshaji mmekazana na mambo yasiyo ya kichwa wala miguu; kuivuruga serikali matokeo yake tunaweza ata kuwatoa umakini kwenye future negotiations ambazo huko sasa wakiingia kichwa kichwa ndio nchi inaenda tandikwa kweli.
Bi Mkubwa, Waziri na Katibu walifanya kazi ya Mwanasheria. Ila lingepita kimya kimya sijuwi mngelijulia wapi wajuba., maana wakurungwa tayari walishakunja.Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DPW kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Wewe una elimu gani kutuzidi.Elimu nzuri jamani
Ila mimi nilitaka tu ufafanuzi. Sasa matatizo ya shule yanatoka wapi tena!Tatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.
Ime editiwa au Mie sijaelewa?Rais anaongoza Nchi mbili?Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DPW kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
[emoji23]Asulubiwe
Woote wanaoshauri makubaliano YAREKEBISHWE Hawajaenda shule??[emoji101][emoji101]Tatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.
Ufafànuzi upi zaidi kijana kwani mkataba unasainiwa baina ya nchi zipi?Ila mimi nilitaka tu ufafanuzi. Na siyo matatizo ya shule.
Makosa yepi sasa hapo.Kama wamefanya makosa leo una uhakika gani huko mbele hawatafanya makosa.
Msiwazulie.Woote wanaoshauri makubaliano YAREKEBISHWE Hawajaenda shule??[emoji101][emoji101]View attachment 2687015
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DPW kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950
Kwamba rais wa jmt ni rais wa Dubai emirate siyo! Mafisadi yanapanga na Mungu anapangua! Yana mwisho haya!Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DPW kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Mtaje tu...Kuna Uzi uliletwa, nilichangia maoni kuhsu bandari, Kuna mtu alikuja PM kunitisha