Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

Ahaa haaaah Sasa hivi baada ya introduction ya DNA wanakamatwa jomba. Ulaya au majuu ulivyo sema ma - file ya grand crime hayafugwi. Mtu aliua miaka 30 iliyo pita aliacha DNA yake pale, ikachukuliwa. Miaka hii ya 21 century, mataifa mengi ya majuu yameanzisha DNA bank. Hivyo DNA zote walizozipata kwenye crime scene za miaka hiyo zimewekwa kwenye hiyo Bank. Hivyo ukifanya kosa lolote iwe driving offence kama drink driving au kuiba (armed robbery) au wizi mdongo mdongo unachukuliwa DNA yako. Waki- feed kwenye DNA data bank...... Wafwa!!!!!!!!
 
Umesoma nlichoandika vizuri, nimesema inakadiliwa kaua watu 160,000 either kwa maelekezo yake na wengine kwa mikonk yake mwenyewe
Hata kama.
Umesoma nlichoandika vizuri, nimesema inakadiliwa kaua watu 160,000 either kwa maelekezo yake na wengine kwa mikonk yake mwenyewe
Vita nzima ya madawa Mexico haijaua watu kufikia 50,000. Watu 160k siyo mchezo.
 
Reactions: y-n
Kuna muuwaji very professional kumshinda Carlos the jackal? Mbona mwishowe alidakwa kama kondoo hapo Sudan?? Yuko wapi Sasa hivi??
Carlos the Jackal hajakamatiwa Sudan. Alikamatiwa France na amehukumiwa maisha pale. If my memory serves me well. I stand to be corrected.
 
Kuna muuwaji very professional kumshinda Carlos the jackal? Mbona mwishowe alidakwa kama kondoo hapo Sudan?? Yuko wapi Sasa hivi??
Ndo maana nikampotezea...labda ye bado hajadakwa, time will tell[emoji848]
 
Inasikitisha sana...

Msiba wa maskini watoto wa nje kibao hujitokeza, msiba wa matajiri watu huuana kwa kugombaniana mali...
 
Kuliko ku judge kwa kuangalia Makabila zaidi,ni bora au ni vizuri zaidi tuka judge kwa kuangalia familia au Koo zenye record hizo tataa!!
Yeap ukoo kabila sioni tatizo
 
Hata kama.
Vita nzima ya madawa Mexico haijaua watu kufikia 50,000. Watu 160k siyo mchezo.
Mimi nimetazama kipindi kiko national geographic kinaitwa war on drugs, juzi walikuwa wanamzungumzia yeye, watu ambao ni offcial anajwa kuhusika ni kama 200ila mwisho, wao wanasema inakadiliwa katika kipindi chake chote inakadiliwa vita aliyoanzisha chini yake imeua watu 160,000 unless kama nilisoma vibaya namba labda ni 1600 raia wa kawaida, wanajeshi, wanahabari, wahamiaji waliokuwa wanakatisha kwenda marekani
 
Kuna wauaji professional..

Kwa Hawa popolisisi wetu .. ..wanaachwa gizani.. ..

Haachi alama na hakamatwi Ila hayupo mbali.. ..

Kuna mtu kakutwa kauawa..mpaka kesho hajakamtwa mtu.. ..

Mifano ipo mingi wanakamatwa mabogoz tu!
Je unajuwaje Kama mtuhumiwa alikamatwa lakini akamalizana kimyakimya na wakamataji!? Watu wakafuta midomo Kama vile hakuna aliyekula!? Case study Mtwara Police!!
 
Labda walitaka ionekane binti ndo anahusika na mauaji na kakimbia
 
Mshapajua nyumbani kwake mnaenda mara nyingi nyingi ili iweje? Na mmeweza kwenda na kurudi mara mbili means hata ulinzi upo lax.

Si hata mcommit arson basi?
 
Muuwaji kwenye ubora wako ila tambua damu ya mtu ina funguo hata uwe mjanja vipi utajulikana tu hata ipite miaka 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…