Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
wanasema hakuna perfect crime mkuu ni vile tu kwa sisi huku teknologia ndogo sana huko nje wanaofanikiwa ni wachache sana kutokamatwa watu wanapima hadi mchanga wa kiatu hahah.
angalia crime patrol ipo youtube ndo utaona watu walivyo nuksi kwenye kufatilia kesi
 
Carlos the Jackal hajakamatiwa Sudan. Alikamatiwa France na amehukumiwa maisha pale. If my memory serves me well. I stand to be corrected.
Carlos alidakwa Sudan kwa ushirikiano wa serikali ya Sudan na kupelekwa Ufaransa kukabiri mashitaka ya mauaji.
Kwa mujibu wa kitabu cha Carlos terror international.
 
Kuliko ku judge kwa kuangalia Makabila zaidi,ni bora au ni vizuri zaidi tuka judge kwa kuangalia familia au Koo zenye record hizo tataa!!
FAMILIA au KOO haziko angani; zinapatikana kwenye MAKABILA
 
Duuuh hatari sana [emoji848][emoji849]

Kweli binadamu ni wa kumuogopa
Huyo mama anaroho ngumu sana istoshe ushahidi ni mkubwa sana hapo hotelini kuna cctv camera,lazima police walirudisha nyuma kumuona revo anavyoingia kwa maringo 7
 
Binti wa kazi anamjua mariam vizuri mana alikua anafanya kwa mama wa marehemu mererani,kuna shamba alikua analiuza 1.2bn na marehemu ndio alikua kikwazo mana alikua kapewa hati nyingi na kaka yake azitunze
 
Marehemu alikufa kifo kibaya sana kuna fununu walimbaka na kumlawiti b4 kumuua
 
Bila shaka pia alimuua mumewe,

Sawa kwa vile alikuwa na tamaa kali ngoja dunia imfundishe
wanawake wa kaskazini,ukiwa na mbumba be very careful,anytime you gonna lost!!, Kuna jamaa angu R.I.P tulioa familia moja ,ndo hivyo tena!! Kilimanjaro wanawake wa kule,sijui ka laana gani kamewakalia aise!!! Msinione mbaguzi lkn ukweli mtupu!!
 
Elimu ni std 7 plus roho mbaya na ulonzi,marehemu aliacha pesa na tanzanite kwenye safe yake ofisini,mama akatafuta wataalam wakafungua akatoa tanzanite na kumpa jaluo mmoja tunamjua auze...jaluo ni tajiri....bado pesa za bank,hotel kubwa,apartments,viwanja n mashamba hakua mtu wa njaa afanye huo unyama
 
Mwanamke ukiwa na pesa anataka akuondoe ili achukue chake mapema ila wachaga sijui waliambiwa nn kuhusu hela tusijisahau siku tumpe nchi mchaga tutaangamia bora wabaki huko huko BOT.
 
Hili jimwanamke lina roho mbaya kama sura yake. Huyu mtoto niliwahi kukutana na yule mama yake mkubwa anayeishi naye anasema yule mtoto hataki kwenda arusha wala upareni kwakuwa huko watu wanachinja wenzao [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nw ni mkubwa hakosi 12yrz ,baba yake ni mrombo
 
Huyu mwanamke itakuwa ndo yeye alimuua mmewe pia. Ikute alilipa watu wamuue mmewe ili arithi mali. Sasa ona Kamuua wifi yake tena. Sasa hata mali kazikosa. Kweli damu ya mtu haipotei bure.
Huyu kamuua wifi yake yeye na watu aliopewa na revocatus,huyo revo ni mtu naejuana nae vizuri sana na hiyo wiki ametoka kuua nlimkuta bar flani akinunua pombe kwa fujo....ndio bdae nkajua ni pesa ya damu kachinjwa mtu
 
Huyo binti alipewa hela ili aondoke akaenda kisarawe huko. Wao wakaja kufanya mauaji ili ionekane yule binti ndo kaua halafu kakimbia. Ukipata muda fuatilia huu mkasa vizuri utapata picha kwa ukubwa.
Binti alitolewa nyumbani kwa mama wa marehemu ndio alikua afanya huko na kuletwa dar...kwahiyo anamjua sana mariam na ndio key witnes,huyo revo ni dalali alikua kapewa deal ya kuuza shamba eka 10 hapo kisongo na mariam...kapata mzungu wa kununua docs mariam hana ziko kwa marehemu,ndio kupanga kumuua na kupata docs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…