Kwani pesa 60% alizochukua hazikumtosha tu?! Pesa zote hizo alitaka afanyie nini?!
Halafu huyu mama inaonekana ni mshamba sana, au niseme ni mjinga, au tuseme tu elimu yake ni ndogo, au sijui nisemeje. Hivi mtu ambae mna ugomvi nae ambao bado unafukuta, unaweza kumuua kweli halafu utegemee usiwe suspect?! Huyu hata kama angekuwa ameuawa kweli na majambazi, bado yeye angekuwa ndio prime suspect , sasa sijui wanawake akili zao huwa zikauwaje yani, daah. Tena mi nadhani huyu ndio alituma majambazi wakamuue mumewe, naamini hivyo sasa.