Sasa huyo anayejibu hivyo sio don yan yeye ni mtu mdogo kwenye cartel, ni askari wa cartel gang, wana hadi watoto wadogo wa miaka 13.Huyo hana nafsi,nafsi yake kauza kwa shetani.Mtu mwenye nafsi hawezi ua mtu
Ni hadi uwe na akiliBinadamu huwa tunajisahau sana likija swala la mali. Mtu aliechuma hizo mali amekufa na kuziacha, wewe ulieachiwa tu roho inakutoka mpaka kudhulumu uhai wa mwingine kusahau kuwa hata ukimiliki majumba elfu kumi, mwisho wa siku unaishia kuzikwa kwenye kisehemu kidogo sana cha ardhi.
Kuua hakuwezi kuisha kupo mpaka kwenye vitabu vya dini hadi maagizo mengine ya kuua humo inasemekana kuwa yalikuwa yanatolewa na muumba.. Mfano alipoagiza waue watu wote watakaowakuta mpaka mifugoKuua mtu ni kiwango cha chini sana cha kufikiri. Unaua vipi mtu hali utoishi milele.
Na binti alikuwa suspect wa kwanza alipodakwa akawataja wauaji.Huyo binti alipewa hela ili aondoke akaenda kisarawe huko. Wao wakaja kufanya mauaji ili ionekane yule binti ndo kaua halafu kakimbia. Ukipata muda fuatilia huu mkasa vizuri utapata picha kwa ukubwa.
Lakini ndie aliyetoa amri usiueKuua hakuwezi kuisha kupo mpaka kwenye vitabu vya dini hadi maagizo mengine ya kuua humo inasemekana kuwa yalikuwa yanatolewa na muumba.. Mfano alipoagiza waue watu wote watakaowakuta mpaka mifugo
Kabisa, huyo mwanamke ni mafiaBila shaka pia alimuua mumewe,
Sawa kwa vile alikuwa na tamaa kali ngoja dunia imfundishe
Wenzetu wameadvance Sana kwenye investigation.Hadi witchcraft wanatumia kudidect crimekuna watu wataalamu sana hata hakuna crime utafanya utashindwa kudakwa wengine inapita hata miaka 20 ila kuna siku anakamtwa
Mafia hawezi kuwa mjinga kama yeyeKabisa, huyo mwanamke ni mafia
Hatupati tu taarifa lakini wote wanaotekeleza hayo mauaji mwisho wao sio mzuriKweli?
Mbona tunaonaga taarifa za habari mwili umeokotwa labda mtoni, kwenye pagale. Na hakuna kinachofata after that.
...Nadhani ni Asili tu ya mtu kuua, sio Kabila!Kuliko ku judge kwa kuangalia Makabila zaidi,ni bora au ni vizuri zaidi tuka judge kwa kuangalia familia au Koo zenye record hizo tataa!!
...Unapigaje hesabu wakati ukiua kila siku kwa Mwaka Mmoja tu unau Watu 365...au?Ukiua mtu mmoja kila siku. Kuua watu 160k itakubidi kutumia miaka 438.
Kumbe ni mkubwa...yale mauaji yamechukua mda eehNw ni mkubwa hakosi 12yrz ,baba yake ni mrombo
Limiriam Libaya sanaNasikia hadi chupa huko down[emoji26][emoji26]
Hatari sanaMuogope sana mtu,ndugu,mtoto,mke/mume anaye kaa na kuwazia mambo ya mali za kurithi kila wakati.Kaa naye mbali sana huyo mtu,ni hatari kuliko ukoma(Sijui ni nini,huwa anakuwa na uchu na mali kuliko hata aliyezitafuta)......
Inasikitisha sanaDah! this is sad [emoji26] unaua mtu kisa Mali wakati tutaziacha zote na unae muua anatangulia tu wewe unamfata anytime