Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

Maelezo jinsi Mke wa Bilionea Msuya alivyomuua wifi yake yasomwa mahakamani

Huyo hana nafsi,nafsi yake kauza kwa shetani.Mtu mwenye nafsi hawezi ua mtu
Sasa huyo anayejibu hivyo sio don yan yeye ni mtu mdogo kwenye cartel, ni askari wa cartel gang, wana hadi watoto wadogo wa miaka 13.
Jamaa anauliza idadi ya watu ambao ameua hata hajui idadi, wengine kaua kwa bunduki, wengine kwa kuwakatakata na mapanga kama nyama wengine kwa kuwachemsha kwenye maji wakiwa hai, wengine kwa kuwachoma moto wakiwa hai, na kuchukua video kuwatumia wapinzani
 
Binadamu huwa tunajisahau sana likija swala la mali. Mtu aliechuma hizo mali amekufa na kuziacha, wewe ulieachiwa tu roho inakutoka mpaka kudhulumu uhai wa mwingine kusahau kuwa hata ukimiliki majumba elfu kumi, mwisho wa siku unaishia kuzikwa kwenye kisehemu kidogo sana cha ardhi.
Ni hadi uwe na akili
 
Kuua mtu ni kiwango cha chini sana cha kufikiri. Unaua vipi mtu hali utoishi milele.
Kuua hakuwezi kuisha kupo mpaka kwenye vitabu vya dini hadi maagizo mengine ya kuua humo inasemekana kuwa yalikuwa yanatolewa na muumba.. Mfano alipoagiza waue watu wote watakaowakuta mpaka mifugo
 
Huyo binti alipewa hela ili aondoke akaenda kisarawe huko. Wao wakaja kufanya mauaji ili ionekane yule binti ndo kaua halafu kakimbia. Ukipata muda fuatilia huu mkasa vizuri utapata picha kwa ukubwa.
Na binti alikuwa suspect wa kwanza alipodakwa akawataja wauaji.
 
Kuua hakuwezi kuisha kupo mpaka kwenye vitabu vya dini hadi maagizo mengine ya kuua humo inasemekana kuwa yalikuwa yanatolewa na muumba.. Mfano alipoagiza waue watu wote watakaowakuta mpaka mifugo
Lakini ndie aliyetoa amri usiue
 
Majuto uja baada ya kitendo cha dhambi.
Ndie aliyepanga pia mauaji ya mume wake sijui kwann akuunganishwa kwenye kesi.
 
Huyu mke sas kutakuwa Kuna afsa wa gereza anamla akimdanganya kuwa atamsaidia ataliwa mpk anaozea gerezani Mali Ni kitu gani bhna alfu ikumbukwe hao Ni wapare wote so siyo wachaga
 
kuna watu wataalamu sana hata hakuna crime utafanya utashindwa kudakwa wengine inapita hata miaka 20 ila kuna siku anakamtwa
Wenzetu wameadvance Sana kwenye investigation.Hadi witchcraft wanatumia kudidect crime
 
Killing is a temporary solution not permanent mtaka yote
 
Kweli?

Mbona tunaonaga taarifa za habari mwili umeokotwa labda mtoni, kwenye pagale. Na hakuna kinachofata after that.
Hatupati tu taarifa lakini wote wanaotekeleza hayo mauaji mwisho wao sio mzuri
 
Kuliko ku judge kwa kuangalia Makabila zaidi,ni bora au ni vizuri zaidi tuka judge kwa kuangalia familia au Koo zenye record hizo tataa!!
...Nadhani ni Asili tu ya mtu kuua, sio Kabila!
 
Ila iliwahi zungumzwa kuwa wivu wa mapenzi ulichangia pia!
Mtu na Kaka yake... ...
.
 
Muogope sana mtu,ndugu,mtoto,mke/mume anaye kaa na kuwazia mambo ya mali za kurithi kila wakati.Kaa naye mbali sana huyo mtu,ni hatari kuliko ukoma(Sijui ni nini,huwa anakuwa na uchu na mali kuliko hata aliyezitafuta)......
Hatari sana
 
Back
Top Bottom