Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Sasa huyo anayejibu hivyo sio don yan yeye ni mtu mdogo kwenye cartel, ni askari wa cartel gang, wana hadi watoto wadogo wa miaka 13.Huyo hana nafsi,nafsi yake kauza kwa shetani.Mtu mwenye nafsi hawezi ua mtu
Jamaa anauliza idadi ya watu ambao ameua hata hajui idadi, wengine kaua kwa bunduki, wengine kwa kuwakatakata na mapanga kama nyama wengine kwa kuwachemsha kwenye maji wakiwa hai, wengine kwa kuwachoma moto wakiwa hai, na kuchukua video kuwatumia wapinzani