Maelezo kwa ufupi juu ya clip ikionyesha wanajeshi katili wakiua raia

Na iwe hivyo , tukutane asubuhi
 

Dah!... serikali katili sana hiyo.


Urusi na Iran wanaunga mkono serikali ya kinyama hivyo, anyway hata Putin ni mnyama kama Assad tu.

Yoda lee Vladimir cleef T14 Armata dudus Bwana Utam
 

Acha uwongo mkuu. Hapo sio Mabwepande?
 
Mzee unakuta ana watoto na Mke pisi tu.
Hayo wanayafanya mafichoni.
Hakuna aliyetegemea hii clip itoke.
Kwani hata wale waliofungwa kwa Mifuko..mbeleni huko ndio madude yanavuja kama hivi.

Hii Dunia kila kitu fanya kwa Staha,ila kwa siasa na Biashara,kazi usipokuwa makini kichwani.Unapotezwa sekunde tu.
Ukiachana na Special case ya Mapenzi.
 
Daah binadamu tuna roho mbaya asee ! Yaan jamaa anavyowachapa risasi hana hata habari yaan
 
Uko sahihi kabisa.Huku maofisini,Biashara kaa kwa akili pana sana hasa zikianza habari za upigaji wa fedha nyingi.
Dunia inaongozwa na wahalifu walio vaa suti . Kuingia tu madarakani kila mbinu ovu watu wana tumia sembuse sembuse kuua watu ndio liwe jambo la ajabu kwao ?
 
Unawezaje ku post kitu kama hiki Mungu wangu! Moderator , ondoa hii kitu kisha piga ban ya maisha kwa aliepost, sisi tulio view tupige ban ya mwezi mwezi itatosha.
 
Taja hizo nchi ambazo hazijafanya unyama wa namna hiyo ?
Nasubiria awataje taifa flani kubwa nimletee historia ya ukatili waliofanyiwa Patrice Lumumba na wenzie, au alichofanyiwa Che Guavara au walichofanyiwa wapiganaji wa Viet Conf.
 
We hata ukitukana ni sawa ila Maumivu ni yale yale. Kwa nchi za kiafrika bora uuliwe kuliko kusingiziwa u shoga. Fedheha kubwa sana katika jamii. Ebu badilikeni sister. Hamtendei haki wenzenu.
Wewe salama kweli au tipa linabinuliwa Hilo!?
 
Yesu anasema,"Watch Syria,because that is where ww111 will start."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…