Maelezo marefu kumbe agenda kuu ilikuwa ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi ya kifamilia na za kuendesha chama chake

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa,

Tazama sasa,

Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi, ya kifamilia na za kuongoza chama, dah!.

Sasa ataomba kuchangiwa pesa mpaka lini na wananchi ambao mara zote wanaitwa maskini?
Lini ataweza kujitegemea yeye mwenyewe binafsi bila kuchangiwa? Lini chadema itaanza kujitegemea bila kukopa au kuchangiwa na wananchi maskini na kwa mipango ipi?
Ni mTanzania wa wapi atathubutu kuchagua kiongozi na chama cha siasa asiewewza hata kujitegemea kiuchumi yeye binafsi na chama chake? Huu si utapeli wa wazi kabisa kisiasa ndugu zangu?

Bilashaka yoyote,
waTanzania watakua wameona dhahiri shahiri njaa na mahitaji ya hao matapeli wa kisiasa ilivyowazonga. kiongozi hana hata kumi chakavu. Sasa akipewa uongozi si lazima ashibe kwanza ndio awafikirie wenye njaa wengine na kwa huyu kiongozi mpya wa chadema anaweza kuwasahau kabisa.

Tume huru ya Taifa ya uchaguzi na mfumo mzima wa uchaguzi Tanzania, ambao upo kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi, hauna matatizo hata kidogo, lakini mtoa maelezo wa chadema anajaribu kueleza kana kwamba kuna matatizo makubwa kitu ambacho si kweli.

Uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania, utafanyika october 2025 bila shinikizo la mpiga kelele au mvuta bangi yeyote na hakuna mabadiliko wala ya sheria wala ratiba ya uchaguzi mkuu na hakuna mleta fujo atakae fanya lolote.

Ni muhimu sana kama chama cha siasa mkajikita kwenye agenda yenu ya kuomba kuchangiwa pesa za pocketi money na za kuendeshea chama chenu kutoka kwa wananchi mnao waita maskini, lakini sio kuhadaa waTanzania kwa kuwapotosha kwa dosari au kasoro za uchaguzi zisizo kuwepo kwenye uchaguzi Tanzania.

sasa nimeamini njaa haina mbabe,
njaa haina adabu na kuombaomba ni uaraibu wa aibu na fedheha sana:NoGodNo:
:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Chama ni cha wanachama na wananchi wote wanaounga mkono sera za chama husika, uwezo wa kiongozi haupimwi kwa kutoa sehemu ya fedha zake binafsi ili kukamilisha majukumu ya chama, hivyo hakuna shida yoyote inayotokana na yeye kuomba michango ya wanachama.

Hata huko CCM na vyama vingine vya kisiasa ni nani anayetoa fedha zake mfukoni.? Au mlizoeshwa na yule jamaa yenu aliyetoka?
 
shida ni maelezo na porojo ndeeeeefu sizizona na kichwa wala miguu kwa manufaa na mahitaji ya wananchi,

kumbe shida ilikua ni pesa tu,
sasa si angeomba tu mbona inajulikana ni mtu wa kutia huruma ili aombe kuchangiwa na watu ambao daima anawaita maskini? :NoGodNo:
 
Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa,

Tazama sasa,
maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi, ya kifamilia na za kuongoza chama, dah!.

Sasa ataomba kuchangiwa pesa mpaka lini na wananchi ambao mara zote wanaitwa maskini?
Lini ataweza kujitegemea yeye mwenyewe binafsi bila kuchangiwa? Lini chadema itaanza kujitegemea bila kukopa au kuchangiwa na wananchi maskini na kwa mipango ipi?
Ni mTanzania wa wapi atathubutu kuchagua kiongozi na chama cha siasa asiewewza hata kujitegemea kiuchumi yeye binafsi na chama chake? Huu si utapeli wa wazi kabisa kisiasa ndugu zangu?

Bilashaka yoyote,
waTanzania watakua wameona dhahiri shahiri njaa na mahitaji ya hao matapeli wa kisiasa ilivyowazonga. kiongozi hana hata kumi chakavu. Sasa akipewa uongozi si lazima ashibe kwanza ndio awafikirie wenye njaa wengine na kwa huyu kiongozi mpya wa chadema anaweza kuwasahau kabisa.

Tume huru ya Taifa ya uchaguzi na mfumo mzima wa uchaguzi Tanzania, ambao upo kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi, hauna matatizo hata kidogo, lakini mtoa maelezo wa chadema anajaribu kueleza kana kwamba kuna matatizo makubwa kitu ambacho si kweli.

Uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania, utafanyika october 2025 bila shinikizo la mpiga kelele au mvuta bangi yeyote na hakuna mabadiliko wala ya sheria wala ratiba ya uchaguzi mkuu na hakuna mleta fujo atakae fanya lolote.

Ni muhimu sana kama chama cha siasa mkajikita kwenye agenda yenu ya kuomba kuchangiwa pesa za pocketi money na za kuendeshea chama chenu kutoka kwa wananchi mnao waita maskini, lakini sio kuhadaa waTanzania kwa kuwapotosha kwa dosari au kasoro za uchaguzi zisizo kuwepo kwenye uchaguzi Tanzania.

sasa nimeamini njaa haina mbabe,
njaa haina adabu na kuombaomba ni uaraibu wa aibu na fedheha sana:NoGodNo:
:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Kumbuka Nyerere alichangiwa hela kwenda umoja wa mataifa..
 
we kijana,
kuwa na heshima kidogo,

si sawa hata kidogo,
kumfananisha kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na hayati Baba wa Taifa Letu JK.Nyerere,

hiyo ni kufuru gentleman, usirudie tena :NoGodNo:
 
Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa,

Tazama sasa,
maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi, ya kifamilia na za kuongoza chama, dah!.

Sasa ataomba kuchangiwa pesa mpaka lini na wananchi ambao mara zote wanaitwa maskini?
Lini ataweza kujitegemea yeye mwenyewe binafsi bila kuchangiwa? Lini chadema itaanza kujitegemea bila kukopa au kuchangiwa na wananchi maskini na kwa mipango ipi?
Ni mTanzania wa wapi atathubutu kuchagua kiongozi na chama cha siasa asiewewza hata kujitegemea kiuchumi yeye binafsi na chama chake? Huu si utapeli wa wazi kabisa kisiasa ndugu zangu?

Bilashaka yoyote,
waTanzania watakua wameona dhahiri shahiri njaa na mahitaji ya hao matapeli wa kisiasa ilivyowazonga. kiongozi hana hata kumi chakavu. Sasa akipewa uongozi si lazima ashibe kwanza ndio awafikirie wenye njaa wengine na kwa huyu kiongozi mpya wa chadema anaweza kuwasahau kabisa.

Tume huru ya Taifa ya uchaguzi na mfumo mzima wa uchaguzi Tanzania, ambao upo kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi, hauna matatizo hata kidogo, lakini mtoa maelezo wa chadema anajaribu kueleza kana kwamba kuna matatizo makubwa kitu ambacho si kweli.

Uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania, utafanyika october 2025 bila shinikizo la mpiga kelele au mvuta bangi yeyote na hakuna mabadiliko wala ya sheria wala ratiba ya uchaguzi mkuu na hakuna mleta fujo atakae fanya lolote.

Ni muhimu sana kama chama cha siasa mkajikita kwenye agenda yenu ya kuomba kuchangiwa pesa za pocketi money na za kuendeshea chama chenu kutoka kwa wananchi mnao waita maskini, lakini sio kuhadaa waTanzania kwa kuwapotosha kwa dosari au kasoro za uchaguzi zisizo kuwepo kwenye uchaguzi Tanzania.

sasa nimeamini njaa haina mbabe,
njaa haina adabu na kuombaomba ni uaraibu wa aibu na fedheha sana:NoGodNo:
:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
You are stupid. Ni heri ya chama kinachoomba kuchangiwa. Kuliko kinachoiba pesa za wananchi
 
Pole . Naona mzimu wa Mbowe bado unakutesa.
 
jini omba omba kuchangiwa pocket money bado linamzonga kibaraka hadi huruma,

sifahamu na safari ijayo ataomba pesa kwa style gani au hii hii ya maelezo marefu pumba tupu au atakuja kivingine 🐒
 
You are stupid. Ni heri ya chama kinachoomba kuchangiwa. Kuliko kinachoiba pesa za wananchi
relax gentleman,
mayhem are always useless and completely nonsense in honest conversations like this,

utaomba kuchangiwa mpaka lini na huna mipango mikakati ya kujitegemea?

nani atachagua kiongozi kibaka na ombaomba la kuchangiwa pocket money every day?🐒
 
Chama ni cha wanachama na wananchi wote wanaounga mkono sera za chama husika, uwezo wa kiongozi haupimwi kwa kutoa sehemu ya fedha zake binafsi ili kukamilisha majukumu ya chama, hivyo hakuna shida yoyote inayotokana na yeye kuomba michango ya wanachama.

Hata huko CCM na vyama vingine vya kisiasa ni nani anayetoa fedha zake mfukoni.? Au mlizoeshwa na yule jamaa yenu aliyetoka?
Mkuu bora Hao CHADEMA wanaomba.

Hao CCM hua wanalazimisha kuchanga. Yaani wakiona wewe ni mfanya biashara utasikia tunataka 100k kwa ajili ya mwenge. AU utakuta wameenda kwa mkuu wa shuke tunataka 50k kwa ajili ya mwenge. Same pia kwa wenye Sheli, Bar ni biashara zinazo julikana
 
Lissu anataka haki itendeke.
Haki gani?
Ukiwapa paka chakula,anafika paka mwenye nguvu,anamfukuza paka mdhaifu.
That is the law of nature.
Sasa Lissu anataka haki gani?
CCM inaweza kudhindwa Uchaguzi kama Uchaguzi ukiwa huru na haki?
Haiwezi kushindwa.
Lissu alikuwa na microphone pale anasema mfumo wa Uchaguzi haufai.
Yeye anapendekeza nini?
Rais amemchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.
Lissu anataka Mwenyekiti huyo achaguliwe na nani?
 
Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo
 
Back
Top Bottom