Maelezo ya alivyouawa mwenyekiti wa UVCCM huko Chunya yana ukakaksi sana, Polisi fanyeni kazi yenu kwa umakini

So sad, labda na umasikini unachangia , wanafanya kazi kwa kujikomba kwa wakubwa wao,matokeo yake tunaumia sisi
 
If am a damn idiot, you're the replica
 
"No woman no cry "by Lacky Dube. Pamoja na sababu yoyote iliyosababisha Kifo hicho mwanamke Kwa ushawishi ameweza kumwingiza Kijana Shimoni. Je, walikuwa na ugomvi? Nikijiuliza naona, hamna maana asingemwamini kwenda nae.
Vijana wa kiume jihadharini na Hizi honey Traps. Kwa hatua tuliyopo ya watu kuwa na damu baridi kama mijusi plus kukua Kwa maarifa na upeo wa wanawake Kuweni makini. Ile msemo wa mwanamke ni dhaifu unammudu sio Karne hii utakufa kibudu.
 
Ameongelea coincidence ya kukojoa na kuvamiwa hapo hapo. In intelligence there's no coincidence.
Huyu baada ya uchunguzi wake wa harakaharaka akaona kuwa kulikuwa na mpango kati ya msichana na wauaji bila kujua kuwa ni marehemu aliyetaka aende naye na si msichana. Huyu anaendelea kuhoji iweje msichana aliweza kujifungua kamba aliyofungwa! Anaona palikuwa na kamchezo hapo!
Kwakifupi hoja za upelelezi huu hazina tija kwenye kuwapata wahusika.
 
"bila kujua kuwa ni marehemu aliyetaka aende naye na si msichana"

  1. Aliamua kwenda kwa wauzaji na pikipiki yake akifuatana na huyu msichama - kwa nini? Na nani alipendekeza waende na huyo msichana? Je lilikuwa ni wazo la huyo msichana? Na je, huyo msichana ndio alisuka mpango watu wapige hiyo simu?
Ndio maana ulifeli mitihani yako!
 
Duh point nzuri but huko polisi Kuna mafundi wa hizo mishe za upelelezi wenye uwezo wa juu sana.
 
Kheee, nyama ya mbuzi imegeuka kuwa pikipiki! Kumbe ndizo lugha zenu nyie wachawi, hata hivyo mimi sikusoma na wachawi na wala sikuwahi kuingia darasani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…